MOURINHO YUPO TAYARI KUIFUNDISHA UNITED HATA LEO KAMA MOYES AKIFUKUZWA
Kocha wa Man United, David Moyes (kushoto) na Jose Mourinho (kulia). LONDON, England MARA baada ya Kocha Sir Alex Ferguson wa Manchester United kutangaza kuwa atastaafu kufundisha soka, majina mengi ya makocha watakaochukua nafasi yake yalitajwa. Jose Mourinho ambaye kipindi hicho alikuwa akiinoa Real Madrid, alikuwa mmoja wa waliotajwa kwa wingi. Â Bahati haikuwa yake, Kocha David Moyes aliyekuwa Everton akapata nafasi...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies23 Dec
Ommy Dimpoz: Niko Tayari Kuoa Hata Sasa,Kama Nikipata…
Staa wa Bongo Fleva,Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ amesema kuwa yuko tayari kuoa hata sasa hivi kama nikipata mtu sahihi katika maisha yake.
Ommy Dimpoz akiwa na Mrembo
Ommy ameyazungumza hayo wakati akiitambulisha video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Achia Bodi’ kwenye kipindi cha Clouds360 cha Clouds Tv wakati alipoulizwa na mtangazaji kipindi hicho Hudson Kamoga kuwa anatarajia kuoa lini.
“Niko tayari kuoa hata sasa hivi kama nikipata mtu sahihi katika maisha yangu” Ommy Dimpoz.
Miezi ya hivi...
9 years ago
Mtanzania15 Sep
Jose Mourinho ataka kuifundisha Arsenal
LONDON, ENGLAND
KOCHA wa klabu ya Chelsea, Jose Mourinho amesema hana mpango wa kuondoka jiji la London na kama akiondoka katika klabu hiyo basi atajiunga na klabu ya Arsenal ya jijini humo.
Kocha huyo bado ana imani ya kuendelea kuifundisha Chelsea kwa muda mrefu, japokuwa klabu hiyo imeanza vibaya katika michuano ya Ligi Kuu nchini England, hata hivyo, anaamini kuwa anaweza kuwa kocha wa Arsenal baada ya Arsene Wenger kuondoka.
“Ngoja niweke wazi, ipo siku nitakuja kuondoka Chelsea na kama...
9 years ago
MillardAyo25 Dec
Wachezaji watano ambao kama Jose Mourinho atakuwa kocha wa Man United watapenda kuondoka …
Headlines za Jose Mourinho kuhusishwa kukaribia kujiunga na klabu ya Manchester United bado zinazidi kushika kasi sehemu mbalimblia, kwa wapenzi na mashabiki wa soka duniani kote kwa sasa vijiwe vyao mara nyingi mada kuu ni Louis van Gaal na Jose Mourinho. December 25 Mtu wangu wa nguvu nimekutana na list kutoka sokka.com ya wachezaji watano wa […]
The post Wachezaji watano ambao kama Jose Mourinho atakuwa kocha wa Man United watapenda kuondoka … appeared first on...
9 years ago
Bongo509 Dec
Mourinho: Abramovich yupo pamoja na mimi
Kocha wa Mabingwa watetezi wa ligi ya England Chelsea Jose Mourinho amesema mmiliki wa klabu hiyo Roman Abramovich yuko pamoja nae licha ya msimu mbovu wa mabingwa hao wa England.
Hadi sasa Chelsea wapo nafasi ya 14 kwenye Ligi Kuu England baada ya kupoteza Mechi 8 za Ligi kati ya 15. Leo Jumatano Desemba 9 wanacheza Mechi ya mwisho ya Kundi lao na FC Porto wakihitaji Sare tu au ushindi ili kusongambele.
Akiongea kuhusu kuelekea Mechi ya UCL, Mourinho, alipoulizwa kama atabakishwa kama...
10 years ago
Habarileo09 Apr
Wakili: Gwajima yupo tayari kwa mahojiano
MAHOJIANO baina ya Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima na Polisi yanatarajiwa kuendelea leo katika Kituo Kikuu cha Polisi, jijini Dar es Salaam.
11 years ago
GPLMOYES ATIMULIWA NA MAN UNITED
9 years ago
GPLKHADIJA KOPA SASA YUPO TAYARI KUOLEWA TENA
11 years ago
GPLMAN CITY YAIFUMUA MOYES UNITED