MAASKOFU WAPATANISHWA
Stori: Mwandishi wetu, mbeya WAUMINI wa Makanisa ya Pentecoste Church of God Tanzania, PCGT, linaloongozwa na Askofu Anyimike Mwakalasya na Pentecostar World Wide Ministries, PEWOMI, linaloongozwa na Askofu Fredrick Silumbwe wamemaliza mgogoro uliokuwa mahakamani ambao umedumu kwa miaka mitatu.  Askofu Anyimike Mwakalasya wa PCGT na Askofu Fredrick Silumbwe wa PEWOMI, yote makanisa ya Kipentekoste wakikumbatiana kama...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLSHILOLE, NUH WAPATANISHWA
9 years ago
GPLESTER, MKE WA DUDE WAPATANISHWA
11 years ago
GPLMAASKOFU, FREEMASON...
11 years ago
Tanzania Daima26 Dec
Maaskofu: Watawala wameshindwa
BAADHI ya viongozi wa dini hapa nchini wamebainisha kuwa kukithiri kwa migomo na matatizo mbalimbali ni dalili za watawala kushindwa kazi. Wakihutubia kwenye mkesha na ibada ya Sikukuu ya Krismasi,...
10 years ago
Mtanzania17 Mar
Migiro awavaa maaskofu
Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk. Asha-Rose Migiro amewajibu maaskofu akisema Serikali haiko tayari kuona wananchi wanafundishwa jinsi ya kupiga kura kuhusu Katiba Inayopendekezwa.
Amesema ni muhimu wananchi waachwe waamue kwa utashi wao wenyewe.
Dk. Migiro amesema Serikali inaunga mkono tamko lililotolewa na Kiongozi wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, kuhusu mustakabali wa Katiba na si makundi ya watu na...
10 years ago
Habarileo02 Oct
Maaskofu wamkera Sitta
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amesema ataendelea kudharau baadhi ya maaskofu, kama wataendelea kutoa maagizo ya kisiasa. Akizungumza bungeni kuhusu jitihada zilizofanyika ndani na nje ya Bunge Maalumu la Katiba, ili Katiba Inayopendekezwa isipatikane, Sitta alisema ni pamoja na baadhi ya maaskofu kuandaa waraka wa kupinga bunge hilo na kulazimisha usomwe makanisani.
11 years ago
HabarileoMaaskofu wakerwa na wabunge
11 years ago
GPLMAHEKALU YA MAASKOFU KUFURU
10 years ago
Vijimambo02 Oct
Sitta: Maaskofu ni Ukawa
Sitta alitoa kauli hiyo jana asubuhi bungeni wakati akisoma matangazo mbalimbali na kuamua kusoma waraka aliodai kuwa umetolewa na viongozi hao wa dini huku akiuhusisha na siasa za kundi la wajumbe waliosusia Bunge Maalum la Katiba kutoka...