PAMOJA NA KUWAOMBA KURA,MAGUFULI AWAASA WAVUVI KUTOFANYA UVUVI HARAMU.
![](http://2.bp.blogspot.com/-Adkhy8eTRtk/ViUjhvjY8EI/AAAAAAADBJs/7UO4LrL5xkE/s72-c/3.jpg)
Mgombea Urais Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli ukihutubia maelfu ya wananchi wa kijiji cha Nkome,Geita Vijijini Mkoani Geita kwenye mkutano wa kampeni,Dk. John Pombe Magufuli aliomba kura za ndiyo kwa wananchi ili wamchague na kuwa rais wa Tanzania katika uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu nchini kote ukishirikisha vyama vingi vya siasa
Dk Magufuli akiwahutubia wananchi hao ambao wengi wao ni wavuvi....
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi16 Oct
Uvuvi haramu unazorotesha sekta ya uvuvi ziwa Nyasa
9 years ago
Dewji Blog12 Nov
Kituo cha kuendeleza Samaki Kanda ya Kati chatoa siku saba kwa wavuvi haramu kusalimisha zana haramu wanazotumia
Baadhi ya nyavu haramu zisizoruhusiwa kutumika kuvulia samaki kwenye bwawa la Kijiji cha Mwanzugi,wilayani Igunga.
Na. Jumbe Ismailly
[IGUNGA] Kituo cha kuendeleza samaki Kanda ya kati,chenye makao yake makuu wilayani Igunga,Mkoani Tabora kimetoa muda wa siku saba kuanzia sasa kwa watu wote wanaojishughulisha na uvuvi...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-knbfAjs6WsA/VSjgA-lGsKI/AAAAAAADhXA/KGTdbBdDLX4/s72-c/coastal-east-africa-threats-07302012HI_114886.jpg)
UVUVI ENDELEVU UTAWASAIDIA WAVUVI KUONDOKANA NA UMASKINI-BALOZI MANONGI
![](http://3.bp.blogspot.com/-knbfAjs6WsA/VSjgA-lGsKI/AAAAAAADhXA/KGTdbBdDLX4/s1600/coastal-east-africa-threats-07302012HI_114886.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-RxVNoOoAEBI/VSjBYOlWx4I/AAAAAAAHQO8/rjW-jH5SfyM/s72-c/unnamed%2B(26).jpg)
UVUVI ENDELEVU UTAWASAIDIA WAVUVI KUONDOKANA NA UMASKINI - BALOZI MANONGI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-jxPvF-AblpI/Xrr0WISIvOI/AAAAAAALp-E/0J2_brrMiv8dyPG0NldfX_YLEqFXCaIugCLcBGAsYHQ/s72-c/01.jpg)
Serikali yawakabidhi wavuvi injini za boti kuboresha uvuvi nchini
![](https://1.bp.blogspot.com/-jxPvF-AblpI/Xrr0WISIvOI/AAAAAAALp-E/0J2_brrMiv8dyPG0NldfX_YLEqFXCaIugCLcBGAsYHQ/s640/01.jpg)
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina (wa kwanza kushoto) akimkabidhi Mbunge wa Kyela ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe injini ya boti iliyotolewa na Serikali kwa ajili ya kikundi cha wavuvi cha Kyela mkoani Mbeya wakati wa hafla ya makabidhiano ya injini hiyo leo jijini Dodoma.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/0b7cf848-623b-4e88-b0dd-c3eb6aa89a70.jpg)
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina (wa pili kushoto) akimkabidhi Mbunge wa Mtwara Vijinini Hawa Ghasia (wa kwanza kulia) moja ya injini ya boti kati ya mbili...
10 years ago
Habarileo27 Jan
‘Wavuvi haramu wanahujumu uchumi’
NAIBU waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Kaika Telele ameitaka jamii kutofumbia macho wavuvi haramu kwa kwa vitendo vyao havina tofauti na kuhujumu uchumi.
10 years ago
Mwananchi27 Jan
Serikali yawaonya wavuvi haramu
11 years ago
Tanzania Daima19 Jul
Wavuvi haramu Mwanzugi wapigwa marufuku
WIZARA ya Mifugo na Uvuvi Kanda ya Kati, imewaagiza watu wanaojishughulisha na uvuvi haramu kwenye bwawa la Mwanzugi, wilayani Igunga, mkoani Tabora waache na endapo wataendelea kukaidi amri hiyo hatua...