Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MADAI: AK47 ALIPIGWA KABLA YA KIFO CHAKE

Mwili wa AK47 ukitolewa katika mochwari ya Hospitali ya Nsambya. WAKATI wapenzi wa muziki nchini Uganda wakiwa bado wamegubikwa na simanzi kwa kuondokewa na mwanamuziki wa miondoko ya dancehall, Emmanuel Mayanja maarufu kwa jina la AK47, taarifa mpya zimeibuka kuwa kuna uwezekano kuwa alipigwa kabla ya kifo chake. Jose Chameleon (katikati) akiwa na simanzi baada ya kuondokewa na mdogo wake. AK47 amefariki… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kauli ya mwisho ya Ballali kabla ya kifo chake

Gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania BOT), Marehemu Daudi Ballali aliacha wasia unaotaka maiti yake isionyeshwe hadharani atakapofariki dunia na wala maiti yake isiletwe Tanzania kwa ajili ya maziko.

 

5 years ago

BBCSwahili

George Floyd: Je ni kipi kilichotokea dakika 30 za mwisho kabla ya kifo chake?

Msururu wa matukio kabla ya kifo cha George Floyd Mmarekani mweusi wa alieuawa na maafisa wa polisi umefichuliwa na mamlaka

 

10 years ago

Vijimambo

Kifo Cha Msanii AK47 Taarifa Mpya Za Kushtusha Zatolewa


Ujumbe ulikuwa ukitaka Maggie amuonye mume wake AK47 aache kumfuatilia girlfriend wake anayeishi nchini Uganda anayejulikana kama Vivian Bahati.Taarifa za Redpepper Uganda, Polisi wanaendelea kuchunguza taarifa hizo mpya, kuna Mganda ambae anaishi nchi za Scandinavia ambae anadhaniwa alikodi kikundi cha watu ambao walisababisha kifo cha AK47 kutokana na mwanamke huyo.Polis walimpigia Maggie mke wa marehemu AK47 afike katika kituo cha Polisi cha Kabalagala kwa ajili ya kupata upande...

 

10 years ago

Vijimambo

AY ATUMA SALAM ZA POLE KWA JOSE CHAMELEONE KWA KIFO CHA AK47

Mwanamuziki wa kizazi kipya nchini Tanzania AY amemtumia Jose Chameleone kwa kifo cha kaka yake ambaye pia ni mwamnamuziki nchini Uganda.

Marehemu Emmanuel Mayanja maarufu kwa jina la AK47 amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa hospitali baada ya kuanguka akiwa bafuni.

Taarifa zimeeleza kuwa kabla ya mauti kumkuta, AK47 alikuwa katika baa moja ya usiku iliyopo eneo la Kabalagala pamoja na marafiki zake.

Imeelezwa kuwa alidondoka akiwa bafuni wakati akiongea na simu na kukimbizwa katika...

 

11 years ago

GPL

DEVOTHA ATOA WOSIA WA KIFO CHAKE

Stori: Gladness Mallya
WAKATI vifo mfululizo vikitokea Mei mwaka huu miongoni mwa wasanii maarufu nchini, nyota wa filamu Bongo, Devotha Mbaga ameibuka na kusema endapo ataaga dunia, hahitaji kufanyiwa mbwembwe wakati wa msiba na mazishi yake kama wasanii wengine walivyofanyiwa. Msanii maarufu wa filamu Bongo, Devotha Mbaga. Akistorisha na gazeti hili, Devotha alisema hatahitaji kununuliwa jeneza la kifahari, bali lichongwe...

 

11 years ago

GPL

KIFO CHAKE CHATIBUA BETHDEI YA AUNT

Stori: Hamida Hassan
KIFO cha nyota wa filamu Bongo, Adam Kuambiana kilitibua  sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa ya watoto wawili Nicole na Martin iliyoandaliwa na Aunt Ezekiel akiwa na shoga yake Wema Sepetu.
Mastaa hao walikuwa wamekamilisha kila kitu na walishaanza shamrashamra zaa, ghafla wakasikia taarifa za kifo cha Kuambiana. Nyota wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel “Mi naumia jamani, unajua filamu yetu ya mwisho...

 

11 years ago

GPL

AUNT AMWAGA CHOZI UTABIRI WA KIFO CHAKE

Na Hamida hassan SIKU chache baada ya Nabii wa Huduma ya Ufufuo, Buza jijini Dar, Yaspi Paul Bendera kutabiri kuwa vifo vya mastaa vitaendelea, staa wa sinema Bongo, Aunt Ezekiel amemwaga machozi baada ya kuhusishwa kuwa yeye ndiye anayefuata kufa. Staa wa sinema Bongo, Aunt Ezekiel Kupitia gazeti la Ijumaa, Juni 13, mwaka huu, Nabii Bendera alisema ameoneshwa kwamba wasanii 20 wangekufa hivyo kama wanataka kujinusuru, wafike...

 

9 years ago

Mwananchi

Mwingine auawa Geita, kifo chake chatatanisha

Mtu ambaye hajafahamika jina wala makazi, amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Kituo cha Afya Katoro wilayani Geita, baada ya kufikishwa na polisi akiwa hajitambui.

 

9 years ago

StarTV

 Wakazi Nyarugusu Geita waandamana kwa madai ya kifo cha mjamzito

 

 

Wakazi wa Kijiji cha Nyarugusu wilayani Geita wameandamana hadi katika Zahanati ya kijijini hapo kwa madai ya Nesi kuhusika kusababisha kifo cha mama mjamzito aliyekosa huduma kwa uzembe wa nesi wa zamu.

Inadaiwa kuwa Novemba 18 Marehemu Kabula George alifikishwa katika Zahanati ya Nyarugusu ambapo alipokelewa na Nesi wa Zamu majira ya saa tano usiku.

Nesi huyo alimhudumia na kumwambia asubiri baada ya saa nne na nesi huyo aliondoka na kwenda kulala ambapo Kabula alizidiwa na uchungu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani