Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yawaonya wavuvi haramu

>Serikali imewaonya wavuvi na kuwataka mara moja kuacha matumizi ya baruti kuvua samani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Kituo cha kuendeleza Samaki Kanda ya Kati chatoa siku saba kwa wavuvi haramu kusalimisha zana haramu wanazotumia

SAM_0161

Baadhi ya nyavu haramu zisizoruhusiwa kutumika kuvulia samaki kwenye bwawa la Kijiji cha Mwanzugi,wilayani Igunga.

SAM_0148

Ofisa Uvuvi Mfawidhi Kituo cha kuendeleza ufugaji samaki kanda ya kati, Bwana Renatus Charles Karumbete akitoa maelezo ya namna samaki wanavyozalishwa katika kituo hicho.

Na. Jumbe Ismailly

[IGUNGA] Kituo  cha kuendeleza samaki Kanda ya kati,chenye makao yake makuu wilayani Igunga,Mkoani Tabora kimetoa muda wa siku saba kuanzia sasa kwa watu wote wanaojishughulisha na uvuvi...

 

10 years ago

Habarileo

‘Wavuvi haramu wanahujumu uchumi’

NAIBU waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Kaika Telele ameitaka jamii kutofumbia macho wavuvi haramu kwa kwa vitendo vyao havina tofauti na kuhujumu uchumi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wavuvi haramu Mwanzugi wapigwa marufuku

WIZARA ya Mifugo na Uvuvi Kanda ya Kati, imewaagiza watu wanaojishughulisha na uvuvi haramu kwenye bwawa la Mwanzugi, wilayani Igunga, mkoani Tabora waache na endapo wataendelea kukaidi amri hiyo hatua...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wavuvi haramu walipukiwa na baruti Tanga

WAKAZI wawili wa Kata ya Tangasisi tarafa ya Pongwe wilayani Tanga wamejeruhiwa viungo mbalimbali vya mwili kwa kulipukiwa na baruti wakati wakivua kwa kutumia zana za uvuvi haramu kwenye kisiwa...

 

9 years ago

Mwananchi

‘Wavuvi haramu hulipua mabomu 300 kila mwezi’

Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Uhifadhi wa Wanyamapori (WCS) ya Marekani, umebaini kuwa Tanzania ni nchi pekee barani Afrika ambayo wavuvi wake hutumia mabomu ya kienyeji kuvua samaki.

 

9 years ago

Michuzi

PAMOJA NA KUWAOMBA KURA,MAGUFULI AWAASA WAVUVI KUTOFANYA UVUVI HARAMU.

 Mgombea Urais Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli ukihutubia maelfu ya wananchi wa kijiji cha Nkome,Geita Vijijini Mkoani Geita kwenye mkutano wa kampeni,Dk. John Pombe Magufuli aliomba kura za ndiyo kwa wananchi ili wamchague na kuwa rais wa Tanzania  katika uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu nchini kote ukishirikisha vyama vingi vya siasa

Dk Magufuli akiwahutubia wananchi hao  ambao wengi wao ni wavuvi....

 

10 years ago

Vijimambo

WAVUVI HARAMU WAPOTEZA MIKONO, MACHO BAADA YA KULIPUKIWA NA MABOMU YAO WAKATI WAKIVUA

 Baadhi ya majeruhi waliolipukiwa na barutiwakiwa wamelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Bombo huku wakiwa wamepoteza baadhi ya viungo vikiwemo macho na mikono.Mmoja wa majeruhi waliolipukiwa na baruti wakiwa wamelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Bombo huku wakiwa wamepoteza baadhi ya viungo vikiwemo macho na mikono. Baadhi ya majeruhi waliolipukiwa na baruti jana wakati wakivua samaki kwa kutumia baruti katika Kisiwa cha Karange tarafa ya Pongwe wakiwa wamelazwa katika Hospitali ya Rufaa...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR YAWAONYA WATENDAJI WA SERIKALI NA TAASISI ZAKE

Na Mwandishi wetu.Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeonya kwamba haitamvumilia mtendaji ye yote wa Serikali  au Taasisi zake za Umma atakayebainika anazorotesha ufanisi wa kazi pamoja na kuendeleza makundi katika sehemu za kazi.
Onyo hilo limetolewa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali wakati akizungumza na Wafanyakazi wa Idara ya upigaji chapa na Mpiga chapa Mkuu wa Serikali baada ya kuangalia utendaji kazi wa fanyakazi hao katika sehemu mbali mbali za Kiwandi hicho hapo...

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yawaonya makandarasi

SERIKALI imeonya makandarasi wenye tabia ya kuhonga watumishi wa Serikali ili wapatiwe zabuni za ujenzi wa miradi mbalimbali kuacha mara moja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani