Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pakistani,India kuomboleza vifo Wagah

Pakistani na India zimesitisha sherehe za kushusha bendera katika mpaka wa Wagah kwa siku tatu

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ushirikina wasababisha vifo India

Imani za kishirikina zinazowalenga wanawake zinasababisha vifo vingi India

 

10 years ago

GPL

DAKTARI ALIYESABABISHA VIFO VYA WATU 13 INDIA MBARONI

Dk. RK Gupta aliyetiwa mbaroni. DAKTARI anayehusishwa na tukio la vifo vya watu 13 katika kituo cha kutoa huduma ya kuzuia uzazi kwa njia ya upasuaji jimboni Chattisgarh nchini India, Dk. RK Gupta ametiwa mbaroni.…

 

10 years ago

GPL

VIFO INDIA: IDADI YA WALIOFARIKI KWA POMBE YENYE SUMU WAFIKIA 90

Waombolezaji wakiwa na picha ya mmoja wa watu waliofariki kwa kunywa pombe yenye sumu huko India. Mwili wa mmoja wa watu waliofariki katika tukio hilo. Vilio na…

 

10 years ago

Vijimambo

IDADI YA VIFO VINAVYOTOKANA NA JOTO KALI NCHINI INDIA VIMEPITA ZAIDI WATU 1,000

 Idadi ya vifo vinavyotokana na joto kali nchini India vimepita zaidi watu 1,000 huku hali ya joto ikikaribia nyuzi joto 50 katika baadhi ya maeneo. Vingi ya vifo vimetokea katika jimbo la kusini la Telangana pamoja na Andhra Pradesh, ambapo watu 1,118 wamekufa tangu wiki iliyopita. Ripoti zinaeleza watu wengine 24 wamekufa kutokana na joto kali huko Bengali Magharibi pamoja na Orissa. Hali ya joto hilo inatarajiwa kupungua katika siku chache zijazo.


 

10 years ago

BBCSwahili

Pakistani kuunda mahakama za kijeshi

Bunge nchini Pakistani limepitisha maamuzi kuunda mahakama za kijesshi

 

11 years ago

BBCSwahili

Uwanja wa ndege washambuliwa Pakistani

Watu wenye bunduki nzito wameshambulia uwanja wa ndege Pakistan na kukabiliana vikali na nmakombando watu kadhaa wakafarik.

 

11 years ago

BBCSwahili

Siku 3 kuomboleza waliozama Ziwa Albert

Serikali ya Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo imetangaza siku 3 za maombolezi ya wakimbizi waliofariki katika ajali ya boti katika ziwa Albert siku ya Jumamosi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Watoto wafunzwa fikra za Osama Pakistani

Watoto takriban 5,000 wanapewa mafunzo ya misimamo ya Osama bin Laden nchini Pakistani

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani