Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PENZI LA NEY WA MITEGO, WASANII WAZICHAPA BALAA

Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani
HII sasa kali! Wasanii wa sinema ndani ya Bongo Movies, Fatuma Ayubu `Bozi’ na Brenda Marembeka `Kunguru’ wametoa aibu ya mwaka baada ya kupigana kwenye baa tena mchana kweupe kwa kile kilichodaiwa walikuwa wakigombea mabwana ambao ni mastaa  wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ huku Kasim Yusuf `Young D’ naye akitajwa. Wasanii wa sinema...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Ney wa Mitego awafunda wasanii

neyNA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Emanueli Elibariki ‘Ney wa Mitego’, amewataka wasanii wenzake kuwa na upendo na kutoa msaada kwa jamii.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Ney alisema kuwa yeye ni kioo cha jamii na katika matatizo ya kibinadamu anakuwa kama mtu wa kawaida kwa kusaidia.
“Unajua sisi ni binadamu na kama umefanikiwa kwa kiasi fulani basi na wewe unatakiwa kutoa msaada kidogo ulichokua nacho, hivyo nawaasa wasanii wenzangu kujitolea,”...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ney Lee: Najivunia Ney wa Mitego

MWANADADA anayefanya vizuri katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya nchini Neema Agrey ‘Ney Lee’ anatarajia kuachia kazi yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Usinikatae’. Akizungumza Dar es Salaam jana...

 

11 years ago

GPL

9 years ago

Mtanzania

Ney wa Mitego kutoka na Wizkid, Runtown

Nay-Wa-MitegoNA LETICIA BWIRE (TUDARCO)

MWANAHIP Hop, Ney wa Mitego, kwa mara ya kwanza amefanya wimbo wa ushirikiano na wasanii wa kimataifa kutoka nchini Nigeria, huku nyimbo hizo akipanga kuziachia mwishoni mwa mwaka huu.

Ney aliliambia MTANZANIA kwamba, wasanii alioshirikiana nao ni mkali wa wimbo wa ‘Ojogduma’, Wizkid na Runtown ambao wote ni kutoka nchini Nigeria.

“Wimbo nilioshirikiana na msanii, Runtown nitautoa mwishoni mwa mwaka huu, lakini nilioshirikiana na Wizkid nitauachia mwakani kutokana...

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Samir FT. Ney wa Mitego — Nitamchezea

Hii ni ngoma mpya kutoka kwa Samir akimshirikisha Ney wa Mitego ngoma inaitwa “Nitamchezea” Producer Mr T Touch

 

9 years ago

Mtanzania

Ney wa Mitego aanika jeuri yake

nnNA SHARIFA MMASI

MSANII wa muziki wa hip hop, Emmanuel Elibariki ‘Ney wa Mitego’, amesema wazazi wake walimfundisha heshima si kumuogopa mtu.

Ney alidai familia yake imemfunza nidhamu ya heshima na kuwa muwazi kwa anachoamini si sawa kwa jamii inayomzunguka.

“Ni kweli mimi nina jeuri ambayo watu wengi inawakera, lakini hawajui kwa nini niko hivyo, jeuri yangu huwa naifanya inapobidi na inatokana na mafunzo niliyofunzwa kutoka kwa wazazi wangu,’’ alisema Ney wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ney wa Mitego awachongea wenzake BASATA

MKALI wa hip hop nchini, Emmanuel Elibariki ‘Ney wa Mitego’, amelitaka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), kuwachukulia hatua wasanii ambao wanatumia maneno ya matusi kwenye nyimbo zao. Ney amesema...

 

9 years ago

Mtanzania

Ney wa Mitego kuachia nyimbo sita

nay-wa-mitegoNA THERESIA GASPER

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Elibariki Emanuel ‘Ney wa Mitego’, amefunguka kuwa mwaka huu anataka kuja kivingine tofauti na miaka ya nyuma.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Ney wa Mitego alisema amekuwa akitoa nyimbo mbili au tatu kwa mwaka lakini katika mwaka huu anataka kuachia nyimbo sita.

“Nimekuwa nikitoa nyimbo mbili kwa mwaka au tatu, kwa sasa nataka nizidi kuwapa raha mashabiki wangu kwa mambo mazuri ambayo nimewaandalia mwaka huu, nitaachia nyimbo sita...

 

10 years ago

Mwananchi

Ney wa Mitego: Kuvuta jiko?…bado sana

Huenda ile dhana kwamba wasanii wanaogopa kuoa kwa sababu wanahisi watashuka chati, inaweza ikawa na ukweli ndani yake, kwa mujibu wa msanii nyota wa hiphop nchini, Ney wa Mitego.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani