Picha 20 muonekano wa Zanzibari Jan 4 2016
Tayari tumeanza kuzihesabu siku katika mwaka 2016, kuna mengi yamepita na yatabaki kama kumbukumbu na kuna mengine yanakuja na tutaendelea kuyaishi bila utofauti. Hapa nakusogezea muonekano wa Zanzibari na maeneo yake mbalimbali January 1 2016 Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg […]
The post Picha 20 muonekano wa Zanzibari Jan 4 2016 appeared first on TZA_MillardAyo.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo502 Jan
Hawa ndio washindi wa tuzo za ‘The Headies 2015’ za Nigeria zilizotolewa Jan 1, 2016
![Headies-2015](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/Headies-2015-300x194.jpg)
Tuzo za The Headies za nchini Nigeria zilizokuwa zitolewe December 30, 2015 zilisogezwa na kutolewa January 1, 2016 jijini Lagos.
Katika tuzo hizo kulikuwa na kipengele kimoja kwaajili ya wasanii wa nje ya Nigeria, ‘African Artist’ ambapo Diamond Platnumz alikuwa akiwania na Cassper Nyovest, AKA na Uhuru wa Afrika Kusini, pamoja na Sarkodie wa Ghana. Hata hivyo matokeo ya kipengele hicho hayajawekwa.
Ifuatayo ni orodha ya washindi wa tuzo hizo zilizofanyika kwa mara ya kumi:
Headies...
9 years ago
MillardAyo03 Jan
#TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye MAGAZETI 8 ya Tanzania Jan.3, 2016
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa nimezikusanya zote zilizoguswa na #Tweets za #Magazeti January 3, 2016, unazisoma zote kwa pamoja. Bajeti ya Uchaguzi Mkuu Z’bar yatengwa, Serikali yasubiri Tume ya Uchaguzi […]
The post #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye MAGAZETI 8 ya Tanzania Jan.3, 2016...
9 years ago
MillardAyo28 Dec
Picha 15 muonekano wa Dar town na kamvua kidogo leo Dec 28
Najua kuna watu wangu wanapenda kufahamu hali ya mazingira yanavyokuwa katika kipindi hiki cha kuelekea mwisho wa mwaka katika maeneo mbalimbali, Na tayari ripota wa millardayo.com amefanya kazi hiyo na ameyakusanya matukio katika picha yakionyesha muonekano wa baadhi ya maeneo katika jiji la Dar es salaam leo Dec 28 2015. Unataka kutumiwa MSG za habari […]
The post Picha 15 muonekano wa Dar town na kamvua kidogo leo Dec 28 appeared first on TZA_MillardAyo.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-GTOo81dG39I/XkT2SwG8H6I/AAAAAAAAuys/7gtiK_pvDmUvwdffhpDBDv5cKb_uW17awCLcBGAsYHQ/s72-c/c6883c6c-13d1-45be-bfe7-cf897939f3fe.jpg)
MUONEKANO WA PICHA MLIMA KILIMANJARO ILIYOPIGWA NA DKT. JAKAYA KIKWETE YAWA GUMZO
![](https://1.bp.blogspot.com/-GTOo81dG39I/XkT2SwG8H6I/AAAAAAAAuys/7gtiK_pvDmUvwdffhpDBDv5cKb_uW17awCLcBGAsYHQ/s640/c6883c6c-13d1-45be-bfe7-cf897939f3fe.jpg)
Dkt. Kikwete amesema kuwa picha hiyo ameipiga wakati akiwa njiani akitokea Nairobi kwenda Dar es Salaam, saa chache baada ya mazishi ya aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili nchini Kenya, Daniel Arap Moi.
11 years ago
Bongo512 Aug
Picha: Kampuni ya Japan yatengeneza ‘midoli ya mapenzi’ yenye muonekano halisi wa mwanamke anayevutia!
9 years ago
BBCSwahili31 Dec
9 years ago
BBCSwahili01 Jan
Kwa Picha: Miji ilivyoukaribisha mwaka mpya 2016
9 years ago
MillardAyo07 Jan
Picha za Rais mstaafu JK alipokwenda Ikulu January 6 2016 + maelezo mafupi.
Rais mstaafu wa awamu ya nne Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete alikwenda Ikulu Dar es salaam January 6 2016 kukutana na Rais Magufuli ambapo taarifa iliyotolewa na Ikulu imesema kwenye mazungumzo yao JK alimtakia heri ya mwaka mpya JPM na kumpongeza kwa uongozi mzuri. Pia JK alisema anaunga mkono juhudi mbalimbali zinazofanywa na Rais Magufuli ikiwemo […]
The post Picha za Rais mstaafu JK alipokwenda Ikulu January 6 2016 + maelezo mafupi. appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MichuziMATUKIO MBALIMBALI KATIKA WA MKESHA WA MWAKA 2016 KATIKA PICHA