Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Operesheni yanasa wahalifu 200 nchini

Wakati operesheni za kuwakamata vijana wanaojihusisha na vitendo vya uporaji, uvamizi wa watu na mali zao maarufu kama Pnya Road au Mbwa Mwitu ikiendelea jijini Dar es Salaam, Jeshi la Polisi nchini limekamata watuhumiwa wengine zaidi ya 200 waliojihusisha na uhalifu wa aina mbalimbali nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

operesheni ya kusaka wahalifu yaendelea mkoani tabora

Kamanda wa Polisi mkoa waTabora Kamishna Msaidizi wa Polisi Suzan Kaganda leo tarehe 18/04/2014 amefanya Mkutano na waandishi wa habari, na kuzungumzia mambo mbalimbali hasa mafanikio yaliyopatikana katika Operesheni zinazoendelea mkoani Tabora ambapo wahalifu wa  makosa mbalimbali yamekamatwa na watuhumiwa kufikishwa mahakamani.     Maganda ya risasi ambayo yalitelekezwa yakiwa katika mfuko wa manira.
 RPC tabora akiwaonesha waandishi wa habari katika Press Conferences leo bunduki aina...

 

10 years ago

GPL

OFM YANASA YANASA DAWA ZIKIUZWA KIHOLELA

Ramadhani na Mayasa Mariwata NIhatari! Shirika la Afya la Dunia (WHO) limetoa ripoti na kubainisha kwamba dawa za kutibu maradhi ya kuharisha, vichomi, maambukizi ya kwenye njia ya mkojo (U.T.I), mafua na magonjwa kama ya zinaa mfano kaswende na kisonono sasa zimekuwa sugu.  ..Soma zaidi===>http://bit.ly/1J7E0L4

 

10 years ago

GPL

MTANDAO WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI NCHINI NIGERIA WAINGILIWA NA WAHALIFU

Mtandao wa tume ya uchaguzi nchini Nigeria. Huku mamilioni ya raia wa Nigeria wakipiga kura kumchagua rais mpya,tovuti ya tume ya uchaguzi nchini Nigeria imeingiliwa na wahalifu wa mtandaoni. Kundi linalojiita Jeshi la mtandaoni la Nigeria limeweka ujumbe katika tovuti hiyo likiionya tume ya uchaguzi ya Nigeria dhidi ya kufanya udanganyifu katika uchaguzi huo. kufikia sasa haijulikani iwapo wahalifu hao wameingia zaidi ya...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Membe KUSHIRIKI MKUTANO WA KUZUIA UHALIFU NA HAKI ZA WAHALIFU Nchini Quatar

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernard Membe (Mb.) akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Quatar Mh. Dkt. Khalid Mohamed Al Attiyah, walipokutana na kufanya mazungumzo kuhusu kuendeleza mahusiano kati ya Tanzania na Quatar pia kutangaza Fursa za uwekezaji nchini Tanzania. Waziri Membe yupo nchini Quatar kwa madhumuni ya kushiriki mkutano kuhusu Kuzuia Uhalifu na Haki za Waalifu. Mazungumzo yakiendeleaWaziri Membe akiwa Katika picha ya pamoja na Bw. Noel Kaganda Mshauri wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kweli Operesheni Okoa Elimu inahitajika nchini

WAKATI wanafunzi waliomaliza darasa la saba wakijiandaa kuanza muhula wa kwanza wa kidato cha kwanza, tatizo la kufika kwenye shule za kata bado ni changamoto kutokana na kuwa mbali na...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI KITWANGA ATANGAZA OPERESHENI YA KUKAMATA WAHAMIAJI HARAMU NCHINI


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kulia) akimsalimia Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Sylvester Ambokile wakati alipowasili Makao Makuu ya Uhamiaji, Kurasini jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya ziara ya kikazi. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil, na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu, John Mngodo. Katika ziara hiyo, Waziri Kitwanga aliitaka Idara hiyo ya Uhamiaji kuanz rasmi kwa operesheni ya kuwakamata Wahamiaji Haramu nchini. Picha zote na...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI KITWANGA ATEMBELEA UHAMIAJI, ATANGAZA OPERESHENI YA KUKAMATA WAHAMIAJI HARAMU NCHINI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kulia) akimsalimia Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Sylvester Ambokile wakati alipowasili Makao Makuu ya Uhamiaji, Kurasini jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya ziara ya kikazi. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil, na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu, John Mngodo. Katika ziara hiyo, Waziri Kitwanga aliitaka Idara hiyo ya Uhamiaji kuanz rasmi kwa operesheni ya kuwakamata Wahamiaji Haramu nchini.Waziri wa Mambo ya Ndani...

 

11 years ago

BBCSwahili

Watu 200 kushtakiwa nchini Misri

Mwendesha mashtaka nchini Misri amewafungulia mashtaka watu 200 wa kundi moja la waislamu wenye itikadi kali.

 

5 years ago

Michuzi

Tanzania Kuuza Makontena 200 ya Maharage nchini Ubelgiji Inbox x

Ubalozi wa Tanzania nchini Ubelgiji umepata soko kubwa la maharage machanga ya kijani yanayojulikana kama haricots vertz(green thin beans) nchini Ubelgiji. Soko hilo limepatikana baada ya Balozi wa Tanzania nchini humo, Mhe. Jestas Abuok Nyamanga kufanya mazungumzo na uongozi wa juu wa kampuni ya CBG-Charlier-Brabo Group inayonunua maharage hayo kutoka sehemu mbalimbali duniani na kuyauza katika supermarkets kubwa za Carrefour, Delhaize na Aldi za nchini Ubelgiji, Luxembourg na nchi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani