Pan African Energy, Tanzania wakabidhi nyumba ya watumishi zahanati ya Nangurukuru
Meneja wa Uwajibikaji na Huduma za Jamii wa Kampuni ya uchimbaji wa Gesi ya Pan African Energy, Andrew Kashangaki(wa katikati) akimkabidhi funguo Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Mhe. Abdallah Ulega(wa pili kushoto) za jengo la Wauguzi la Zahanati ya Nangurukuru wilayani Kilwa. Wa kanza kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya ya Kilwa Peter Malekela, wapili kushoto ni Mbunge wa Kilwa Kusini, Suleman Ally Bungara ‘Bwege’ na wa kwanza kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Kilwa Mzee Ally Mtopa.
Na...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/06/16.jpg)
PAN AFRICAN ENERGY WAKABIDHI NYUMBA YA WATUMISHI ZAHANATI YA NANGURUKURU-KILWA
10 years ago
VijimamboKAMPUNI YA PAN AFRICAN ENERGY YAKABIDHI JENGO LA WAUGUZI KATIKA ZAHANATI YA NANGURUKURU WILAYANI KILWA
10 years ago
Dewji Blog21 Nov
Kampuni ya Pan African Energy yatoa msaada wa mifuko 1500 ya Saruji kwa wilaya ya Kilwa
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-PmbHXubz8fs/U-kTXBmwN8I/AAAAAAAF-tE/oID8xejSyqg/s72-c/14_MH15_SDR0042_MustafaHassanali_w580_h387.jpg)
Tanzania renowned Pan African designer Mustafa Hassanal celebrates 15th anniversary with pomp
10 years ago
Dewji Blog14 Jul
Tanzania: Capacity Africa, the only pan-African wholesale telecommunications event, will take place in Dar es Salaam
*The international telecoms community regards Africa as an area of high value for new business
Africa’s telecoms industry forms a vital component to the country’s economic growth, affecting all aspects of the business and social sphere. Dramatic expansion in the telecoms sector has taken place over the past five years, with a 72% penetration on average in mobile subscriptions across the continent.
Consequently, a huge amount of investment is happening to improve Africa’s infrastructure to...
10 years ago
Dewji Blog14 Aug
Taasisi ya Watumishi Housing kutumia bilioni 400 kujenga nyumba za watumishi wa serikali
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Watumishi Housing Company, Dkt. Fred Msemwa akitoa mada kuhusu mkopo wa ujenzi wa nyumba bora za kisasa kwa watumishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakati wa warsha ya siku moja iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari Jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Agosti 14, 2014.
Na Ismail Ngayonga, MAELEZO-Dar es Salaam.
TAASISI ya Watumishi Housing Company imetenga kiasi cha Tsh. Bilioni 400 kwa ajili ya ujenzi za watumishi wa...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-UZldFb3JMoA/VGgOvBBkTBI/AAAAAAAGxko/sTc8Io0ylbQ/s72-c/unnamed.jpg)
Watumishi Housing Company na Kibaha Education Centre waafikiana kushirikiana katika ujenzi wa nyumba za watumishi wa umma
![](http://3.bp.blogspot.com/-UZldFb3JMoA/VGgOvBBkTBI/AAAAAAAGxko/sTc8Io0ylbQ/s1600/unnamed.jpg)
9 years ago
VijimamboWATUMISHI HOUSING COMPANY, BENKI YA CRDB WATIA SAINI MKATABA WA MIKOPO YA NYUMBA KWA WATUMISHI WA UMMA
Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo (kulia), akitia saini mkataba huo. Kutoka kushoto ni Chief Operation Officer wa WHCTZ, Weja Ng'olo, Ofisa Mtendaji Mkuu wa TMRC, Oscar Mgaya, Mkurugenzi wa Watumishi Housing Company, Dk.Fred Msemwa na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Charles Kimei.
5 years ago
MichuziDKT MWANJELWA AWATAKA WATUMISHI HOUSE KUWEKA KIPAUMBELE WATUMISHI WA UMMA KUNUNUA NYUMBA ZA TAASISI HIYO
Amesema licha kutoa kipaumbele Kwa watumishi wa umma lakini pia asilimia nyingine lazima iende Kwa watumishi ambao wapo kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii.
Dkt Mwanjelwa ameyasema hayo jijini Dar es Salaam leo mara baada ya kutembelea moja ya miradi...