ORODHA YA VYAMA VYA KIJAMII VINAVYOKUSUDIWA KUFUTWA
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi29 May
10 years ago
Michuzi27 Apr
10 years ago
Habarileo23 Apr
Orodha vyama vya kijamii vitakavyofutwa kuanza kutolewa
WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakati wowote wiki hii itaanza kutoa orodha ya vyama vya kijamii vitakavyofutwa kwa kuanzia na mkoa wa Dar es Salaam.
9 years ago
Michuzi31 Dec
9 years ago
StarTV30 Oct
Kufutwa matokeo ya uchaguzi zanzibar  Vyama vya siasa vyapinga
Baadhi ya vyama vya siasa vilivyoshiriki uchaguzi mkuu wa Zanzibar vimeeleza kutokubaliana na kauli ya mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ZEC Jecha Salim Jecha ya kufuta uchaguzi mkuu ulioelezwa kujaa mizengwe na kukiuka taratibu.
Wanadai kuwa tangazo hilo linawatia mashaka wakimtaka mwenyekiti wa Tume achambue vipengele vitakavyothibitisha kasoro zilizosababisha kufutwa kwa sheria hiyo.
Akizungumza wakati wa mkutano na wanahabari malindi visiwani Zanzibar Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-iDVZ1uHpYUw/VTc1GIIg1lI/AAAAAAAHSao/BNrQ3FnD17U/s72-c/images.jpg)
UFAFANUZI WA ZOEZI LA UHAKIKI WA VYAMA VYA KIJAMII NCHINI
![](http://4.bp.blogspot.com/-iDVZ1uHpYUw/VTc1GIIg1lI/AAAAAAAHSao/BNrQ3FnD17U/s1600/images.jpg)
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu zoezi linaloendelea kuhusiana na Vyama vya Kijamii vilivyosajiliwa chini ya Sheria ya Vyama, Sura 337 kuwa ni la kubaini vyama vile ambavyo havitekelezi matakwa ya kisheria ya kuwasilisha taarifa za mwaka za ukaguzi wa hesabu za vyama husika na pia vile ambavyo havilipi ada ya mwaka kama sheria ya Vyama inavyoelezea.
Vyama ambavyo vitabainika kukiuka matakwa ya...
10 years ago
Dewji Blog14 Sep
Serikali kuanza zoezi la kuhakiki vyama vya kijamii
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Isack Nantanga akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Na Frank Mvungi
Serikali imedhamiria kuanza zoezi la kuhakiki vyama vya kijamii ili kuboresha huduma zinazotolewa na vyama hivyo hapa nchini tangu kuanzishwa kwake.
Hayo ya mesemwa leo Jijini Dar es salaam na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi Bw. Isack Nantanga wakati wa mkutano na waandishi wa habari .
Katika kuboresha huduma na usimamizi wa vyama vya...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-xxd9FoaWSeQ/VmrWMw9wLTI/AAAAAAAILro/mFW0JU6NCUY/s72-c/IMG_7369.jpg)
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI YAFUTA VYAMA VYA KIJAMII 1,268
![](http://3.bp.blogspot.com/-xxd9FoaWSeQ/VmrWMw9wLTI/AAAAAAAILro/mFW0JU6NCUY/s640/IMG_7369.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-eaXdoQzNbAo/VmrWM3bUPiI/AAAAAAAILrk/mq7_igWZcDM/s640/IMG_7372.jpg)
Na Zainabu Hamisi, Globu ya Jamii.WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imefuta vyama...
9 years ago
Dewji Blog11 Dec
#HapaKaziTu! Wizara ya Mambo ya Ndani yavifuta usajili wa vyama vya kijamii 1,268
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Isack Nantanga.(Picha na Maktaba).
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Wizara ya Mambo ya Ndani imetangaza kufuta usajili wa vyama 1,208 vya kijamii kati ya vyama 12,665 ambavyo vimesajiliwa katika daftari la msajili wa vyama katika Wizara hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Isaac Nantanga amesema sababu ya kuvifuta vyama hivyo ni kushindwa kufata masharti ya usajili, kushindwa kulipa ada za mwaka na kuwasilisha...