Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANESCO kuanza operesheni kusaka wahujumu

SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza operesheni ya kuwasaka na kuwakamata watu wanaojihusisha na vitendo vya kuhujumu mali za shirika hilo mkoani Shinyanga. Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Injinia Felchesmi Mramba,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

operesheni ya kusaka wahalifu yaendelea mkoani tabora

Kamanda wa Polisi mkoa waTabora Kamishna Msaidizi wa Polisi Suzan Kaganda leo tarehe 18/04/2014 amefanya Mkutano na waandishi wa habari, na kuzungumzia mambo mbalimbali hasa mafanikio yaliyopatikana katika Operesheni zinazoendelea mkoani Tabora ambapo wahalifu wa  makosa mbalimbali yamekamatwa na watuhumiwa kufikishwa mahakamani.     Maganda ya risasi ambayo yalitelekezwa yakiwa katika mfuko wa manira.
 RPC tabora akiwaonesha waandishi wa habari katika Press Conferences leo bunduki aina...

 

10 years ago

Mwananchi

Uchunguzi operesheni ya ujangili kuanza

Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza Ujangili imetangaza ratiba ya pili ya ziara yake katika Mikoa ya Kagera, Geita, Shinyanga, Simiyu, Mwanza na Mara ili kukusanya taarifa na kupokea malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa operesheni hiyo.

 

11 years ago

Habarileo

Operesheni Tokomeza ya pili kuanza karibuni

WAKATI hatua zaidi zikisubiriwa kuchukuliwa kwa watendaji waliohusika na ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa Operesheni Tokomeza, Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kutangaza kuanza kwa awamu ya pili ya Operesheni hiyo wakati wowote kuanzia sasa.

 

11 years ago

Michuzi

TIMU NZIMA YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA YAELEKEA MKOANI MWANZA KWAAJILI YA KUANZA ZOEZI LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA

Timu nzima ya Tanzania Movie Talents kutoka kampuni ya Proin Promotions Limited wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza safari ya kuelekea Mwanza kwaajili ya shindano la kutafuta Vipaji vya Uigizaji Tanzania ambapo shindano hili litaanzia katika Kanda ya Ziwa katika Mkoa wa Mwanza Kuanzia tarehe 5 April 2014 mahali ni Isamilo Lodge. Mdau Karimu Muhidin Michuzi na Baadhi ya vijana wa kazi katika timu ya kusaka vipaji wakiwa tayari kwa safari ya Mwanza. Mabasi yakiwa tayari kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema kuanza operesheni mpya kudai fedha za ufisadi

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kitaendesha operesheni mpya nchi nzima ikilenga kuhamasiaha wananchi kudai kurejeshwa kwa fedha zote ambazo zimeporwa katika kashfa mbalimbali za ufisadi badala ya kuachia wahusika wajiuzulu nafasi zao au wengine kufichwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Azam kuanza kusaka makali ya Ligi Kuu Jumatatu

KIKOSI cha mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam FC, kinatarajiwa kuanza mazoezi kesho kuelekea msimu ujao ambapo itakuwa ikitetea taji hilo na kuiwakilisha nchi katika Ligi ya Mabingwa Afrika....

 

11 years ago

Michuzi

PROIN PROMOTIONS LIMITED KUANZA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI NCHINI TAREHE 1 APRIL 2014

Meneja wa Mradi wa Kusaka Vipaji Vya Uigizaji Tanzania (Tanzania Movie Talents) Bw Joshua Moshi akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wakutambulisha kampeni mpya ya kusaka Vipaji vya uigizaji kutoka kampuni ya Proin Promotions Limited mapema leo katika Ofisi za Proin Promotions Limited, Mikocheni, Mtaa wa Ursino, Pembeni ni Meneja Masoko wa Proin Promotions Limited Bw Evance Stephen.
Muigizaji wa Filamu za Kitanzania Single Mtambalike almaarufu Richie Richie ambae pia...

 

9 years ago

StarTV

Waziri Masauni aitaka Uhamiaji kuanza Operesheni ya kubaini wageni wanaofanya kazi zinazoweza kufanywa na watanzania

 

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imeiagiza Idara ya Uhamiaji nchini kuanza Operesheni maalum ya kuwabaini wageni walioingia na kufanya kazi ambazo sio za kitaalamu zinazoweza kufanywa na Watanzania ili kuwachukulia hatua ya kuwaondosha.

Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhandisi Hamad Masauni baada ya kutembelea Makao Makuu ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar Es Salaam na kuzungumza na makamishna wa idara hiyo.

Akiwa katika ofisi hizo kukagua shughuli zinazoendelea kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani