Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Petr Cech aweka rekodi yake mpya katika ligi ya England

Cech

Mlinda mlango wa klabu ya Arsenal Petr Cech ameweka rasmi rekodi mpya ya kuwa kipa aliyecheza mechi nyingi bila ya kufungwa ‘clean sheets’ katika historia ya Ligi Kuu England.

Cech

Cech,mwenye miaka 33, amevunja rekodi ya kipa wa zamani David James baada ya kufikisha idadi ya ‘clean sheets’ 170 katika mchezo dhidi ya Bournemouth ambapo Arsenal walishinda kwa magoli 2-0.

Amefikisha idadi hiyo ndani ya michezo 352 dhidi ya 572 ya Davidi James ambaye aliwahi kuzichezea klabu za Liverpool, Aston...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Alexis Sanchez aweka rekodi ya kufunga Hat-trick katika ligi tatu tofauti

Mshambuliaji Alexis Sanchez wa Arsenal ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kupiga hat-trick katika ligi kuu tatu tofauti duniani, Serie A, La Liga na EPL. Hat-trick yake ya kwanza ilikuwa wakati anaichezea Udenise ya Italia ambapo waliifunga Palermo mabao 7-0 katika mchezo wa ligi kuu soka nchini Italia mwaka 2011. Hat-trick ya pili ameipata […]

 

9 years ago

Dewji Blog

Ronaldo ajivunjia rekodi, aweka rekodi mpya

IGxwi

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Mchezaji bora wa dunia mwaka 2014 na mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo (pichani)ameweka rekodi mpya katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA baada ya hapo jana kufunga goli 4 katika mchezo kati ya Real na Malmo.

Magoli ya Ronaldo yalifungwa katika dakika ya 39, 47, 50 na 58 na kufanikiwa kufikisha magoli 11 katika michezo ya makundi rekodi ambayo ilikuwa haijawahi kufikiwa na mchezaji yoyote.

Kabla ya kuweka rekodi hiyo mpya, Ronaldo alikuwa na...

 

9 years ago

Africanjam.Com

THIS IS WHAT PETR CECH SAYS ABOUT CHELSEA PROGRESS


Arsenal star Petr Cech insists former side Chelsea are still favourites for the Premier League 
title despite their poor start to the season.

The 33-year-old completed a controversial move to the Emirates this summer when Arsene 
Wenger prised the veteran away from Stamford Bridge in an £11million deal.
Cech’s former side have started the season in poor form and have already lost more games 
this season than they did in the entirety of their title-winning campaign in 2014/2015.
However, the former...

 

10 years ago

BBCSwahili

Petr Cech ruksa kuondoka Chelsea

Golikipa Petr Cech anaweza kumaliza miaka yake 11 ndani ya klabu ya Chelsea

 

10 years ago

Africanjam.Com

THE REASON WHY PETR CECH CHOSE NO.33 JERSEY AT ARSENAL


Petr Cech has explained the reasons behind his decision to wear the number 33 jersey at Arsenal.The Czech keeper – who joined from London rivals Chelsea this summer – took to Twitter to clarify his reasons behind the choice, with David Ospina and Wojciech Szczesny also competing for the No1 spot at the Emirates.
It is of course Cech’s age and the Czech Republic custodian also joins Arsenal having played 333 Premier League games for Chelsea.In a subsequent Tweet, Cech also came out with...

 

9 years ago

BBCSwahili

Wenger amsifu sana kipa Petr Cech

Wenger amemlimbikizia sifa golikipa wake Petr Cech na kusema ni mmoja wa "magolikipa stadi zaidi kuwahi kuchezea soka Uingereza”.

 

10 years ago

GPL

PETR CECH ASAJILIWA ARSENAL KWA PAUNI 11

Petr Cech akionyesha jezi ya Arsenal baada  ya uhamisho wa pauni 11 na mshahara wake unatajwa kuwa ni pauni 100,000 kwa wiki. Akiwa katika mapozi.…

 

10 years ago

Africanjam.Com

ROMAN ABRAMOVICH AMRUHUSU PETR CECH KUTIMKIA ARSENAL


Ijumaa iliyopita, Sky Sports walidai kwamba Cech angesaini Emirates siku hiyo, lakini haikutokea.Mashabiki wa Arsenal wamechoka kusikia tetesi inayotangaza kwamba watamsajili golikipa wa Chelsea, Petr Cech, lakini siku ya kufanya hivyo haijulikani.Kwa wiki kadhaa, taarifa zimekuwa zikitoka kuwa Cech anaweza kusaini leo, lakini hiyo leo haifiki.
Hii inazua wasiwasi kama kweli Cech atajiunga na Arsenal majira haya ya kiangazi kwa dau la paundi milioni 11.Hata hivyo, Jose Mourinho hapendi kuona...

 

10 years ago

Africanjam.Com

ISOME BARUA YA HUZUNI YA PETR CECH KUWAAGA CHELSEA

Arsenal wamemsainisha mkataba golikipa Petr Cech kutoka Chelsea, Cech mwenye miaka 33 ametua Emirates Stadium kwa mkataba wa muda mrefu (undisclosed) baada ya kudumu Chelsea kwa muda wa miaka 11.
Baada ya kumwaga wino kujiunga na Arsenal, Cech ameandika barua ya kuwaaga mashabiki wa Chelsea kwa ushirikiano waliompa kwa kipindi chote alichokuwa anaitumikia klabu hiyo.Hii hapa ni barua yake….Sikuwahi kufikiria kama ingekuja kutokea sikumoja nitakuja kusema kwaheri kwenye klabu ya Chelsea. Klabu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani