Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Orodha vyama vya kijamii vitakavyofutwa kuanza kutolewa

Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe.WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakati wowote wiki hii itaanza kutoa orodha ya vyama vya kijamii vitakavyofutwa kwa kuanzia na mkoa wa Dar es Salaam.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Serikali kuanza zoezi la kuhakiki vyama vya kijamii

Pix 059

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Isack Nantanga akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.

Na Frank Mvungi

Serikali imedhamiria kuanza zoezi la kuhakiki vyama  vya kijamii ili kuboresha huduma zinazotolewa na vyama hivyo hapa nchini tangu kuanzishwa kwake.

Hayo ya mesemwa leo Jijini Dar es salaam na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi Bw. Isack Nantanga wakati wa mkutano na waandishi wa habari .

 Katika  kuboresha huduma na usimamizi wa vyama vya...

 

10 years ago

GPL

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KUANZA ZOEZI LA KUHAKIKI VYAMA VYA KIJAMII HAPA NCHINI MWEZI UJAO

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuanzia mwezi ujao, Oktoba 2014, itaanza zoezi la kuvihakiki Vyama vya Kijamii hapa nchini. Pamoja na mambo mengine, zoezi hili linalenga kuvifuta kutoka katika daftari la Msajili vya Vyama vya Kijamii vyama ambavyo vitabainika kuwa havina sifa tena ya  kuendelea kuwa katika daftari hilo.
Vigezo ambavyo vinaweza kusababisha chama kufutwa kutoka katika Daftari la Msajili wa Vyamavya Kijamii ni...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KUANZA ZOEZI LA KUHAKIKI VYAMA VYA KIJAMII HAPA NCHINI MWEZI UJAO

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuanzia mwezi ujao, Oktoba 2014, itaanza zoezi la kuvihakiki Vyama vya Kijamii hapa nchini.


Pamoja na mambo mengine, zoezi hili linalenga kuvifuta kutoka katika daftari la Msajili vya Vyama vya Kijamii vyama ambavyo vitabainika kuwa havina sifa tena ya  kuendelea kuwa katika daftari hilo.


Vigezo ambavyo vinaweza kusababisha chama kufutwa kutoka katika Daftari la Msajili wa Vyama vya Kijamii ni pamoja na kutolipa ada za mwaka kwa wakati na kutowasilisha kwa...

 

10 years ago

Michuzi

UFAFANUZI WA ZOEZI LA UHAKIKI WA VYAMA VYA KIJAMII NCHINI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi inapenda kutoa ufafanuzi  kuhusu zoezi linaloendelea kuhusiana na Vyama vya Kijamii vilivyosajiliwa chini ya Sheria ya Vyama, Sura 337 kuwa ni la kubaini vyama vile ambavyo havitekelezi matakwa ya kisheria ya kuwasilisha taarifa za mwaka za ukaguzi wa hesabu za vyama husika na pia vile ambavyo havilipi ada ya mwaka kama sheria ya Vyama inavyoelezea.
 Vyama ambavyo vitabainika kukiuka matakwa ya...

 

9 years ago

Michuzi

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI YAFUTA VYAMA VYA KIJAMII 1,268

 Msemaji wa Wizara Mambo ya Ndani ya Nchi, Isaac Nantanga akizungumza na waandishi wa habari leo juu ya ufutaji wa vyama vya kijamii vilivyoshindwa kuendesha pamoja na kushindwa kulipa ada, kushoto ni Mwanasheria wa wizara hiyo, Berious Nyasembwa.Waandishi wa habari wakifatilia taarifa ya Msemaji wa Wizara Mambo ya Ndani ya Nchi, Isaac Nantanga leo jijini Dar es Salaam.Picha na Avila Kakingo wa Globu ya Jamii.

Na Zainabu Hamisi, Globu ya Jamii.WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imefuta vyama...

 

9 years ago

Dewji Blog

#HapaKaziTu! Wizara ya Mambo ya Ndani yavifuta usajili wa vyama vya kijamii 1,268

Pix-059

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Isack Nantanga.(Picha na Maktaba).

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Wizara ya Mambo ya Ndani imetangaza kufuta usajili wa vyama 1,208 vya kijamii kati ya vyama 12,665 ambavyo vimesajiliwa katika daftari la msajili wa vyama katika Wizara hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Isaac Nantanga amesema sababu ya kuvifuta vyama hivyo ni kushindwa kufata masharti ya usajili, kushindwa kulipa ada za mwaka na kuwasilisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani