Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIFO CHAKE CHATIBUA BETHDEI YA AUNT

Stori: Hamida Hassan
KIFO cha nyota wa filamu Bongo, Adam Kuambiana kilitibua  sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa ya watoto wawili Nicole na Martin iliyoandaliwa na Aunt Ezekiel akiwa na shoga yake Wema Sepetu.
Mastaa hao walikuwa wamekamilisha kila kitu na walishaanza shamrashamra zaa, ghafla wakasikia taarifa za kifo cha Kuambiana. Nyota wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel “Mi naumia jamani, unajua filamu yetu ya mwisho...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

AUNT AMWAGA CHOZI UTABIRI WA KIFO CHAKE

Na Hamida hassan SIKU chache baada ya Nabii wa Huduma ya Ufufuo, Buza jijini Dar, Yaspi Paul Bendera kutabiri kuwa vifo vya mastaa vitaendelea, staa wa sinema Bongo, Aunt Ezekiel amemwaga machozi baada ya kuhusishwa kuwa yeye ndiye anayefuata kufa. Staa wa sinema Bongo, Aunt Ezekiel Kupitia gazeti la Ijumaa, Juni 13, mwaka huu, Nabii Bendera alisema ameoneshwa kwamba wasanii 20 wangekufa hivyo kama wanataka kujinusuru, wafike...

 

11 years ago

GPL

DEVOTHA ATOA WOSIA WA KIFO CHAKE

Stori: Gladness Mallya
WAKATI vifo mfululizo vikitokea Mei mwaka huu miongoni mwa wasanii maarufu nchini, nyota wa filamu Bongo, Devotha Mbaga ameibuka na kusema endapo ataaga dunia, hahitaji kufanyiwa mbwembwe wakati wa msiba na mazishi yake kama wasanii wengine walivyofanyiwa. Msanii maarufu wa filamu Bongo, Devotha Mbaga. Akistorisha na gazeti hili, Devotha alisema hatahitaji kununuliwa jeneza la kifahari, bali lichongwe...

 

10 years ago

GPL

MADAI: AK47 ALIPIGWA KABLA YA KIFO CHAKE

Mwili wa AK47 ukitolewa katika mochwari ya Hospitali ya Nsambya. WAKATI wapenzi wa muziki nchini Uganda wakiwa bado wamegubikwa na simanzi kwa kuondokewa na mwanamuziki wa miondoko ya dancehall, Emmanuel Mayanja maarufu kwa jina la AK47, taarifa mpya zimeibuka kuwa kuna uwezekano kuwa alipigwa kabla ya kifo chake. Jose Chameleon (katikati) akiwa na simanzi baada ya kuondokewa na mdogo wake. AK47 amefariki… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Kauli ya mwisho ya Ballali kabla ya kifo chake

Gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania BOT), Marehemu Daudi Ballali aliacha wasia unaotaka maiti yake isionyeshwe hadharani atakapofariki dunia na wala maiti yake isiletwe Tanzania kwa ajili ya maziko.

 

9 years ago

Mwananchi

Mwingine auawa Geita, kifo chake chatatanisha

Mtu ambaye hajafahamika jina wala makazi, amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Kituo cha Afya Katoro wilayani Geita, baada ya kufikishwa na polisi akiwa hajitambui.

 

10 years ago

GPL

AUNT AMWAGA MACHOZI KULAANIWA KIFO

Mwigizaji  ‘mama kijacho’ Aunt Ezekiel. Imelda Mtema
MWIGIZAJI ‘mama kijacho’ Aunt Ezekiel amejikuta akidondosha machozi ya uchungu baada ya shabiki mmoja kujitokeza kwenye mtandao wa kijamii na kumlaani kifo.
Tukio hilo lilitokea juzikati baada ya Aunt kuweka picha iliyomuonyesha akiwa na Wema kwenye mtandao wa Instagram akiwa ameshika tumbo lake ndipo mfuasi wa mtandao huo anayetumia jina la...

 

10 years ago

GPL

MANENO YA MWISHO YA AISHA MADINDA ALIKIONA KIFO CHAKE

Stori: Gladness Mallya
SIKU chache kabla ya kupatwa na umauti, mnenguaji mkongwe Bongo, Mwanaisha Mbegu ‘Aisha Madinda’ alifunguka maneno ambayo yalionesha dhahiri kama alikiona kifo chake. Kwenye mazungumzo hayo aliyozungumza na mwanahabari wetu, Aisha alisema atatoa habari nzito ambazo zitaripotiwa na magazeti matatu na kudai ni ‘sapraiz’. Mnenguaji mkongwe Bongo, Mwanaisha Mbegu ‘Aisha...

 

10 years ago

GPL

STEVEN KANUMBA AREKODI SINEMA INAYOAKISI KIFO CHAKE - 8

Aliyekuwa mwigizaji nguli wa filamu za bongo movies, Marehemu Steven Charles Kanumba "Kanumba" enzi za uhai wake. WIKI iliyopita tuliishia pale Kanumba alipoanzisha uhusiano na mwigizaji ambaye wakati huo alikuwa kinda wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Uhusiano wao ulikuwa wa siri sana na watu wengi waliubaini pale Kanumba alipofariki.
ENDELEA... Mbali na kufanya vizuri katika anga la filamu, Kanumba...

 

9 years ago

GPL

AUNT: NAAPA WEMA ATANIONA KWENYE KIFO

KIAPO! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mwigizaji matata Bongo, Aunt Ezekiel ‘Mama Cookie’ kufunguka kuwa kamwe hatajihusisha kwenye ishu yoyote ya sherehe inayomuhusu staa mwenzake Wema Sepetu ‘Madam’ isipokuwa kwenye tatizo la msiba unaomuhusu. Mwigizaji matata Bongo, Aunt Ezekiel ‘Mama Cookie’ Kwa mujibu wa chanzo makini, Aunt hakuhudhuria kwenye sherehe ya kuzaliwa ya Wema,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani