Picha/Video: Viongozi wa serikali, wasanii wamzika Ebby Sykes
Viongozi mbalimbali wa serikali, wasanii pamoja na wadau mbalimbali wa muziki jana wamemzika Mzee Ebby Sykes, baba yake na Dully Sykes kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Mwili wa marehemu mzee Ebby Sykes ukishushwa chini Akizingumza katika makaburi ya Kisutu kaka wa marehemu aliwashukuru viongozi, wasanii pamoja na wadau mbalimbali walioshiriki katika mazishi […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM17 Feb
10 years ago
Bongo515 Feb
Baba yake na Dully Sykes, Ebby Sykes afariki dunia
10 years ago
CloudsFM16 Feb
Hiki ndicho kilichomuua baba yake Dully Sykes,Mzee Ebby Sykes
Marehemu Mzee Abby Sykes ambaye ni Baba mzazi wa mwimbaji wa Bongo Fleva Prince Dullysykes, alifariki saa 8 mchana February 15 2015 akiwa hospitali ya taifa Muhimbili kwa ajili ya kupatiwa matibabu. Dullysykes ameongea na millardayo.com ikiwa ni pamoja na kuelezea kitu kilichosababisha umauti wa baba yake ambapo ameanza kwa kusema >>’Mzee alikua ana vidonda katika miguu na ndiyo chanzo kikubwa, sumu ikasambaa ikasababisha kifo chake, vidonda vilishindwa kupona kwa ajili ya moshi wa sigara...
10 years ago
Dewji Blog15 Feb
Mzee Ebby Sykes afariki dunia
Baba mzazi wa msanii mkongwe wa muziki nchini, Dully Sykes, Mzee Ebby Sykes amefariki (pichani) dunia leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Kwa mujibu wa binti yake Raya Sykes amethibitisha taarifa hizo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram.
Raya katika ukurasa wake huo aliandika ‘Mungu akulaze mahala pema peponi baba angu mimi nilikupenda lakini Mungu alikupenda zaidi….nasikitika nipo mbali sitaweza kukuzika. Ulikuwa ni mtu mwenye upendo na kila mtu alikupenda, nakupenda sana baba...
10 years ago
Mtanzania17 Feb
Mamia wajitokeza kumzika Ebby Sykes
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
SAFARI ya mwisho ya aliyekuwa mkongwe wa muziki wa Ragger nchini ambaye pia ni baba mzazi wa msanii, Dully Sykes, Ebby Sykes (62), imehitimishwa jana kwenye makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam.
Mkongwe huyo alifikwa na umauti juzi mchana katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa vidonda miguuni vilivyodaiwa kueneza sumu mwilini mwake kutokana na matumizi ya uvutaji wa sigara.
Wasanii mbalimbali wameonyesha kusikitishwa na kifo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qB*eEYpVu7MS26RpOm5rSCG*7NiH3RjVXzWsGAinE--MknRgcQhkMQ8r9tONe5Fl8-fguB7BQ903wDzN9rRCwXl5x6i08XUW/mzeesykes.jpg?width=650)
MAZISHI YA MZEE EBBY SYKES KUFANYIKA LEO MAKABURI YA KISUTU, DAR
10 years ago
Bongo520 Feb
Diamond atoa sababu za kushindwa kuhudhuria msiba wa baba yake Dully, Ebby Sykes
10 years ago
GPLMAMIA WAMZIKA BABA MZAZI WA DULLY SYKES MAKABURI YA KISUTU, DAR
10 years ago
GPL17 Feb