Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PICHA YA MANDELA AKIWA KWENYE JENEZA YAWA DILI

Na Mwandishi Wetu
HATIMAYE historia imeandikwa, Mzee Nelson Mandela, rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini amezikwa jana katika shughuli kubwa iliyoshuhudiwa na mamilioni ya watu duniani kote kupitia runinga huku picha ya mwili wake ukiwa ndani ya jeneza ikiwa ndiyo dili kubwa. Mazishi ya Mzee Madiba aliyefariki dunia Desemba 5, 2013 yalifanyika katika kijiji alichokulia, Qunu, Mkoa wa Mthatha katika Jimbo la Eastern Cape...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Picha: Mashabiki wamshambulia Nonini baada ya kupost picha ya ‘tbt’ akiwa kwenye pozi za kimahaba na Wahu

Katika ule utaratibu wa watu kupost picha za zamani kwenye mitandao ya kijamii na hashtag ya ‘Throw Back Thursday (TBT) kila siku za Alhamisi , Nonini alipost picha aliyopiga zamani na Wahu wakiwa kwenye pozi za kimahaba, kitendo kilichotafsiriwa tofauti na mashabiki waliodai amemkosea heshima Nameless. Wanamuziki Wahu Kagwi na David Mathenge a.k.a Nameless wa […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Wema Sepetu Akiwa Kwenye Harakati za Ubunge Huko Singida

Hizi ni baadhi ya picha za staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu zinazo ‘trend’ leo hii mtandaoni kwa hapa bongo  zikimuonyesha staa huyu aliyetitos kuwania nafasi ya ubunge wa viti maalum kupitia chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Singida.

Kila la Kheri Madam

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Muigizaji wa Kenya apoteza maisha kwenye ajali mbaya akiwa na gari ya kifahari

Muigizaji wa tamthilia nchini Kenya aliyejulikana kwa jina la Nana Gichuru Jumanne hii alipoteza maisha kwa ajali mbaya ya gari baada ya gari lake kugongana uso kwa uso na lori. Nana enzi za uhai wake Polisi na mashuhuda walidai kuwa muigizaji huyo huenda alikuwa akijaribu kuyapita magari kadhaa mbalimbali wakati akiwa kwenye gari yake aina […]

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA: Timbwili Mitandaoni, Diamond Akiwa na Zari Huku Wema Akiwa na Ommy

Kweli mafahari wikigombana nyasi ndio uumia! Picha za mwanamziki Diamond akiwa na mpenzi wake Zari  wakiwa ndani ya gari alizoziweka mtandao usiku wa kuamkia leo siku ya wapendanao na kuandika kwa maneno ya lugha ya kingreza kuwa wanaelekea siku ya Valentine “Road to Valentine...”

Zilizua timbwili la maneno miongoni mwa mashabiki wa Diamond ambao walikuwa wakisifia “Project hii” na wale wa Wema  aka TeamWema walikuwa wakiponda na kumshabulia sana mwanadada Zari ikiwemo kumuiga mtindo wa...

 

10 years ago

Bongo5

Niko sawa tu — asema Collo kwenye picha akiwa na noti za kutisha za dola mia mia!

Rapper wa Kenya, Collo anaweza kuwa amepotea kwa kiasi kwenye mawimbi ya redio na TV licha ya kuwa na ngoma mpya za hapa na pale, lakini haimaanishi kuwa amepigika. Pengine anataka kudhihirisha hilo kwa mashabiki wake ndio maana ameamua kupost picha Instagram akiwa ameshika lundo la kutisha la noti za dola mia mia! “Sina ubaya […]

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Huddah Monroe achefua tena, atupia picha akiwa uc*i kitandani! (18+)

Huddah Monroe ameshajikubali kuwa ni ‘good girl gone bad’ na ndio maana haoni tatizo kuweka picha akiwa kitandani kama alivyozaliwa. Mrembo huyo wa Kenya amepost picha kwenye akaunti yake ya Facebook akiwa kitandani huku akiwa amejifunika na shuka sehemu ndogo tu ya mwili wake kuficha sehemu ny*ti. Mashabiki wake hawakusita kumchana. “Dnt you fear God?oh […]

 

10 years ago

Vijimambo

Hawa Ndio Walioweka Rekodi Ya Kufunga Ndoa kwenye JENEZA

Miongoni mwa matukio ya kushangaza kama sio kufurahisha yaliyofanywa siku ya Jumamosi Feb.14 katika siku ya wapendanao Valentine’s day, ni lile la wachumba kumi walioamua kufunga ndoa zao wakiwa ndani ya jeneza huko Bangkok, Thailand.Inasemekana kuwa wapenzi hao walifanya hivyo kwa kuamini kuwa ni njia ya kuondoa mikosi katika ndoa zao.

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Waziri mwanamke wa Jamaica azua mjadala mtandaoni kwa kupost picha akiwa nusu utupu

Waziri wa Vijana na Utamaduni wa Jamaica , Lisa Hannah amezua mjadala kwa kupost picha akiwa amevaa bikini na top yenye picha ya Bob Marley. Lisa ambaye amewahi kuwa Miss World mwaka 1993, alipost picha hiyo kwenye ukurasa wake wa facebook na kusababisha mjadala juu ya picha hiyo, wengine wakisema sio sahihi kwa kiongozi ambaye […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani