Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pengo atofautiana na maaskofu

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amesema waumini hawana budi kusoma vizuri na kuelewa Katiba Inayopendekezwa ili wakati ukifika, wafanye uamuzi kwa hiari na utashi wao wakati wa kupiga Kura ya Maoni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Papa Francis atofautiana na Maaskofu juu ya kuruhusiwa kwa waliooa kuwa mapadre

Amepinga kura iliyopigwa mwaka jana na maaskofu wa kanisa hilo waliounga mkono kuwatawaza mapadri wanaume waliooa katika kanda yenye misitu wa mvua la Amazon

 

10 years ago

Vijimambo

‘MAASKOFU HATUNA MAMLAKA YA KUWAAMULIA WAUMINI KUHUSU KATIBA MPYA’ - PENGO

Muadhama Polycarp Kardinali Pengo.
UFUATAO ni ujumbe mfupi wa Muadhama Polycarp Kardinali Pengo alioutoa leo katika Kanisa la St. Joseph jijini Dar es Salaam kuhusiana na waraka wa maaskofu uliotolewa hivi karibuni kwa Wakristo nchini kujiandikisha kikamilifu na kisha kuikataa Katiba Inayopendekezwa wakati wa kura ya maoni kwa vile haikujadiliwa kiuadilifu.

"Maaskofu hatuna mamlaka ya kuwaamulia/kuwalazimisha waumini wetu wafanye uamuzi gani kuhusu katiba, kuwaamulia ni kuwadharau kuwa...

 

10 years ago

GPL

‘MAASKOFU HATUNA MAMLAKA YA KUWAAMULIA WAUMINI KUHUSU KATIBA MPYA’ - PENGO

Muadhama Polycarp Kardinali Pengo. UFUATAO ni ujumbe mfupi wa Muadhama Polycarp Kardinali Pengo alioutoa leo katika Kanisa la St. Joseph jijini Dar es Salaam kuhusiana na waraka wa maaskofu uliotolewa hivi karibuni kwa Wakristo nchini kujiandikisha kikamilifu na kisha kuikataa Katiba Inayopendekezwa wakati wa kura ya maoni kwa vile haikujadiliwa kiuadilifu. "Maaskofu hatuna mamlaka ya kuwaamulia/kuwalazimisha waumini wetu wafanye...

 

10 years ago

Dewji Blog

Sauti ya Muadhama, Askofu Mkuu Kardinali Pengo akizungumzia kuhusu tamko la Maaskofu juu ya Katiba pendekezwa

pengo

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Kardinali Polycarp Pengo.

 

11 years ago

Mwananchi

Nape atofautiana na Jaji Warioba Bunge la Katiba

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amesema Bunge Maalumu la Katiba, litatekeleza majukumu yake kwa kufuata Sheria ya Mabadiliko ya Katiba na si mawazo ya mtu yeyote.

 

11 years ago

GPL

MAASKOFU WAPATANISHWA

Stori: Mwandishi wetu, mbeya WAUMINI wa Makanisa ya Pentecoste Church of God Tanzania, PCGT, linaloongozwa na Askofu Anyimike Mwakalasya na Pentecostar World Wide Ministries, PEWOMI, linaloongozwa na Askofu Fredrick Silumbwe wamemaliza mgogoro uliokuwa mahakamani ambao umedumu kwa miaka mitatu.   Askofu Anyimike Mwakalasya wa PCGT na Askofu Fredrick Silumbwe wa PEWOMI, yote makanisa ya Kipentekoste wakikumbatiana kama...

 

11 years ago

GPL

MAASKOFU, FREEMASON...

BAADHI ya viongozi wa dini nchini wamesema kwamba Watanzania wengi wamekuwa na imani na mambo ya kishirikina wakiamini kuwa wanaweza kubadili maisha kwa njia ya kuwa wanachama wa Imani ya Freemason badala ya kutumia akili huku wakiweka imani kwa Mungu. Akizugumza kupitia Radio Wapo FM, Rais wa WAPO Mission International, Askofu Sylvester Gamanywa amesema Januari 14, mwaka huu alitangaza Oparesheni Milikisha ambaypo watu wanaweza...

 

11 years ago

Habarileo

Maaskofu wakerwa na wabunge

Askofu wa Katoliki Jimbo la Dodoma, Mhashamu Gervas Nyaisonga. KUSHAMIRI kwa matukio ya kupigana vijembe, kebehi, kashfa na mipasho katika Bunge Maalumu la Katiba, kumezidi kuwaibua wengi wakilaani na kukemea hali hiyo inayotajwa kuharibu nia nzuri ya serikali ya kuhakikisha Katiba bora inapatikana kwa wakati.

 

10 years ago

Mtanzania

Migiro awavaa maaskofu

migiroNa Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk. Asha-Rose Migiro amewajibu maaskofu akisema Serikali haiko tayari kuona wananchi wanafundishwa jinsi ya kupiga kura kuhusu Katiba Inayopendekezwa.
Amesema ni muhimu wananchi waachwe waamue kwa utashi wao wenyewe.
Dk. Migiro amesema Serikali inaunga mkono tamko lililotolewa na Kiongozi wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, kuhusu mustakabali wa Katiba na si makundi ya watu na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani