Picha: Diamond alivyoungana tena na familia yake South
Diamond Platnumz ameungana tena na familia yake nchini Afrika Kusini.
Muimbaji huyo wa Nana aliyeenda nchini humo kwaajili ya maandalizi ya show ya BET Experience Africa, ametumia fursa hiyo kuonana tena na mchumba wake Zari The Bosslady na mwanae, Tiffah.
Kupitia Instagram, Diamond ameonesha picha akiwa na familia hiyo wakizunguka kwenye mitaa ya mji (ambao hakutaja ni upi).
“I always wanted to be a Good Daddy & Hubby!!!… #FamilyTime katoto kanapenda picha haka eti kanachungulia,”...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili14 Oct
Mpiga picha na familia yake wauawa Burundi
9 years ago
Bongo528 Dec
Picha: Zari, Diamond washerehekea msimu wa Christmas kwenye yacht na familia
![1739465_457224814468540_1238534898_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/1739465_457224814468540_1238534898_n-300x194.jpg)
Ulisherehekea vipi sikukuu ya Christmas na boxing day?
Kwa Diamond na first lady wake, Zari the Bosslady ilikuwa ni mwendo wa kuyakata maji kwenye yacht tu.
Mastaa hao walikodi yacht na kuelekea kwenye kisiwa cha maraha cha Mbudya wakiwa na ndugu zao. Waliojumuika ni pamoja na dada zake Diamond, Esma na Queen Darleen, AY, meneja Sallam na wengine.
Tazama picha zao:
Katika hatua nyingine, Diamond alipata muda wa kuspend na mwanae Tiffah kabla ya kwenda Nigeria Jumatatu hii kwaajili...
11 years ago
Bongo508 Jul
Picha: Davido apokewa na Rais Kagame na familia yake alipowasili uwanja wa ndege, Rwanda
9 years ago
Bongo Movies16 Dec
Picha: Kajala Akijiachia na Dada Yake Diamond!
HUKU kukiwa na madai kwamba mwigizaji Kajala Masanja ana uhusiano wa ‘kikubwa’ na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, mwigizaji huyo amezidi kuyachochea moto madai hayo kwa kutokana na kujiachia mara kwa mara na dada wa Diamond, Queen Darleen, Risasi Mchanganyiko linakujuza.
Kwa mujibu wa chanzo makini, Kajala na Queen Darleen wamekuwa ‘beneti’ kila kona ambapo pia kuna fununu kuwa hata familia ya Diamond imebariki uhusiano wake na Mbongo Fleva huyo na wanampa ushirikiano wa...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-QVFvxB3vifE/VW1Gbdk868I/AAAAAAAAu9g/Yxkr0FKnjy4/s72-c/007d2d.jpg)
Bifu la Emelda Mwamanga wa Bang magazine na Reginald Mengi Kwa Kuvujisha Picha za Mengi na Familia yake
![](http://2.bp.blogspot.com/-QVFvxB3vifE/VW1Gbdk868I/AAAAAAAAu9g/Yxkr0FKnjy4/s640/007d2d.jpg)
Mwanamama mjasiriamali, na managing director wa jarida maarufu nchini , Bang magazine , aitwaye Emelda Mwamanga amefunguka kuhusu bifu lake na mfanyabiashara maarufu nchini, Reginald Mengi, kupitia kwenye moja ya mahojiano ya kwenye kipindi maarufu cha Tv Hapa nchini .Mbali na kuelezea experience yake kwenye biashara yake, pia alizungumzia changamoto mbali mbali anazokabiliana nazo kwenye biashara zake, moja ya changamoto alizozielezea ni ile ya kushtakiwa na mfanyabiashara maarufu nchini,...
10 years ago
Vijimambo27 Mar
PICHA DIAMOND THE PLATNUMZ AKIMPIKIA ZARI NA KUMLISHA KATIKA NYUMBA YAKE MPYA
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2Flh6.ggpht.com%2F-VNAjpLWUvTk%2FVROHgh1k1nI%2FAAAAAAAARD8%2Fu1In5rOaYK0%2Fs640%2FPhotoGrid_1427343450623.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)