Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Panga lingine limemkuta Mkurugenzi pamoja na maofisa misitu wote..

Siku moja tu baada ya Waziri wa Mwigulu Nchemba kuwasimamisha baadhi ya watumishi kwa ubadhirifu huko Pwani, headlines zimerudi tena katika Wizara ya Maliasili na utalii baada ya Waziri Prof. Jumanne Maghembe kuwasimamisha maofisa misitu. Waziri Maghembe leo ametangaza kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa mipango na matumizi endelevu ya rasilimali za Misitu Mohamed Kilongo na maofisa […]

The post Panga lingine limemkuta Mkurugenzi pamoja na maofisa misitu wote.. appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Headlines baada ya headlines..panga lingine limemkuta Mkurugenzi Manispaa ya Ilemela

Naibu Waziri wa Tamisemi Suleiman Jaffo amemsimamisha kazi kwa muda Mkurugenzi wa manispaa ya Ilemela jijini Mwanza John Wanga. Hatua ya Jaffo imekuja ili kupisha uchunguzi wa uhalali wa fedha zilizotumika kujenga uzio wa Halmashauri ya Wilaya hiyo. Amesema nafasi yake itashikiliwa kwa muda na Injinia Jacob Nathaniel hadi uchunguzi wa tuhuma hizo utakapokamilika. Unataka […]

The post Headlines baada ya headlines..panga lingine limemkuta Mkurugenzi Manispaa ya Ilemela appeared first on...

 

9 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT:WAZIRI WA MALIASILI PROF. JUMANNE MAGHEMBE AMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI WA MIPANGO WA WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA (TFS) NA MAOFISA MISITU WA MIKOA YOTE NCHINI LEO

Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe (kulia) akizungumza katika kikao na Idara ya Misitu na Nyuki pamoja na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) katika ukumbi wa Ngorongoro Makao Makuu wa Wizara hiyo Mpingo House Jijini Dar es Salaam leo tarehe 05 Januari, 2015. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Meja Jenerali Gaudence Milanzi.Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe (kulia) akizungumza katika kikao na Idara ya Misitu na Nyuki pamoja na Wakala wa Huduma za...

 

9 years ago

Mwananchi

Waziri Maghembe asimamisha maofisa misitu wa mikoa yote

Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Mipango na Matumizi Endelevu ya Rasilimali za Misitu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Mohammed Kilongo na maofisa wa misitu wa mikoa nchi nzima kupisha uchunguzi wa upotevu wa mapato ya Serikali.

 

5 years ago

Michuzi

WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA WALEZEA ULIVYOJIPANGA KUKABILI MAJANGA YA MOTO KWENYE MISITU,MASHAMBA

 Moto ukiendelea kuwaka kabla ya kuanza kuzima na ntambo wa zima moto Mtambo wa zima moto ukirusha maji umbali wa mita 100 kuzima moto uliokuwa unawaka katika eno hilo wakati wa tukio la uzinduzi wa mtambo huo uliofanyika Mlandizi mkoani Pwani Mtambo wa kuzima moto ukiendelea kutoa maji kwa ajili ya kuzima moto uliokuwa umewashwa na watumishi wa TFS kwa ajili ya kuonesha uwezo wa mtambo huo kwenye kuzima moto Watumishi wa TFS ambao wamepata mafunzo ya kuzima moto kwa kutumia mtambo huo...

 

11 years ago

Michuzi

WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA (TFS) YANYA ZIARA NA WAANDISHI WA VYOMBO VYA HABARI KUJIONEA UTUNZAJI WA MISITU YA CHOME, SHENGENA-KILIMANJARO

 Meneja wa Usimamizi Endelevu wa Mazingira asilia Chome,William Nambiza akiwaonesha waandishi eneo lilillovamiwa na wachimbaji Madini na baadae walifanikiwa kuwaondoa, kwa siku walikuwa wanaingia zaidi ya 600,000 wakichanganyika na wa nchi jirani.  Waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari waliofanya ziara ya kuona mazingira ya mto Chome ambalo ni chanzo cha maji yanayokwenda mto Saseni na kutoa maji kwa wakazi wa Same na kumwaga maji Bonde la umwagiliaji Ndungu,Ruvu na Pangani.  ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani