Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Barack na Michelle Obama washerehekea miaka 23 ya ndoa

Ni miaka 23 tangu Rais wa Marekani, Barack Obama afunge ndoa na mke wake, Michelle. Obama na First Lady waliofunga ndoa October 3, 1992 kwenye kanisa la Trinity jijini Chicago, walisherehekea miaka hiyo ya ndoa yao Jumamosi. Kupitia Twitter, Obama aliandika: Twenty-three years and still going strong. Here's to many more. #HappyAnniversary pic.twitter.com/EdEvqUF0s7 — Barack […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ndoa ya Obama, Michelle shakani

Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa vyanzo vya ndani vya Ikulu ya Marekani, wenza hao wamekuwa katika migogoro na Obama alilazimika kusherehekea sherehe za mwaka mpya mjini Hawaii akiwa na binti zake wawili, Sasha na Malia bila kuwepo Michelle.

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Barack Obama ashuhudia mchezo kati ya Chicago Bulls na Cleveland Cavaliers

Rais wa Marekani Barack Obama alikuwa mmoja kati ya watu waliohudhuria mchezo kati ya Chicago Bulls dhidi ya Cleveland Cavaliers, alfajiri ya Jumatano hii kwa saa za Afrika Mashariki. Huo ulikuwa sehemu ya mechi za ufunguzi wa ligi ya kikapu ya Marekani, NBA. Obama ambaye ni shabiki mkubwa wa Chicago Bulls, alipata nafasi ya kushuhudia […]

 

10 years ago

Michuzi

Mdau Innocent Mwesiga na Mkewe Carretta Mwesiga washerehekea miaka 10 ya ndoa yao

001_resized_5 (1)Juu na chini mwandishi wa makala katika safu ya Waraka kutoka Houston ndani ya gazeti la Raia Mwema, Innocent Mwesiga, Pharm.D na mke wake Carretta Mwesiga, FNP wakifurahia miaka 10 ya ndoa yao hivi karibuni katika visiwa vya Bahamas. (Kutoka blog hii tunawapa hongera sana) 002_resized_6(Picha kwa hisani ya Sunday Shomari).

 

10 years ago

Bongo5

Ujio wa Obama nchini Kenya waacha historia, watoto waliozaliwa siku aliyowasili waitwa Barack Obama na wengine ‘AirForceOne’

Ujio wa Rais wa Marekani, Barack Obama umeacha historia ya mambo mengi kwa wananchi wa Kenya. Baadhi ya wazazi wa watoto waliozaliwa siku ambayo Obama alitua nchini Kenya Ijumaa ya July 24, wamewapa watoto wao majina yanayohusiana na Rais huyo. Mzazi mmoja aliyejifungua mtoto wa kiume siku hiyo aliamua kumpa mtoto wake jina la Rais […]

 

11 years ago

BBC

Michelle Obama to speak on Nigeria

In an unusual move, US First Lady Michelle Obama will deliver her husband's weekly radio address to condemn the mass abduction of Nigerian girls.

 

11 years ago

GPL

OBAMA, MICHELLE WADAIWA KUTENGANA

Barack Obama na mkewe Michelle kila mmoja akionekana kuwa kivyake. Obama akimshika begani Waziri Mkuu wa Denmark, Helle Thorning-Schmidt, wakati wa mazishi ya Mandela nchini Afrika Kusini. Kulia ni Michelle Obama akiwa amenuna. RAIS wa Marekani, Barack Obama na mkewe Michelle wanadaiwa kutengana. Habari zinadai kuwa wawili hao wanalala katika vyumba tofauti kwa sasa ndani ya Ikulu ya Marekani… ...

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

BBCSwahili

Michelle Obama ahimiza wasichana wasiogope wavulana

Mke wa Rais wa Marekani Michelle Obama amewashauri wasichana waliobalege kutowaogopa wavulana shuleni.

 

11 years ago

TheCitizen

The Michelle Obama swag in love-struck Dar

What are the chances that brides in wedding-struck Dar es Salaam and US First Lady Michelle Obama could have something in common? If you really want to know, look no further than the teeming second hand clothes markets in the city.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani