Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Justin Bieber aonesha cover ya album yake mpya ‘Purpose’

Wakati mitandao ikiwa imewaka moto kutokana na picha zake za utupu kuvujishwa wiki hii, Justin Bieber ameshare cover ya album yake mpya. Hivi karibuni mwimbaji huyo wa Canada alitangaza kuwa album hiyo itaitwa ‘Purpose’ na itatoka Novemba 13, 2015. Single ya kwanza kutoka kwenye album hiyo ‘What Do You Mean’ inaendelea kufanya vizuri kwenye chati […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Justin Bieber atoa orodha ya nyimbo zitakazokuwemo kwenye album yake mpya ‘Purpose’

Akiwa ameshatoa nyimbo mbili (What Do You Mean & Sorry) kutoka kwenye album yake mpya ‘Purpose’ ambayo itatoka mwezi Ujao, mshindi wa tuzo 5 za MTV EMA, Justin Bieber ametoa orodha ya nyimbo 19 zitakazokuwemo kwenye album hiyo. Wasanii aliowashirikisha kwenye baadhi ya nyimbo hizo ni pamoja na Nas, Big Sean, Travis Scott, Ariana Grande […]

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Rihanna afanya utambulisho wa jina na cover ya album yake mpya

Habari njema kwa mashabiki wa Rihanna ni kuwa ‘the wait is almost over’, kwani album ya nane ya mwimbaji huyo mrembo inakaribia kutoka. Jioni ya Jumatano Oct.7 Rihanna ambaye hajatoa album nyingine toka mwaka 2012 alipotoa ‘Unapologetic’, alifanya sherehe fupi ya utambulisho wa album cover pamoja na jina la album yake ya 8 huko Los […]

 

9 years ago

Bongo5

Justin Bieber atangaza jina la album mpya na tarehe ya kutoka

Mwezi mmoja baada ya kuachia ‘What Do You Mean?’ ikiwa ni single ya kwanza kutoka kwenye album yake mpya, Justin Bieber ametangaza jina la album hiyo. Kupitia Twitter Bieber amepost picha yenye jina ‘Purpose’ pamoja na hashtag ya tarehe ya kuachia album hiyo Nov.13. #6weeks #nov13 pic.twitter.com/zspENFhV5S — Justin Bieber (@justinbieber) October 2, 2015 Katika […]

 

9 years ago

Bongo5

Picha mpya za Justin bieber akiwa mtupu zasambaa mtandaoni (18+)

Tumezoea kuona mastaa wa kike wakipozi na kukipiga picha za utupu kwaajili ya matoleo ya majarida mbalimbali ambayo huwalipa mkwanja mrefu kufanya hivyo ili wauze majarida yao. Lakini safari hii ni staa wa kiume Justin Bieber ndiye ametawala vichwa vya habari baada ya picha zake akiwa mtupu kusambaa mtandaoni. Kwa mujibu wa Huffington Post picha […]

 

5 years ago

RFI

Justin Bieber tiptoes out of love cocoon with new album 'Changes'

Justin Bieber tiptoes out of love cocoon with new album 'Changes'  RFIInside Justin Bieber's (slightly odd) album playback  BBC NewsJustin Bieber Returns With New Album ‘Changes’  Rap-Up.comJustin Bieber - Changes (Audio)  Justin BieberHailey Baldwin Gave Justin Bieber a $10,000 Crystal-Encrusted Popsicle for Valentine's Day  Cosmopolitan.comView Full coverage on Google News

 

9 years ago

Bongo5

New Music: Ibrah – Sorry Swahili Version (Justin Bieber Cover)

PicsArt_12-25-03.04.50

Sikiliza cover ya Kiswahili ya hit single ya Justin Bieber ‘Sorry’ iliyofanywa na Ibrah.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

R.Kelly atoa orodha ya nyimbo na cover ya album yake mpya ambayo Wizkid pia kashirikishwa

r.kelly buffet

Mfalme wa Rnb duniani Robert Kelly maarufu kama R.Kelly yuko mbioni kuachia album yake mpya na ya 13 aliyoipa jina la ‘The Buffet’ kabla mwaka haujaisha.

r.kelly buffet

Album hiyo yenye jumla ya nyimbo 15 inatarajiwa kutoka December 11.

Hii ndio album ambayo Wizkid alizungumzia alipokuja Tanzania hivi karibuni, kuwa R.Kelly alimpigia simu na kumuomba amshirikishe kwenye wimbo utakaokuwemo kwenye album yake (Ingia hapa). Wimbo ambao kashirikishwa Wizkid unaitwa ‘I Just Want to Thank You’.

Wasanii wengine...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Chris Brown azidi kuonesha mapenzi kwa mwanaye ‘Royalty’ kwenye cover ya album mpya aliyoipa jina la mtoto huyo

Chris Brown ameendelea kuudhihirishia ulimwengu mapenzi ya dhati aliyonayo kwa mwanaye wa kike Royalty mwenye umri wa mwaka mmoja. Baada ya kuamua album yake mpya kuipa jina la mwanaye huyo ‘Royalty’, sasa staa huyo wa R&B ametoa cover ya album hiyo yenye picha ya yeye akiwa amembeba mtoto wake anayeonekana amesinzia. Toka Breezy afahamu kuwa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani