PAMOJA NA MVUA KUBWA, TAMASHA LA KRISMAS LAACHA HISTORIA MJINI IRINGA
Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akimtunza Mwimbaji wa muziki wa Injili kutoka nchini DRC Congo wakati akiima kwenye tamasha la Krismasi lililofamyika kwenye uwanja wa Samora mjini Iringa na kushirikisha waimbaji mbalimbali wa muziki wa injili wakiwemo Upendo Nkone, Upendo Kilahiro, Bony Mwaiteje, Faraja Ntaboba kutoka DRC Congo, Solomon Mukubwa, Edson Mwasabwite Joshua Mlelwa, Ambwene Mwasongwe, Tumaini Njole, Emmanuel Mgogo na wengine wengi, hata hivyo mvua kubwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziTAMASHA LA MITIKISIKO 2015 LAACHA HISTORIA MKOANI IRINGA
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/NILch8FjIRE/default.jpg)
Wakazi wa mkoa wa Iringa wagundua dawa ya kuzuia mvua za mawe pamoja na mvua za upepo mkali
Waumi ni wa pentekoste mkoani Singida wamefanya ibada maalumu ya kumuombea Rais Magufuli ili aendelee kutumbua majipu: https://youtu.be/1dRmKUcqGHg
Waumini wa dini ya kiislamu wajitoa kusaidia wasiojiweza katika kuadhimisha sikukuu ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) https://youtu.be/-sI1j96PQ4E
Viongozi wa kamati ya Shehia visiwani Unguja...
9 years ago
Dewji Blog18 Nov
Tigo yadhamini Tamasha kubwa la Mtikisiko mjini Songea
Wasanii chipukizi wa Songea, Mary na Mwana King Nizo wakitumbuiza kwenye Tamasha la Mtikisiko lililofanyika uwanja wa Majimaji Mjini Songea . Tamasha liliodhmaniwa na Tigo lenye lengo la kupiga vita maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU).
Kikundi cha Ruvuma Kings toka songea kikitumbuiza kwenye Tamasha la Mtikisiko lililofanyika uwanja wa Majimaji Mjini Songea . Tamasha hilo liliodhmaniwa na Tigo lenye lengo la kupiga vita maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU).
Sehemu ya wateja wa tigo...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-U9xMl4ww11c/VLuReEr_QUI/AAAAAAAG-I0/OpQe2ESskuU/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-01-18%2Bat%2B1.53.39%2BPM.png)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/2Tkrz8bmcYhrJz3oBmOL5CgxuF2i8aoVU5EgHMyIVZG2JsNksp-D1W32MGMAmFB*ZmTohVd7XQCHBQFzREZ67uV3qpUsT5G4/LINAHAKIIMBAMTIMAWANGUNAMMOJAWAMASHABIKIALIYEJITOKEZAKAMAAMINI.jpg?width=650)
TAMASHA LA FIESTA 2014 LAACHA GUMZO MKOANI MORO
11 years ago
CloudsFM17 Jul
LORI LAACHA NJIA LAGONGA NYUMBA LAUA WATANO PAPO HAPO,LAJERUHI WATATU IRINGA
AJALI mbaya ya gari im,etokea usiku wa leo mkoani Iringa baada ya lori la mizigo lenye namba za usajili T 801 ACD lililokuwa likielekea mkoani Mbeya kuacha njia na kugonga nyumba iliyokuwa ikitumiwa kama sehemu ya klabu cha kuuzia pombe za kienyeji na kusababisha vifo vya watu watano papop hapo wakiwemo watatu wa familia moja.
Tukio hilo limetokea majira ya saa 4 usiku wa leo katika eneo la njia panda ya makumbusho ya Isimila kata ya Mseke wilaya ya Iringa katika barabara kuu ya Iringa -...
9 years ago
CCM Blog![](http://3.bp.blogspot.com/-LRCaj9JSc1A/Vn2OFErzuMI/AAAAAAAAsno/Xuv0ZDXaAYA/s72-c/18.jpg)
TAMASHA LA KRISMAS LAFANA DAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-LRCaj9JSc1A/Vn2OFErzuMI/AAAAAAAAsno/Xuv0ZDXaAYA/s640/18.jpg)
Katika Tamasha hilo Mheshimiwa Nape alisema kuwa Serikali inatambua juhudi za Wasanii na kuahidi kila msanii atapata stahiki yake anayotakiwa kupata.
Nape ambaye alimuwakilisha Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu ,alielezea...