Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Davido apokewa na Rais Kagame na familia yake alipowasili uwanja wa ndege, Rwanda

Mshindi wa tuzo ya BET 2014 pamoja na tuzo mbili za MTV (MAMA) Davido kutoka Nigeria, Ijumaa iliyopita amepewa heshima kubwa nchini Rwanda kwa kupokewa uwanja wa ndege na Rais wa nchi hiyo Paul Kagame na familia yake. Rais Kagame aliongozana na mke wake pamoja na watoto wao kwenye uwanja wa ndege kumlaki staa huyo […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA URAIS KUPITIA CHADEMA NA UKAWA EDWARD LOWASA ALIPOWASILI UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA KILIMANJARO KIA.

Na Dixon Busagaga

Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro,Phlemoni Ndesamburo akisalimiana na aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Arumeru Magharibi ,Godluck Ole Medeye walipokutana uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya mapokezi ya mgombea urais wa UKAWA na Chadema, Edward Ngoyai ,Lowasa.

Mwenyekii wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro akisalimiana na James Lembeli walipokutana uwanja wa Ndege wa KIA.
Mbunge wa jimbo la Rombo ,Joseph Selasni akizungumza jambo na aliyekuwa mbunge...

 

10 years ago

Dewji Blog

Picha za mapokezi ya Rais Uhuru Kenyatta alipowasili kwenye mahakama ya uhalifu wa kivita The Hague

1619311_927273563967864_7566706705908247266_n

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta akisalimiana na baadhi ya raia wa Kenya wanaoishi nchini Uholanzi kabla ya kuingia kwenye mahakama hiyo. (Picha kwa hisani ya ukurasa wa facebook ya Rais Uhuru Kenyatta).

Na Mwandishi wetu

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amewasili mjini Hague nchini Uholanzi, kuhudhuria kikao kuhusu kesi inayomkabili ya kukochechea na kufadhili machafuko ya baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2007.

Kikao hicho kitafanyika Jumatano wiki hii, na kinakuja baada ya upande wa mashtaka...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AONANA NA MJUMBE MAALUMU WA RAIS PAUL KAGAME WA RWANDA NA MABALOZI WA USWISI NA KUWAIT

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na balozi wa Kuwait hapa nchini Mhe. Jasem Al Najem Ikulu jijini Dar es salaam leo Disemba 23, 2015.Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Mjumbe Maalum wa Rais Paul Kagame wa Rwanda ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Louise Mushikwabo Ikulu jijini Dar es salaam leo Disemba 23, 2015.Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na balozi wa Uswisi hapa nchini Mhe. Florence Tinguely Ikulu jijini Dar es salaam leo...

 

9 years ago

MillardAyo

Sababu zaidi ya 3 zinazofanya Rwanda wamkubali Rais Paul Kagame

Rwanda ni nchi ambayo ina watu zaidi ya milioni kumi ambapo moja kati ya sababu zilizofanya Rwanda wamkubali zaidi na hata kumpa kura nyingi za ndio kwenye mchakato wa kubadili utaratibu wa Rais kugombea Mihula zaidi ya miwili. Rais Kagame aliwahi kugawa Ng’ombe kwa Wananchi mbalimbali ili wajikwamue kwenye umasikini, bonyeza play hapa chini kuzipata sababu […]

The post Sababu zaidi ya 3 zinazofanya Rwanda wamkubali Rais Paul Kagame appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AKUTANA NA RAIS PAUL KAGAME WA RWANDA MJINI KIGALI

Rais Paul Kagame wa Rwanda akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana katika mazungumzo yaliyofanyika katika Hoteli ya Serena, Mjini Kigali Rwanda, juzi. 
Picha na Edward J. Mpogolo, 
wa ofisi ya Katibu Mkuu wa CCM

 

9 years ago

BBCSwahili

Mpiga picha na familia yake wauawa Burundi

Mpiga picha wa runinga ya taifa nchini Burundi, pamoja na familia yake wameuawa katika mji mkuu Bujumbura.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani