PAPA FRANCIS AONGOZA NJIA YA MSALABA ROME ITALIA
Papa Francis akiongoza misa ya nia ya msalaba iliyofanyika Ijumaa April 3, 2015 mji wa Rome, Italia.
Papa Francis akiongoza misa ya nia ya msalaba iliyofanyika Ijumaa April 3, 2015 mji wa Rome, Italia.
Waumini wa Katoliki wakishiriki misa ya njia ya msalaba iliyoongozwa na Papa Francis Picha kwa hisani ya Franco Origlia/Getty Images
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog21 Nov
Makamu wa Rais Dkt. Bilal ahutubia katika mkutano wa pili wa kimataifa wa lishe na virutubisho (ICN2) Rome Italia
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia Mkutano wa pili wa Kimataifa kuhusu Lishe na Virutubisho (ICN2) uliofanyika katika ukumbi wa Makao Makuu ya Shirika la Kilimo na Chakula la Umoja wa Mataifa (FAO) jijini Rome, Italia juzi Novemba 19, 2014. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal Novemba 19, 2014 ameiwakilisha Tanzania katika Mkutano wa Pili wa Kimataifa kuhusu Lishe na Virutubisho...
11 years ago
GPL
PAPA FRANCIS AWATANGAZA PAPA JOHN PAUL II, JOHN XXIII KUWA WATAKATIFU
5 years ago
CCM Blog
PAPA FRANCIS APIMWA CONONA

Papa Francis alipimwa virusi hivyo baada ya mmoja wa wachungaji anayeishi katika katika makazi yake kugundulika kuwa na corona.
Vyombo vya habari nchini Italia viliripoti kuwa mchungaji huyo ambaye ni ofisa wa sekretarieti ya jimbo aligundulika kuwa na virusi vya corona na kuzua hofu kuwa huenda Papa Francis naye ameambukizwa.
Kwa mujibu wa tovuti rasmi ya Vatican,...
9 years ago
Mtanzania28 Nov
Papa Francis kumfufua Nyerere
*Mama Maria Nyerere atangulia Uganda
NA MWANDISHI WETU
ZIARA ya Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis nchini Uganda imetajwa kuwa itafufua mchakato wa kumtangaza Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kuwa mtakatifu.
Kwa mujibu wa mtandao wa ETN wa nchini Uganda, ziara hiyo ya kitume ya Papa Francis itamfikisha katika eneo la Namugongo ambalo mashahidi wa imani ya dini ya Kikristu walichomwa moto.
Ni katika eneo hilo la Namugongo ambako Hayati Nyerere alitangazwa kuwa...
11 years ago
BBCSwahili14 Oct
Papa Francis atoa Mpya
9 years ago
BBCSwahili21 Nov
Maandalizi ya ziara ya Papa Francis
11 years ago
Mwananchi13 Mar
Papa Francis na uongozi wa kipekee
9 years ago
BBCSwahili23 Nov
Ziara ya Papa Francis, Kenya
10 years ago
BBCSwahili20 Jan
Papa Francis azungumzia familia