Orodha ya vyama vya kijamii vinavyokusudiwa kufutwa na wizara ya mambo ya ndani ya nchi
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi15 May
9 years ago
Michuzi
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI YAFUTA VYAMA VYA KIJAMII 1,268


Na Zainabu Hamisi, Globu ya Jamii.WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imefuta vyama...
9 years ago
Michuzi31 Dec
11 years ago
GPL
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KUANZA ZOEZI LA KUHAKIKI VYAMA VYA KIJAMII HAPA NCHINI MWEZI UJAO
9 years ago
Michuzi
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI INAKUSUDIA KUVIFUTA VYAMA VYA KIJAMII VIFUATAVYO BAADA YA KUKIUKA TARATIBU ZA USAJILI

11 years ago
Michuzi
NEWS ALERT: WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KUANZA ZOEZI LA KUHAKIKI VYAMA VYA KIJAMII HAPA NCHINI MWEZI UJAO

Pamoja na mambo mengine, zoezi hili linalenga kuvifuta kutoka katika daftari la Msajili vya Vyama vya Kijamii vyama ambavyo vitabainika kuwa havina sifa tena ya kuendelea kuwa katika daftari hilo.
Vigezo ambavyo vinaweza kusababisha chama kufutwa kutoka katika Daftari la Msajili wa Vyama vya Kijamii ni pamoja na kutolipa ada za mwaka kwa wakati na kutowasilisha kwa...
9 years ago
Dewji Blog11 Dec
#HapaKaziTu! Wizara ya Mambo ya Ndani yavifuta usajili wa vyama vya kijamii 1,268
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Isack Nantanga.(Picha na Maktaba).
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Wizara ya Mambo ya Ndani imetangaza kufuta usajili wa vyama 1,208 vya kijamii kati ya vyama 12,665 ambavyo vimesajiliwa katika daftari la msajili wa vyama katika Wizara hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Isaac Nantanga amesema sababu ya kuvifuta vyama hivyo ni kushindwa kufata masharti ya usajili, kushindwa kulipa ada za mwaka na kuwasilisha...
10 years ago
Michuzi27 Apr
9 years ago
MichuziUJUMBE WA UBALOZI WA CHINA NCHINI WAMTEMBELEA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAKUBALIANA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI