Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


operesheni ya kusaka wahalifu yaendelea mkoani tabora

Kamanda wa Polisi mkoa waTabora Kamishna Msaidizi wa Polisi Suzan Kaganda leo tarehe 18/04/2014 amefanya Mkutano na waandishi wa habari, na kuzungumzia mambo mbalimbali hasa mafanikio yaliyopatikana katika Operesheni zinazoendelea mkoani Tabora ambapo wahalifu wa  makosa mbalimbali yamekamatwa na watuhumiwa kufikishwa mahakamani.     Maganda ya risasi ambayo yalitelekezwa yakiwa katika mfuko wa manira.
 RPC tabora akiwaonesha waandishi wa habari katika Press Conferences leo bunduki aina...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOANI TABORA LAENDELEA NA OPERESHENI TOKOMEZA UHALIFU,WATANO WATIWA MBARONI

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora,ACP Suzan S. Kaganda akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) silaha zilizokamatwa na Jeshi la Polisi mkoani humo katika Opereshen kali iliyokuwa ikifanyika. ambapo walikamatwa watuhumiwa watano wakiwa na silaha hizo aina ya SMG mbili No AB-018-0414 na EE 125419 zikiwa na risasi 25 na Gobore tatu,baruti na goroli pamoja na vipande vya nondo.Watuhumiwa hao walikamatwa katika maeneo ya Igunga,Kaliua na Sikonge mkoani Tabora.Kamanda wa Polisi mkoa wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Operesheni yanasa wahalifu 200 nchini

Wakati operesheni za kuwakamata vijana wanaojihusisha na vitendo vya uporaji, uvamizi wa watu na mali zao maarufu kama Pnya Road au Mbwa Mwitu ikiendelea jijini Dar es Salaam, Jeshi la Polisi nchini limekamata watuhumiwa wengine zaidi ya 200 waliojihusisha na uhalifu wa aina mbalimbali nchini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TANESCO kuanza operesheni kusaka wahujumu

SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza operesheni ya kuwasaka na kuwakamata watu wanaojihusisha na vitendo vya kuhujumu mali za shirika hilo mkoani Shinyanga. Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Injinia Felchesmi Mramba,...

 

10 years ago

Habarileo

Operesheni kali yaendelea Tanga

Kikosi cha makomandoo cha JWTZ.KUTOKANA na wahalifu waliopambana juzi na polisi na Jeshi la Wananchi (JWTZ) kutokamatwa, hali ya wasiwasi imeendelea miongoni mwa wakazi wa mjini hapa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mashindano kusaka nafasi Ulaya yaendelea

Patashika ya kutafuta tiketi ya kufuzu mashindano ya soka ya mataifa ya Ulaya yanayotaraji kufanyika mwakani imeendelea jana Ulaya

 

10 years ago

Michuzi

ZADIA YAENDELEA KUSAKA MAENDELEO YA USTAWI WA JAMII ZANZIBAR

Tulipokuwa skuli tulifundishwa kuwa, ili tuendelee tunahitaji mambo manne: Ardhi, watu, siasa safi na uongozi bora. Jumuiya ya Wazanibari Waishio nchini Marekani (ZADIA) inauelewa fika umuhimu wa maneno hayo ya hekima, na ndio maana uongozi wake bora, kwa kutambua jukumu lake, daima umekuwa mbioni katika kutafuta na kubuni mbinu za kusaidia maendeleo nyumbani Zanzibar.
Kwa vile kuwa na watu tu haitoshi kuleta maendeleo ya nchi, ndio maana ZADIA imelipa kipaumbele swala la afya na ustawi wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tume “Operesheni Tokomeza” kukusanya maoni Mikoa ya Arusha, Manyara, Tabora, Singida na Dodoma, Januari, 2015

IMG_4793

Katibu wa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza, Bw.Frederick Manyanda.

Na. Mwandishi Wetu

Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza itakusanya taarifa na kupokea malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa Operesheni Tokomeza Ujangili Nchini mikoa ya Mikoa ya Arusha, Manyara, Tabora, Singida na Dodoma.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa tarehe  24 Desemba, 2014 na Katibu wa Tume hiyo, Bw.Frederick Manyanda, Tume inatarajiwa kuendelea na zoezi la kukusanya maoni na taarifa...

 

11 years ago

Michuzi

TIMU NZIMA YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA YAELEKEA MKOANI MWANZA KWAAJILI YA KUANZA ZOEZI LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA

Timu nzima ya Tanzania Movie Talents kutoka kampuni ya Proin Promotions Limited wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza safari ya kuelekea Mwanza kwaajili ya shindano la kutafuta Vipaji vya Uigizaji Tanzania ambapo shindano hili litaanzia katika Kanda ya Ziwa katika Mkoa wa Mwanza Kuanzia tarehe 5 April 2014 mahali ni Isamilo Lodge. Mdau Karimu Muhidin Michuzi na Baadhi ya vijana wa kazi katika timu ya kusaka vipaji wakiwa tayari kwa safari ya Mwanza. Mabasi yakiwa tayari kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani