Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Operesheni Pamoja Daima: Itamtimua huyu bundi Chadema?

>Mwaka 2013 ulimalizika vibaya kwa Chadema. Vivyo hivyo mwaka huu ulianza vibaya baada ya kuingiliwa na ‘bundi’ wa migogoro aliyepania kukipasua katika makundi mawili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mkutano wa M4C Operesheni Pamoja Daima,Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe Atua Kibaha na Chopa Nakuhutubia Mamia ya Wananchi wa Mji wa Kibaha

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia wananchi wa mji wa Kibaha, katika mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika mjini Kibaha, Pwani jana. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, akimkabidhi kadi ya chama hicho, aliyekuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Kibaha Mjini, ambaye pia alikuwa Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM Kata ya Kongowe, Joseph Baziry, wakati wa mkutano...

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA OPERESHENI PAMOJA DAIMA KILELEMA

Makamanda wakiwa ndani ya ndege kuelekea katika Operesheni Pamoja Daima, Kilelema. Chombo kikiwa angani. Makamanda wakisalimiana na mwenyeji…

 

11 years ago

GPL

M4C OPERESHENI PAMOJA DAIMA NDANI YA IRINGA

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akiwahutubia maelfu ya wakazi wa Manispaa ya Iringa, katika mkutano wa hadhara wa Operesehni M4C Pamoja Daima, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mwembe Togwa jana. Mbunge wa Kawe, Halima Mdee akihutubia katika mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), uliofanyika kwenye Uwanja wa Mwembe Togwa mjini Iringa…...

 

11 years ago

GPL

TASWIRA MBALIMBALI ZA OPERESHENI M4C PAMOJA DAIMA

Halima Mdee: Mbunge wa Kawe, Halima Mdee akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Mtibwa, katika mkutano wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika jana.
Mbowe na Afande Sele: Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akimtambulisha mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya, Afande Sele, wakati wa mkutano wa…

 

11 years ago

GPL

M4C OPERESHENI PAMOJA DAIMA: DK SLAA, MSIGWA WASHAMBULIA RUVUMA

Katibu Mkuu wa Chadema, Willbroad Slaa akiwasha moto Songea mkoani Ruvuma. Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Peter Msigwa akiongea na wakazi wa Songea mkoani Ruvuma. KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Willbroad Slaa pamoja na Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa wakitumia usafiri wa anga jana walianza kuwasha moto mkoani Ruvuma katika M4C- Operesheni Pamoja… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tunatarajia matunda M4C Pamoja Daima

JANUARI 22, mwaka huu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiliamua kuwasha moto nchi nzima kwa wiki mbili mfululizo, lengo likiwa kujiimarisha kichama na kujadiliana na wananchi kuhusu masuala nyeti...

 

10 years ago

Dewji Blog

Bundi atua Chadema Singida, tafrani tupu

DSC01835

Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Singida katika picha.

Na Nathaniel Limu, Singida

WAKATI siku zikishika kasi kuelekea uchaguzi  mkuu mwakani,’Bundi’ ametua ndani ya CHADEMA mkoa wa Singida,na hali imechafuka kwa viongizi wake kuanza kuvuana uanachama na kufukuzana  uongozi.

Baraza la uongozi mkoa wa Singida, limemvua na kumfukuza uongozi Mwenyekiti wa jimbo la Singida mjini,J ohn Kalaye Kumalija kwa tuhuma ya kuwa na mgogoro wa muda mrefu na katibu wake.

Uamuzi huo umeaanza kutekelezwa kuanzia...

 

11 years ago

GPL

OPARESHENI M4C PAMOJA DAIMA KUANZA LEO

KAMA ambavyo jana umma wa Watanzania ulitaarifiwa kupitia kwenye mkutano wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe na wanahabari, Chama leo kinaanza operesheni ya takriban wiki mbili kwa nchi nzima (mijini na vijijini). Kuna jumla ya timu 6 zilizoko uwanja wa mapambano kuendesha M4C- Operesheni Pamoja Daima, ambazo zote zinaanza kazi leo katika maeneo zilizopangiwa. Timu tatu zitakuwa zikishambulia kutokea angani na timu tatu...

 

11 years ago

Michuzi

Mwenezi wa Chadema Wilaya ya Meatu arudi CCM pamoja na viongozi wengine wa Chadema

 Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chadema wilaya ya Meatu Kimwaga Jackson Ndibo akirudisha vitu vya Chadema zikiwemo kadi, bendera na katiba kwa viongozi wa CCM baada ya kurudi rasmi.  Mwenyekiti wa Vijana  mkoa wa Simiyu na MNEC wa Itilima Ndugu Njalu Silanga akikabdihi kadi ya CCM kwa  moja ya viongozi wa Chadema Meatu waliorudi CCM.  Mwenyekiti wa Vijana  mkoa wa Simiyu na MNEC wa Itilima Ndugu Njalu Silanga akihutubia wakazi wa wilaya ya Meatu na kuwahakikishia wananchi hao CCM imejipanga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani