Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PICHA ZINGINE ZA MHE. JUSSA ALIPOONGEA NA WANADMV

 Mhe. Jussa akiongea na wanaDMV Katibu wa CHADEMA DMV Liberatus Mwang'ombe akiongea kusisitiza jambo Aliyekuwa makamu wa Rais DMV Bwn. Ray Abraham akiuliza swali. Meza kuuu Katibu mwenezi na Itoikadi CCM DMV akiuliza swali Bishop Martulu akiongea jambo. Picha na Tito Mazali

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZINGINE ZA KUMUAGA MHE. LIBERATA MULAMULA KUTOKA TEMBAPHOTO JITIRIRISHE HAPA

 Mhe. Liberata Mulamula, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akitoa hotuba ya kuwaaga Watanzania wa Marekani waliokuja kutoka kila pembe ya Marekani siku ya Jumamosi Julai 25, 2015 nyumbani kwake Bethesda, Maryland.
   Maafisa wa Ubalozi wa kudumu wa Umoja wa mataifa New York wakipata ukodak wa pamoja na Mhe. Liberata Mulamula, Ukiacha maafisa hao pia kulikuwa na Naibu mweka hazina wa New York Tanzania Community Dr Temba na Mwenyekiti wa tawi la CCM New York bwana...

 

10 years ago

Vijimambo

MHE. SAMWEL SITTA AKUTANA NA WANADMV AFAFANUA VIFUNGU VYA KATIBA ILIYOPENDEKEZWA

Mhe. Samwel Sitta amewasili nchini Marekani siku ya Jumapili Februari 22, 2015 na baadae jioni kukutana na Watanzania wa DMV na kuwafafanulia vifungu vya katiba iliyopendekezwa hasa kwenye swala la Serikali tatu na kueleza ni kwanini CCM ilipendelea serikali 2 na pia kufafanua swala la uraia pacha ambalo ndio kilio cha Diaspora na kuelezea kwa kina kifungu hicho ndani ya katiba iliyopendekezwa Mtanzania yeyote mwenye uraia wa nchi nyingine atakua na haki kama Mtanzania mwingine ikiwemo...

 

10 years ago

GPL

MHE. SAMWEL SITTA AKUTANA NA WANADMV AFAFANUA VIFUNGU VYA KATIBA ILIYOPENDEKEZWA‏

Mhe. Samwel Sitta akiongea na mwenyeji wake jambo Mhe. Liberata Mulamula. Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samwel Sitta (kati) akiambatana na mwenyeji wake Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mhe. Liberata Mulamula kuingia kwenye ukumbi wa Tabeer uliopo Hyattsville, Maryland nchini Marekani. …

 

10 years ago

Vijimambo

Mhe. Jussa asema Suala la Katiba mpya halijafikiwa kama Wananchi walivyotarajia

Na Abou Shatry Washington DC

Mwakilishi wa jimbo la mji mkongwe ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa chama cha wananchi CUF Mhe: Ismail Jussa Ladhu amesema Tanzania inaelekea kusipotarajiwa na maoni ya wananchi waliyotoa maoni.Muwakilishi wa jimbo la mji mkongwe Mhe: Ismail Jussa Ladhu akiongea na waTanzania wa DMV Siku ya Jumamosi Feb 28, 2015 kwenye ukumbi wa Tabeer Hall uliopo University Blvd East, Hyattsville, Maryland, Nchini Marekani. (Picha na swahilivilla)
Aidha amesema matarajio ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Angalia Video za maswali na majibu za mkutano wa Mhe. Jussa, Sehemu ya kwanza hadi ya Tisa

Muwakilishi wa Jimbo la Stone, Town, Zanzibar Mhe. Ismail Jussa kupitia chama cha wanainchi CUF ambae pia mjumbe wa UKAWA aliweza kuongea na waTanzania waishio. (DMV) na kumuuliza maswali mbali mbali kuhusu mustakabali wa nchi yetu, Siku ya Jumamosi Feb 28, 2015.
Kwa video zaidi bofya soma zaidi


 

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZINGINE ZA FIESTA

Msanii kutoka Nchini Marekani T.I akitoa burudani kwa wakazi wa Jiji la Dar Katika Show ya FIesta iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya Leaders.Msanii Davido kutoka nchini Nigeria AkiwajibikaDiamond Platnumz akitoa burudani Vanessa Mdee Dimpoz kwa pozi Ommy Dimpozkwa picha kibao bofya soma zaidi Mashabiki Banana Young Killa Waje kutoka NIgeria Mashabiki wakishangweka Victoria Kimani akiwajibika Rachel Kazini Rachel na wakata mauno wake. Barnaba Shaa na steji shoo wake...

 

9 years ago

Vijimambo

PICHA ZINGINE MAGUFULI SUMBAWANGA

 Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM,Mhe. Mizengo Pinda akimtambulisha mgombea Urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli kwa wakazi wa Sumbawanga mjini kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika ndani ya uwanja wa Nelson Mandela jioni ya leo.   Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Sumbawaga mjini mkoani Rukwa,ndani ya Uwanja wa Nelson Mandela kwenye mkutano wa kampeni,pichani nyuma ni Waziri Mkuu Pinda akishuhudia tukio hilo.
   Mgombea wa Urais kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZINGINE MNUSO WA TBN

Baadhi ya bloggers na wageni waalikwa walioshiriki katika hafla ya kihistoria ya TBN iliyoutanisha bloggers anuai kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania bara na Visiwani. Baadhi ya bloggers wakipiga picha ya ukumbusho na mgeni rasmi Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi Mkajanga (wa tano kulia) katika hafla ya kihistoria ya TBN iliyokutanisha bloggers kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania bara na Visiwani.Mkongwe kwa maswala ya kublog hapa nchini, Muhidin Issa Michuzi (wa kwanza kulia) akifafanua jambo kwa baadhi ya wageni waalikwa juu ya kukutana kwao kwenye hafla hilo iliyofanyika juzi Hoteli ya Serena, jijini Dar es Salaam. Mkongwe kwa maswala ya kublog hapa nchini, Muhidin Issa Michuzi (wa kwanza kulia) akifafanua jambo kwa baadhi ya wageni waalikwa juu ya kukutana kwao kwenye hafla hilo iliyofanyika juzi Hoteli ya Serena, jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Simu ya Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa ambao ndio walikuwa wadhamini wakuu wa hafla ya TBN, akizungumza machache katika hafla hiyo....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani