Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DAKTARI ALIYESABABISHA VIFO VYA WATU 13 INDIA MBARONI

Dk. RK Gupta aliyetiwa mbaroni. DAKTARI anayehusishwa na tukio la vifo vya watu 13 katika kituo cha kutoa huduma ya kuzuia uzazi kwa njia ya upasuaji jimboni Chattisgarh nchini India, Dk. RK Gupta ametiwa mbaroni.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Daktari aliyesababisha vifo akamatwa

Daktari aliyesababisha vifo vya Wanawake nchini India anashikiliwa na Polisi

 

10 years ago

Michuzi

NAMNA YA KUMSHITAKI DAKTARI ALIYESABABISHA MADHARA AU KIFO KWA MGONJWA.

Na   Bashir   Yakub.
Wako  watu  wengi  wameathirika  kutokana  na  matendo  yanayotokana  na  uzembe,kutojali  au  makusudi ya madaktari. Wapo  waliopata  vilema    vya muda  kutokana  na  uzembe  huo,  wapo  waliopata  vilema  vya  maisha  na  wapo  waliouliwa  na  madaktari hawa hawa.  
 Ajabu  ni kuwa  ukifanya  tathmini  ya  haraka  utaona kuwa    watu  wote waliopata  madhila    kutoka  kwa  madaktari  huhusisha  madaktari  wa serikali  na  katika  hospitali  za  serikali.  Si...

 

10 years ago

Vijimambo

IDADI YA VIFO VINAVYOTOKANA NA JOTO KALI NCHINI INDIA VIMEPITA ZAIDI WATU 1,000

 Idadi ya vifo vinavyotokana na joto kali nchini India vimepita zaidi watu 1,000 huku hali ya joto ikikaribia nyuzi joto 50 katika baadhi ya maeneo. Vingi ya vifo vimetokea katika jimbo la kusini la Telangana pamoja na Andhra Pradesh, ambapo watu 1,118 wamekufa tangu wiki iliyopita. Ripoti zinaeleza watu wengine 24 wamekufa kutokana na joto kali huko Bengali Magharibi pamoja na Orissa. Hali ya joto hilo inatarajiwa kupungua katika siku chache zijazo.


 

9 years ago

Habarileo

Polisi wachunguza vifo vya utata vya watu 4 Bukoba

JESHI la Polisi mkoani Kagera linachunguza tukio la vifo vya watu wanne waliouawa katika mazingira ya kutatanisha, kilometa 10 kutoka Bukoba Mjini.

 

9 years ago

BBCSwahili

Vita vya jogoo vyasababisha vifo vya watu 10

Takriban watu 10 wamepigwa risasi na kuuawa baada ya makundi mawili kutofautiana kuhusu jogoo yupi aliyeibuka mshindi katika vita katika jimbo la Guerrero Mexico.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Fahamu nadharia juu ya vifo vya vijana na watu wengine wenye afya njema

Hakuna majibu ya moja kwa moja bali nadharia zinazojaribu kutegua kitendawili cha vifo vya vijana wenye afya.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kuwait yaomboleza vifo vya watu 27

Maombolezi yanaendelea nchini Kuwait kuwakumbuka watu 27 waliouawa kwenye shambulizi la kujitoa mhanga ndani ya msikiti wa kishia

 

10 years ago

Vijimambo

JK atuma rambirambi kufuatia vifo vya watu 12

Rais Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk. Joel Bendera, kufuatia vifo vya watu 12 na majeruhi 44 katika ajali iliyotokea mkoani hapa.

“Nimepokea kwa mshtuko na masikitiko taarifa za vifo vya watu 12 waliopoteza maisha papo hapo na kusababisha simanzi kubwa kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki zao, huku taifa likipoteza nguvu kazi muhimu kwa maendeleo yake kutokana na ajali za barabarani,” alisema.

Aliwaomba wote waliopoteza ndugu zao katika ajali hiyo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kimbunga chasababisha vifo vya watu 9 China

Utawala China umethibitisha vifo vya watu 9 kutokana na athari za kimbunga kinachoendelea kuponda pwani yake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani