Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda aanza ziara ya mkoa wa Iringa

PG4A1322

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza  baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Nduli kuanza ziara ya kikazi mkoani Iringa Februari 18, 2015. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu).

PG4A1341

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama ngoma  ya kikundi cha Mangala  baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Nduli kuanza ziara ya kikazi mkoani Iringa Februari 18, 2015.

PG4A1363

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Iringa baada ya kuwasili kwenye...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KINANA AANZA ZIARA YA SIKU SITA MKOA WA IRINGA


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivishwa skafu mara tu baada ya kuwasili Iringa Vijijini ambako atafanya shughuli mbali mbali za kijamii ,kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 .

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipiga saluti kama ishara ya kupokea vizuri mapokezi yake katika mkoa wa Iringa ambapo atakuwa na ziara ya siku sita.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Ndugu Jesca Msambatavangu...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AANZA ZIARA YA MKOA WA MBEYA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama mafunzo kwa vitendo yaliyokuwa yakifanywa na wanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari ya Igomelo wilayani Mbarari akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya kikazi mkoani Mbeya Februari 24, 2015. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

10 years ago

Dewji Blog

Matukio mbalimbali ya Waziri Mkuu Pinda katika ziara yake mkoa wa Iringa

PG4A1831

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Chief wa Wahehe , Adam Abdu Sapi Mkwawa   wakati alipokwenda nyumbani kwa Chief huyo, Kalenga Iringa  Februari 20, 2015 kuhani msiba wa baba yake Chief huyo, Marehemu Abdu Adam Sapi Mkwawa uliotokea hivi karibuni. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A1839

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akishiriki katika dua mbele ya kaburi la marehemu Abdu Adam Sapi Mkwawa   wakati alipokwenda nyumbani kwa Chief huyo, Kalenga Iringa kuhani Februari  20, 2015.

PG4A1866

Waziri Mkuu,...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kinana aanza ziara ya Mkoa wa Manyara

unnamed

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Katesh wilayani Hanang ambapo aliwaambia wananchi wanapaswa kushirikiana na serikali yao katika kuleta maendeleo na kuachana na mambo mengi yanayoendelea kwenye siasa.

unnamed (1)

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Katesh kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika mjini hapo ambapo aliwaambia wananchi CCM imejipanga vizuri sana kiasi cha wananchi wengi kuendelea kuiamini ,alisisitiza nchi nzima ofisi za CCM...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AANZA ZIARA YAKE MIKOA YA PWANI,TANGA NA IRINGA

1 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Kata ya Kimanzichana leo wakati alipoanza Ziara yake ya mikoa ya Pwani ,Tanga na Iringa Ikiwa ni kuimarisha Chama na kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Mwaka 2010 huku akihimiza wananchi kushiriki katika shughuli za kujiletea maendeleo katika maeneo yao, Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa Itikadi na Uenezi na leo amefanya shughuli mbalimbali katika ziara hiyo.2

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AANZA ZIARA MKOA WA KILIMANJARO

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikatisha kwenye migomba alipokuwa akikagua mifereji ya inayotiririsha maji kuelekea kwenye mashamba ya ndizi akiongozana na Mh. Agrey Mwanri.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana amewasili katika jimbo la Siha, katika ziara yake ya kikazi yenye lengo la kukagua kuhimiza na kusimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ambayo katika jimbo la Siha imetekelezwa kwa asilimia kubwa ikisimamiwa na Mbunge wa jimbo hilo na Naibu Waziri wa...

 

10 years ago

Michuzi

KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE MKOA WA IRINGA

 Mbunge wa Kilolo Profesa Msola akieleza alivyosimamia utekelezaji wa ilani ya CCM katika jimbo hilo kwenye mkutano huo Mwenyekiti wa serikali ya Kijiji cha Utengule kwa tiketi ya Chadema, Parcras  Mkakatu akimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati wa mkutano kwenye zahanati ya Kijiji hicho Mwenyekiti wa serikali ya Kijiji cha Utengule (Chadema), Parcras  Mkakatu akieleza utekelezaji wa shughuli za maendeleo katika kijiji cha Utengule kwa Kinana wakati wa mkutano kwenye...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AANZA ZIARA YA SIKU NNE MKOA WA DAR ES SALAAM

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akipokelewa kwa shangwe na Wanachama mbalimbali wa chama hicho mapema leo asubuhi alipokuwa akiwasili kwenye ofisi za CCM Wilaya ya Ilala,ambapo alizungumza machache na  kamati ya siasa ya Wilaya na baadae kuanza ziara rasmi wilaya ya Ilala.
 Pichani kulia ni Mwenyekiti Mkoa wa CCM,Dar Es salaam Ndugu Ramadhan Madabida akizungumza jambo mbele ya kamati ya Siasa ya mkoa (hawapo pichani) mapema leo,kwenye ofisi Kuu za CCM mkoa,ambapo Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani