Padri FEKI Akamatwa Baada ya Kusalisha Misa Huko Morogoro
![](http://lh3.ggpht.com/-CNyC7d_mdqM/VPrMTvWGdLI/AAAAAAAAplE/TLG_KCblR8g/s72-c/1.jpg)
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro, linamshikilia mkazi wa Manispaa hiyo, Josephat Asenga (47), mwenye taaluma ya uhasibu, kwa tuhuma za kujifanya Padri.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo, alisema kuwa, Asenga alikamatwa juzi saa 10:30 jioni, katika maeneo ya Modeco, Kata ya Mazimbu katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Maria.Kwa mujibu wa Kamanda Paulo, mtuhumiwa huyo alifika parokiani hapo Juni mwaka jana akiwa amevaa mavazi ya Padri na kujitambulisha kwa Paroko wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo07 Mar
Padri feki abambwa baada ya kusalisha
JESHI la Polisi mkoani Morogoro, linamshikilia mkazi wa Manispaa hiyo, Josephat Asenga (47), mwenye taaluma ya uhasibu, kwa tuhuma za kujifanya Padri.
11 years ago
Mwananchi12 Jul
Daktari feki akamatwa hospitali ya Morogoro
10 years ago
Habarileo08 Mar
Sifa za ziada za Padri feki
SIRI ya mafanikio ya Padri feki, Josephat Asenga, aliyekamatwa mkoani Morogoro, katika kuongoza Misa ya Kanisa Katoliki kwa kufuata taratibu zote maalumu bila kutiliwa shaka, imebainika.
9 years ago
Mtanzania04 Sep
Padri mtarajiwa akamatwa kwa mauaji Arusha
NA JANETH MUSHI, ARUSHA
JESHI la Polisi mkoani Arusha linamshikilia mwanafunzi wa mwaka wa tano wa masomo ya falsafa katika Chuo cha Dini cha Kanisa Katoliki kilichopo Segerea, Dar es Salaam kwa tuhuma za mauaji.
Elijus Lyatuu (31), anashikiliwa kwa tuhuma za kumuua Alfred Kimbaa (18) maarufu kwa jina la Mandela mwanzoni mwa wiki katika Hoteli ya A Square Belmont katikati ya Jiji la Arusha.
Mtuhumiwa huyo anadaiwa alimuua Kimbaa usiku wa kuamkia Jumatatu katika hoteli hiyo na kuchukua baadhi...
10 years ago
Vijimambo24 Oct
Mgonjwa 'feki' akamatwa Uingereza
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/625/amz/worldservice/live/assets/images/2014/10/23/141023095019_mhalifu_ajidai_512x288_bbc_nocredit.jpg)
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/590/amz/worldservice/live/assets/images/2014/10/23/141023095720_mke_mhalifu_512x288_bbc_nocredit.jpg)
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/590/amz/worldservice/live/assets/images/2014/10/23/141023095919_night_anaswa_na_polisi_512x288_bbc_nocredit.jpg)
Mwanamume mmoja ameshtakiwa kwa kosa la kutumia udanganyifu na kujidai kuwa mgonjwa mahututi kwa miaka miwili nchini Uingereza ili kukwepa mkono wa sheria.
Mwanamume huyo kwa jina Alan Knight, mwenye umri wa miaka 47, kutoka mtaa wa Swansea,aliamua kujidai kuwa mgonjwa...
10 years ago
Habarileo14 Mar
Katibu feki wa Ikulu akamatwa
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linamshikilia mkazi wa Mbagala Rangi Tatu, Haroub Mtopa (44) kwa kujifanya mtumishi wa umma kupitia cheo cha Katibu wa Rais, Jakaya Kikwete, Prosper Mbena.
11 years ago
Tanzania Daima12 Jul
Daktari feki akamatwa Moro
JESHI la Polisi mkoani Morogoro, linamshikilia Karume Kanzu (22), kwa tuhuma za kujifanya daktari wa hospitali kuu mkoani hapa na kuhudumia wagonjwa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo,...
10 years ago
Habarileo05 Jan
Akamatwa na mil.400/-feki
JESHI la Polisi mkoani hapa linamshikilia mkazi wa Buzuruga jijini hapa, Zakaria Matiku Werema (35) baada ya kukamatwa akiwa na fedha bandia za Tanzania na za kigeni, ambazo kama zingekuwa halali zingekuwa na thamani ya zaidi ya Sh milioni 400.
10 years ago
BBCSwahili09 Dec
Daktari feki akamatwa Tanzania