Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PAM D AFANYA KWELI MAISHA CLUB

Pam D akiwa na rafiki yake kwenye red carpet. Pam D,  akiwa na Miss Talent Nicole pamoja na MC Pilipili. ...mwenye blauzi nyekundu akiwa na wacheza shoo wake.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

PAM D AFANYA KWELI SHOO YA MWANA DAR LIVE

Mwanamuziki wa Bongo Fleva anayefanya vizuri katika tasnia hiyo, Pamela Daffa 'Pam D' akiwarusha mashabiki wa Dar Live kwa songi lake kali la Nimempata. Vijana wa Pam D wakifanya yao stejini.…

 

11 years ago

GPL

JOSE CHAMELEONE AFANYA MAKAMUZI MAISHA CLUB DAR

Msanii mkubwa wa Uganda, Joseph Mayanja 'Dr Jose Chameleone' akitoa burudani usiku wa kuamkia leo Maisha Club jijini Dar. ...Burudani ikiendelea ndani ya Maisha Club.…

 

10 years ago

Vijimambo

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA IDD MOSI KUZINDUA CLUB MPYA YA MAISHA BASEMENT ZAMANI NEW MAISHA CLUB

 Mratibu wa Burudani wa Club mpya ya 'Maisha Basement' zamani New Club Maisha pamoja na Maisha Club za Tanzania, Hemed Kavu (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu uzinduzi wa Club hiyo utakaofanyika Idd Mosi katika Jengo la LAPF Towers lililopo mkabala na Makumbusho ya Taifa eneo la Kijitonyama ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Kulia ni Meneja Mkuu wa Miasha Club za Tanzania, Allan Ngugi na...

 

10 years ago

Dewji Blog

DC Makonda Idd Mosi kuzindua Club mpya ya Maisha Basement zamani New Maisha Club

Mratibu wa Burudani wa Club mpya ya ‘Maisha Basement’ zamani New Club Maisha, Hemed Kavu (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu uzinduzi wa Club hiyo utakaofanyika Idd Mosi katika Jengo la LAPF Towers lililopo mkabala na Makumbusho ya Taifa eneo la Kijitonyama ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Kulia ni Meneja Mkuu wa Club hiyo, Allan Ngugi na Meneja Uendeshaji wa Sam Kaliuki.

  Mratibu...

 

10 years ago

Michuzi

MAKONDA KUZINDUA CLUB MPYA YA MAISHA BASEMENT ZAMANI NEW MAISHA CLUB

 Mratibu wa Burudani wa Club mpya ya 'Maisha Basement' zamani New Club Maisha, Hemed Kavu (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu uzinduzi wa Club hiyo utakaofanyika Idd Mosi katika Jengo la LAPF Towers lililopo mkabala na Makumbusho ya Taifa eneo la Kijitonyama ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Kulia ni Meneja Mkuu wa Club hiyo, Allan Ngugi na Meneja Uendeshaji wa Sam Kaliuki.  Mratibu wa...

 

10 years ago

GPL

PAM D KUZALIWA UPYA NEW MAISHA

MKALI wa ngoma ya Nimempata, Pamela Daffa ‘Pam D’ anatarajiwa kuzaliwa upya katika bonge la pati litakalofanyika ndani ya Maisha Club, Novemba 9, jijini Dar. Akipiga stori na Over The Weekend, Pam D alisema kuwa siku hiyo atatambulishwa rasmi kwenye gemu ya Bongo Fleva kwa kusindikizwa na mastaa kibao kama Mesen Selekta, Mirror, Bonge la Nyau, Stereo, Y-Tony na wengine kibao. Pam D akionekana katika pozi. ...

 

9 years ago

GPL

PAM D AELEZA NYIMBO ZAKE MBILI ZILIVYOBADILISHA MAISHA YAKE

Mtangazaji wa Global TV Online na muimbaji Pamela Daffa 'Pam D'. Pamela Daffa 'Pam D' akiwa katika mapozi tofauti. MTANGAZAJI na muimbaji Pamela Daffa aka Pam D amesema nyimbo zake mbili zimempa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani