Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sababu zaidi ya 3 zinazofanya Rwanda wamkubali Rais Paul Kagame

Rwanda ni nchi ambayo ina watu zaidi ya milioni kumi ambapo moja kati ya sababu zilizofanya Rwanda wamkubali zaidi na hata kumpa kura nyingi za ndio kwenye mchakato wa kubadili utaratibu wa Rais kugombea Mihula zaidi ya miwili. Rais Kagame aliwahi kugawa Ng’ombe kwa Wananchi mbalimbali ili wajikwamue kwenye umasikini, bonyeza play hapa chini kuzipata sababu […]

The post Sababu zaidi ya 3 zinazofanya Rwanda wamkubali Rais Paul Kagame appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AONANA NA MJUMBE MAALUMU WA RAIS PAUL KAGAME WA RWANDA NA MABALOZI WA USWISI NA KUWAIT

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na balozi wa Kuwait hapa nchini Mhe. Jasem Al Najem Ikulu jijini Dar es salaam leo Disemba 23, 2015.Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Mjumbe Maalum wa Rais Paul Kagame wa Rwanda ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Louise Mushikwabo Ikulu jijini Dar es salaam leo Disemba 23, 2015.Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na balozi wa Uswisi hapa nchini Mhe. Florence Tinguely Ikulu jijini Dar es salaam leo...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AKUTANA NA RAIS PAUL KAGAME WA RWANDA MJINI KIGALI

Rais Paul Kagame wa Rwanda akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana katika mazungumzo yaliyofanyika katika Hoteli ya Serena, Mjini Kigali Rwanda, juzi. 
Picha na Edward J. Mpogolo, 
wa ofisi ya Katibu Mkuu wa CCM

 

5 years ago

BBCSwahili

Rais wa Rwanda Paul Kagame avishutumu vikosi vya Burundi kushambulia DRC

Rais wa Rwanda Paul Kagame amevishutumu vikosi vya Burundi kuendesha mapigano mashariki mawa Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, huku akipinga madai kuwa wanajeshi wa Rwanda wako katika eneo hilo pia.

 

5 years ago

BBCSwahili

Sababu zinazofanya wanawake kujifanya wamefika kileleni

Kwanini wanawake wako katika hatari ya kupoteza hamu ya kusiriki tendo la ndoa?

 

11 years ago

Bongo5

Picha: Davido apokewa na Rais Kagame na familia yake alipowasili uwanja wa ndege, Rwanda

Mshindi wa tuzo ya BET 2014 pamoja na tuzo mbili za MTV (MAMA) Davido kutoka Nigeria, Ijumaa iliyopita amepewa heshima kubwa nchini Rwanda kwa kupokewa uwanja wa ndege na Rais wa nchi hiyo Paul Kagame na familia yake. Rais Kagame aliongozana na mke wake pamoja na watoto wao kwenye uwanja wa ndege kumlaki staa huyo […]

 

10 years ago

Bongo5

Mwanamuziki maarufu wa Rwanda afungwa miaka 10 jela kwa kupanga njama dhidi ya Rais Kagame

Mahakama ya Rwanda Ijumaa iliyopita ilimhukumu mwanamuziki maarufu wa nchini humo, Kizito Mihigo kifungo cha miaka 10 jela kwa kosa la kupanga njama dhidi ya serikali ya Rais Paul Kagame. Kizito Mihigo Mihigo alipatikana na hatia ya kuanzisha kundi la kihalifu na njama ya kutekeleza mauaji japo jaji alitupilia mbali makosa ya kuhusika kwenye vitendo […]

 

10 years ago

Vijimambo

Muimbaji Maarufu Rwanda Afungwa Miaka 10 Jela kwa Kupanga Njama Kumuua Rais Kagame.

Muimbaji maarufu wa Rwanda amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela baada ya kushtakiwa kwa njama za kutaka kumuua Rais Kagame na kuonyesha chuki dhidi ya serikali.
Kizito Mihigo awali alisema alikuwa na makosa na kuomba msamaha, akimaanisha hukumu yake ipunguzwe.Kizito Mihigo amekuhumiwa jela miaka 10 kwa njama za kutaka kumuua Rais Paul KagameMshtakiwa mwenzake, Cassien Ntamuhanga kiongozi wa kituo cha redio ya Kikristo, alifungwa miaka 25 kwa ugaidi na matusi.Ameendelea kukataa mashtaka...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kagame afungua rasmi mkutano wa mwaka wa Benki ya Maendeleo ya afrika (AfDB) unaofanyika jijini Kigali Rwanda

PIC 1 (2)

Baadhi ya Viongozi Wakuu wa Afrika waliohudhuria Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika ambao ulifunguliwa na Mh.Rais wa Rwanda Paul Kagame. Mh.Kagame katika hotuba yake alisisitiza kuzijengea uwezo sekta binafsi ili Afrika iweze kufikia uchumi wa kati kwa kipindi cha Miaka 50 ijayo. Aidha katika kufikia lengo hilo Rais Kagame alisema hatuna budi Afrika kuachana na Migogoro na kutekeleza kwa vitendo makubaliano yanayoafikiwa na Viongozi wa Afrika  ili kujenga uchumi imara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani