Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Penzi Kabla Ya Kifo-12

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA
Elizabeth alibaki akiwa amesimama kama nguzo ya umeme, hakuamini kile kilichotokea, moyo wake ulikuwa kwenye maumivu makali mno, hakutingishika, alibaki vilevile na ghafla machozi yakaanza kumbubujika mashavuni mwake.
ENDELEA NAYO…

Usiku, hakulala, alikesha huku mawazo yake yakiwa kwa Edson tu. Kila wakati aliishika simu ile na kuiangalia namba ya Edson, alitamani kumpigia na kuzungumza naye, japokuwa alikuwa ametukanwa lakini hilo wala halikuwa tatizo, vitisho...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Penzi Kabla Ya Kifo-13

Mwanamke bilionea mwenye kiu ya kupata mtoto, Elizabeth Marcel anajikuta akitukanwa na mume wa mtu kisa tu alikuwa akimpenda na kumtaka kimapenzi. Hilo, linamuumiza mno na kuamua kuachana naye kisha kusonga na maisha yake pasipo kujua Mungu amemuandalia kitu gani mbele yake.
SONGA NAYO…

Baada ya miezi miwili kupita, hatimaye maumivu yakawa yamepungua, hakumkumbuka tena Edson, aliamua kuachana naye na kufanya ishu zake nyingine. Safari hazikuisha, hakuwa mtu wa kutulia, leo alikuwa akienda...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mama wa watoto 4 aliyetafuta penzi juu chini kabla ya kuvunjwa moyo

Grace Destiny alikuwa akitafuta mpenzi kwa udi na uvumba hata ikafikia kiwango cha yeye kutoa pesa kwa mpenzi aliye naye.

 

10 years ago

Habarileo

Ajitengenezea msalaba, kaburi kabla ya kifo

MCHORAJI maarufu katika Mji wa Namanyere wilayani Nkasi, Gilbert Paul (38), ambaye alishaanza kujiandalia maziko kwa zaidi ya miaka 15 sasa akiwa hai buheri wa afya, anatarajia kuanza kujichimbia kaburi miezi mitatu ijayo, ili liwe tayari kuhifadhi mwili wake mara mauti yatakapomfika.

 

11 years ago

Mwananchi

Kauli ya mwisho ya Ballali kabla ya kifo chake

Gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania BOT), Marehemu Daudi Ballali aliacha wasia unaotaka maiti yake isionyeshwe hadharani atakapofariki dunia na wala maiti yake isiletwe Tanzania kwa ajili ya maziko.

 

11 years ago

Mwananchi

Savimbi: Kabla ya kuuawa alinusurika kifo mara 15

Jonas Malheiro Savimbi alizaliwa Agosti 3, 1934 katika mji wa Munhango, Jimbo la Moxico katika kitongoji cha Reli ya Benguela, nchini Angola.

 

11 years ago

Habarileo

Aliyemuona Mandela dakika 90 kabla ya kifo asimulia

DAKIKA za mwisho za maisha yake, Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, hakuwa akitumia mashine ya kumsaidia kupumua.

 

10 years ago

GPL

MADAI: AK47 ALIPIGWA KABLA YA KIFO CHAKE

Mwili wa AK47 ukitolewa katika mochwari ya Hospitali ya Nsambya. WAKATI wapenzi wa muziki nchini Uganda wakiwa bado wamegubikwa na simanzi kwa kuondokewa na mwanamuziki wa miondoko ya dancehall, Emmanuel Mayanja maarufu kwa jina la AK47, taarifa mpya zimeibuka kuwa kuna uwezekano kuwa alipigwa kabla ya kifo chake. Jose Chameleon (katikati) akiwa na simanzi baada ya kuondokewa na mdogo wake. AK47 amefariki… ...

 

5 years ago

Michuzi

SHUKATSU- SHEREHE ZA KUJIANDAA KABLA YA KIFO NCHINI JAPAN

Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
UNAHISI vipi ukiambiwa kuhusu kifo? ni wazi kuwa wengi hawafurahii kusikia habari hizo, lakini watu wengi kutoka Tokyo nchini Japan wanafurahi wakisikia habari kuhusiana na kifo, watakufa vipi? na namna ya kujiandaa kabla ya kifo.

Tokyo hufanya sherehe kila mwaka kwa ajili ya kujiandaa na kifo, "Shukatsu Festival" watu hufundishwa namna ya kujiandaa kwa kifo, "Shakatsu" kwa wajapani humaanisha kujiandaa kabla ya kufa na maadhimisho hayo hufanyika kila...

 

5 years ago

BBCSwahili

George Floyd: Je ni kipi kilichotokea dakika 30 za mwisho kabla ya kifo chake?

Msururu wa matukio kabla ya kifo cha George Floyd Mmarekani mweusi wa alieuawa na maafisa wa polisi umefichuliwa na mamlaka

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani