Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mdau Innocent Mwesiga na Mkewe Carretta Mwesiga washerehekea miaka 10 ya ndoa yao

001_resized_5 (1)Juu na chini mwandishi wa makala katika safu ya Waraka kutoka Houston ndani ya gazeti la Raia Mwema, Innocent Mwesiga, Pharm.D na mke wake Carretta Mwesiga, FNP wakifurahia miaka 10 ya ndoa yao hivi karibuni katika visiwa vya Bahamas. (Kutoka blog hii tunawapa hongera sana) 002_resized_6(Picha kwa hisani ya Sunday Shomari).

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

CHADEMA Blog

KAULI YA PROF MWESIGA BAREGU KABLA YA UCHAGUZI MKUU

Umoja wa katiba ya wananchi UKAWA kwa kupitia chama cha Democrasia na maendeleo CHADEMA wamewashukuru watanzania kwa kuwaunga mkono katika kampeni zao za wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi ikiwemo za Urais,Ubunge na Udiwani kote nchi nzima na kusema kuwa wamefanya kampeni za kistarabu na zisizo na matusi wala fujo kama walivyoahidi wakati wanaanza. Akiangumza na wanahabari mapema leo

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Barack na Michelle Obama washerehekea miaka 23 ya ndoa

Ni miaka 23 tangu Rais wa Marekani, Barack Obama afunge ndoa na mke wake, Michelle. Obama na First Lady waliofunga ndoa October 3, 1992 kwenye kanisa la Trinity jijini Chicago, walisherehekea miaka hiyo ya ndoa yao Jumamosi. Kupitia Twitter, Obama aliandika: Twenty-three years and still going strong. Here's to many more. #HappyAnniversary pic.twitter.com/EdEvqUF0s7 — Barack […]

 

10 years ago

GPL

BEN AFFLECK & JENNIFER GARNER WAJIANDAA KUACHANA BAADA YA MIAKA 10 YA NDOA YAO

Ben Affleck na Jennifer Garner. BAADA ya kudumu katika ndoa kwa miaka 10 na kujaliwa kupata watoto watatu, wanandoa wa Hollywood, Ben Affleck na Jennifer Garner wametangaza kuwa wanajiandaa kuachana.  Ben Affleck na Jennifer Garner wakiwa na watoto wao Violet, Seraphina na Samuel. Katika taarifa waliyoitoa kwa vyombo vya habari, wanandoa hao waliomba usiri katika kipindi hiki wanapoelekea kufungua ukurasa mpya kwenye...

 

10 years ago

Vijimambo

DJ GULU RAMADHANI NANJI ATIMIZA MIAKA 19 YA NDOA YAKE, VIJIMAMBO BLOG INAKUTAKIA MIAKA AMANI NAFURAHA ZAIDI KATIKA NDOA YAKO.

· 
Oooh Allah Naona Kama Naota Vile Kama Siamini Vile...Asante Sana Mungu Kwa Pumzi Unayotupa Hadi Leo Tarehe 10 May Twafikisha Miaka 19 Ya Ndoa Yetu Mimi Na Mke Wangu Kipenzi Bi Khadija Gulu...Asante Sana Bi Wife Kwa Kustahmili Mengi Kutwa Nipo Katika Mihangaiko,Safarini Kikazi Lakini Mungu Amekujaalia Upendo,Subra,imani Na Moyo Wa Kipekee Wa Kijasiri Sijapata Kuona Wa Kuweza Kukaa Na Familia Kama Mume Nipo Nyumbani Wakati Wote,Wewe Kweli Ni Mke Bora...Wakati Twafunga Ndoa Wengi Walidiriki...

 

10 years ago

Vijimambo

JUDY NA MARY WASHEREHEKEA SIKU YAO YA KUZALIWA

Judy na Mary wakiwa katika picha ya pamoja walipokutana kwenye sherehe ya siku yao ya kuzaliwa siku ya Jumamosi July 11, 2015 siku ambayo ni tarehe yao ya kuzaliwa.Judy akibadilishana mawili matatu na Aunty Wahida, Mapenzi na Mary mara tu walipokutana.Judy na Mary wakiwa katika picha ya pamoja.
Familia ya Judy wakipata picha ya kumbukumbu.

 

10 years ago

Vijimambo

AKINA MAMA WA MENNESOTA WASHEREHEKEA SIKU YAO KWA MBWEMBWE

Mama akipiga ngoma kwa ustadi kabisa siku ya akina mama dunia huko pande za Minnesota  Akina mama usharika wa kiswahili wakimsikiliza mama mwenzao katika sherehe za siku ya akina mama duniani.
 Akina mama wakipa ukodak kwenye sherehe hiyo Akina baba nao walikuwepo kwani palipo akina mama akinababa uwepo kutoa support. Mama akismile mbele ya ukodak kiroho safi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani