Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PICTURE OF THE DAY - MISS LUPS AKA DR LUPS AKA TWITWI

Picture of the Day, Miss Lups Ndani ya 2014 Harley Davidson Motor Cycle Ready to Roll.


Ms Lups Exploring the streets of area code 413 (Toronto) and the best way to explore the streets of Toronto is to look at signs signs and signs...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Mr.Tz aka SanTz NEW VIDEO: Micharazo B.O.B ft Mr.Tz aka SanTz - True Story



Team 26 , introducing member wa B.O.B Click huko marekani, Mr.Tz aka SanTz

 

10 years ago

Vijimambo

HASHIM LUNDENGA AKANUSHA HABARI ZA SITTI MTEMVU aka MISS TANZANIA KUJIVUA TAJI.

MKURUGENZI wa Kampuni ya Lino International Agency, Hashim Lundenga (kati pichani), amekanusha uvumi uliosambaa kwenye mitandao ya kijamii mapema leo, kuwa Sitti Abbas Mtemvu (pichani kushoto) amelazimika kuvua taji la Uremo la Tanzania (Redd’s Miss Tanzania 2014).

Uvumi wa Sitti kuvua taji hilo umetokana na taarifa zilizotolewa kupitia akaunti ya Facebook mrembo huyo anayelalamikiwa kughushi vyeti vya kuzaliwa, akisema kutokana na vidole vya lawama anavyooshewa kiasi cha kuosa amani,...

 

9 years ago

Bongo5

Video: AKA — Composure

King of South African Hip-Hop, AKA is back with the official video for his Cassper Nyovest diss track titled “Composure”. Check it out. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Habarileo

Makonda ang’aka

Paul Makonda.MKUU wa Wilaya ya Kinondoni , Paul Makonda (pichani) amesema wanaobeza uwezo wake kiutendaji baada ya kuteuliwa na Rais Jakaya Kikwete kushika wadhifa huo, wasubiri waone atakavyokuwa.

 

9 years ago

Bongo5

Video: Wande Coal Ft AKA — Same Sh$t

Msanii kutoka Nigeria muimbaji Wande Coal aka Black Diamond amerudi tena na video mpya ya wimbo “Same Sh$t” akiwa na rapper kutoka Afrika Kusini AKA. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

11 years ago

Tanzania Daima

Walimu wang’aka kutopandishwa daraja

BAADHI ya walimu katika Halmashauri ya Wilaya Muleba mkoani Kagera wameilalamikia serikali kwa kushindwa kuwapandisha madaraja waliostahili tangu Julai mwaka jana hadi sasa kiasi cha kushusha ufanisi wa kazi. Mwenyekiti...

 

11 years ago

Tanzania Daima

DC ang’aka mwenyekiti wa kijiji kutimuliwa

MKUU wa Wilaya (DC) ya Igunga, Elibariki Kingu, amewakemea viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kijiji cha Igurubi kwa kumfukuza kazi mwenyekiti wa serikali ya kijiji hicho, Selemani Mdeka, kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Jonathan ang'aka ye si mkwasi

Rais Goodluck Jonathan hivi karibuni ameng'aka kuwa jina lake kujumuishwa katika orodha ya marais tajiri Africa haina msingi .

 

9 years ago

Habarileo

Kerr ang’aka Kessy kutakiwa Yanga

KOCHA wa timu ya soka ya Simba, Dylan Kerr ameutaka uongozi wa timu hiyo kuhakikisha unamwongezea mkataba beki wake wa kulia Hassan Kessy kutokana na mchango mkubwa aliokuwa nao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani