Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Kampuni ya Japan yatengeneza ‘midoli ya mapenzi’ yenye muonekano halisi wa mwanamke anayevutia!

Kampuni moja ya nchini Japan imedai kufanikiwa kutengeneza midoli ya ngono ‘sex dolls’ yenye muonekano halisi wa mwanamke ambayo huwa na ngozi ya mwili kama ya binadamu na macho kama ya ukweli. Mdoli wa ngono Orient Industry imesema ni ngumu kuitofautisha midoli hiyo na msichana hali pale unapoitazama kwa mara ya kwanza. Midoli hiyo imepewa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Kampuni D’ salaam yatengeneza miguu bandia kwa majaribio

Kampuni ya Kamal Group ya inayojihusisha na utengenezaji wa nondo, imetengeneza miguu bandia ya majaribio na kuigawa kwa watu 60 wenye ulemavu.

 

9 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA TINGATINGA IMEINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA BRICOLEUR HOLDINGS Co.LIMITED YA JAPAN.

Na Zainabu Hamis,Globu ya Jamii. CHAMA Cha Wasanii wa uchoraji picha aina ya Tingatinga imeingia mkataba wa miaka tano (5) na kampuni ya Bricoleurholdings Co.Limited ya nchini Japan, kwa ajili ya kuwatafutia soko nchini Japan 
Makabidhiano ya Mkataba huo yamefanyika leo mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. 
Mwakilishi wa Kampuni ya Bricoleurholdings Co.Limited, Shoji Tsuchiya amemkabidhi mkataba huo Mwenyekiti wa Chama Cha Tingatinga, Zack Chimwanda, amesema kuwa kazi hii ya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Waridi wa BBC: Simulizi ya mwanamke anayekabiliana na ugonjwa uliobadili muonekano wake

Farah Khalek anasema muonekano wa sura yake ilimtisha hata yeye mwenyewe.

 

9 years ago

MillardAyo

Picha 20 muonekano wa Zanzibari Jan 4 2016

Tayari tumeanza kuzihesabu siku katika mwaka 2016, kuna mengi yamepita na yatabaki kama kumbukumbu na kuna mengine yanakuja na tutaendelea kuyaishi bila utofauti. Hapa nakusogezea muonekano wa Zanzibari na maeneo yake mbalimbali January 1 2016 Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg […]

The post Picha 20 muonekano wa Zanzibari Jan 4 2016 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

GPL

MAMBO YENYE THAMANI KWENYE MAPENZI!-2

NI siku nyingine tunakutana tena kwenye safu yetu nzuri ya Love & Life. Lengo ni lilelile, kupeana mawili matatu kuhusu maisha yetu ya kimapenzi.Kila siku tunapaswa kujifunza zaidi kuhusu uhusiano na mapenzi maana maisha yetu hatuwezi kuwakwepa wenzi wetu hivyo ni vyema kujua mbinu mpya kila wakati za kuwafanya wenzetu wafurahie uwepo wetu. Nimekuwa nikisisitiza mara kwa mara, usimwonyeshe mpenzi wako kuwa hana thamani. Mpe...

 

11 years ago

GPL

MAMBO YENYE THAMANI KWENYE MAPENZI!

KUNA watu ambao huwa wanaumiza kichwa kuhusu mambo ya kuwafanyia wenzi wao ambayo yana thamani kubwa. Kwa bahati mbaya sana ni kwamba wengi huwaza kuhusu fedha na mali. Rafiki zangu, yapo mambo ambayo yanaweza kuonekana ya kawaida tu au si ya lazima sana lakini kumbe yana uzito na thamani kubwa sana kwenye uhusiano. Wengi wakitaka kufanya jambo la kumfurahisha mpenzi wake, huwaza katika ukubwa. Hufikiri kuhusu outing, mavazi ya...

 

9 years ago

MillardAyo

Picha 15 muonekano wa Dar town na kamvua kidogo leo Dec 28

Najua kuna watu wangu wanapenda kufahamu hali ya mazingira yanavyokuwa katika kipindi hiki cha kuelekea mwisho wa mwaka katika maeneo mbalimbali, Na tayari ripota wa millardayo.com amefanya kazi hiyo na ameyakusanya matukio katika picha yakionyesha muonekano wa baadhi ya maeneo katika jiji la Dar es salaam leo Dec 28 2015. Unataka kutumiwa MSG za habari […]

The post Picha 15 muonekano wa Dar town na kamvua kidogo leo Dec 28 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani