Ommy:Wema Hajazoeleka ‘U-video queen’
Staa wa Bongo Fleva Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ amefunguka na kusema kuwa staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu alishiriki video ya wimbo wa wanjera kwa sababu hajazoeleka kama ‘video queen’.
Akiongea na GPL Ommy alisema mara nyingi Wema amezoeleka kuonekana kwenye filamu kwa sababu video ya wanjera ilikuwa ni wazo la kipekee ndiyo maana alimchagua yeye ili amjaribu.
“Wema hajazoeleka sana kwenye video za kibongo zaidi ya filamu kwa hiyo niliamua kufanya utofauti kuanzia aidia mpaka video queen...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies14 Feb
Ommy Dimpoz Anogewa na Penzi la Wema!
Mahaba: Mwanamuziki Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ ameamua kukiri wazi kuwa ananogewa na penzi la Wema Sepetu ‘Madame’.
Akizungumza na wa GPL Februari 11, mwaka huu maeneo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Dimpoz alisema anawashangaa sana watu kuendelea kumsakama juu ya uhusiano wake na Madame wakati yeye anafahamu shemeji yake kwa Nasibu Abdul ‘Diamond’ ni Zarina Hassan ‘Zari’ kwa sasa.
“Nashindwa kuelewa kuna watu wamekuwa wakinitumia ujumbe eti Diamond atanimaindi kwa ukaribu wangu na...
10 years ago
Mtanzania19 Feb
Ommy Dimpoz: Wema siyo mpenzi wangu
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, amesema anashangazwa na uvumi unaoendelea kuwa yupo katika uhusiano na mwigizaji wa filamu, Wema Sepetu.
Akielezea kuhusu picha zilizosambaa kwenye mitandano ya kijamii, Ommy Dimpoz, alisema walikuwa Afrika Kusini kwa mapumziko ndipo picha hizo zilipopigwa.
“Tunapiga picha nyingi sana na Wema, hii siyo mara ya kwanza, lakini sijui kwanini hizi zimetengeneza taswira nyingine kwa mashabiki,”...
10 years ago
Bongo Movies06 Feb
Picha za Wema na Ommy Dimpoz Zawavutia Wengi Mtandaoni!!!
Siku ya jana kwenye kurasa mbalimbali za watu maarufu kwenye mtandao wa INSTAGRAM walibandika picha hizi za mwanadada Wema Sepetu akiwa na Ommy Dimpoz wakiwa katika mapozi tofauti tofauti.
Kila zilipowekwa, wengi wa bonyeza kitufe cha kuzipenda na wengine waliandika maoni yao huku wengi wakiwasifia kwa jinsi walivyopendeza, na wengine walienda mbali zaidi kuwa wamependezana hivyo ingependeza hii iwe ni Le PROJECT mupyaaa.
Ila baadhi ya watu walibuka na kuponda bila sababu kibaya zaidi ni...
10 years ago
Bongo Movies06 Feb
Ukaribu wa Ommy Dimpoz na Wema Waanza Kutiliwa Mashaka!!!
Ukaribu wa Ommy Dimpoz na Wema Waanza kutiliwa Mashaka!!!
Baada ya hapo jana picha za wawili hawa, mwigizaji Wema Sepetu na mwanamziki Ommy Dimpoz wakiwa katika mapozi mbalimbali kusambaa mitandaoni, huku kwa nyakati tofauti Ommy Dimpoz alikuwa akizutupia picha hizo bila kuziandikia maelezo yoyote na hivyo kuwaacha mashabiki wake wakiwa na maswali mengi kujua nini niachoendelea kati ya wawili hapo.
Leo hali yakuwatilia mashaka kuwa wawili hao kwasasa wana-DATE imeongezeka kwa kasi zaidi...
10 years ago
CloudsFM13 Mar
SIRI ZA PICHA ZA OMMY DIMPOZ NA WEMA SEPETU ZAVUJA
![](http://api.ning.com/files/d*xx8iAX09X1BwwEx7Q1l1OL0b927qBJvRfqGZQBjL6nMw8yp0xzCzcXA5brRmKIEGcQ0QqJHHjGk3vsjs7j403xq655l2MD/wdddddddddd.jpg)
![](http://api.ning.com/files/d*xx8iAX09WLAU69FkQw3iFOLo5Eh8J5RYUStr403glzVy5Qv9pUt*GLkz0L0nmrlZP2QL8Ehw7qGaFVebHLAmqQs4qUvWUr/weee.jpg)
![](http://api.ning.com/files/d*xx8iAX09U0SvlqjX12*AoZXk7HM9al7agJzdXiKqZq5efDHyONKWYv*GbBIE8My1CyPMlyszJblr-Vd-6GUGS0fOYhuGSb/wwwwwwwwwwwwwwww.png)
10 years ago
Bongo509 Feb
Picha: Wema Sepetu na Ommy Dimpoz kunani kwani?
10 years ago
Bongo Movies06 Feb
Picha za Wema na Ommy Dimpoz Zawa Gumzo Mtandaoni!!!
Siku ya jana kwenye kurasa mbalimbali za watu maarufu kwenye mtandao wa INSTAGRAM walibandika picha hizi za mwanadada Wema Sepetu akiwa na Ommy Dimpoz wakiwa katika mapozi tofauti tofauti.
Kila zilipowekwa, wengi wa bonyeza kitufe cha kuzipenda na wengine waliandika maoni yao huku wengi wakiwasifia kwa jinsi walivyopendeza, na wengine walienda mbali zaidi kuwa wamependezana hivyo ingependeza hii iwe ni Le PROJECT mupyaaa.
Ila baadhi ya watu walibuka na kuponda bila sababu kibaya zaidi ni...
10 years ago
Bongo Movies22 Feb
Le Projectii:Wema Sasa Ampikia na Kumpakulia Ommy Dimpoz
Wakati mwanamziki wa Bongo Fleva,Ommy Dimpoz akiendelea kupepesa macho na kutikisa masikio kukanusha kuwa hana mahusiano ya kimapenzi na mwingizaji wa Bongo Movie, Wema Sepetu ukaribu wao bado unatia mashaka na kuendeleza sintofahamu miongoni mwa mashabiki na wapambe wao.
Japo kuwa Ommy alielezakuwa yeye na Wema ni marafiki toka kitambo kabla hata ya wema kuwa na mahusiano na mwanamziki Diamond, lakini hii imezidiii.
Mbali na kuonekana wawili hawa kuwa pamoja sehemu mablimbali za starehe...
10 years ago
Bongo Movies13 Mar
Picha:Ukweli Kuhusu Wema na Ommy Huu Hapa!
Hatimaye imekuwa dhahili kuwa mwanamziki Ommy Dimpoz ambae anajiita ‘Baba Wanjera’ na mwigizaji Wema Sepetu ambae ameitwa kama Wanjera walikuwa wakifanya kazi na sio malavidavi kama ilivyokuwa ikidhaniwa siku za hivi karibuni kutokana ukaribu waliokuwa nao.
Leo saa 4 asubuhi ngoma ya Ommy inayokwenda kwa jina la Wanjera itaruka hewani kwenye TV na redio zote ndani na nje ya nchi.
Jionee baadhi ya picha zitakazo onekana kwenye ngoma hiyo.
Mzee wa...