Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda afungua semina ya wanasheria wa serikali wa Afrika ya Mashariki

PG4A5035

Waziri Mkuu, mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba (kulia) Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (EADB), Vivianne Yeda (kushoto) na Mjumbe wa Bodi ya EADB,Khadija Simba baada ya kufungua Semina ya Wanasheria wa Serikali wa nchi za Afrika ya Mashariki  ya kuwajengea uwezo wanasheria hao katika kuchambua na kufikia mamuzi ya mikataba ya uvunaji maliasili za mataifa hayo,. Semina hiyo ilifanyika kwenye hoteli ya White sands jijini Dar es salaam...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MKUTANO WA WANASHERIA MAWAKILI AFRIKA MASHARIKI KUFANYIKA ZANZIBAR

Na RAMADHANI ALI, MAELEZO ZANZIBAR                                     Chama cha Wanasheria Mawakili Zanzibar kimepata heshma ya kuwa mwenyeji wa Mkutano wa siku mbili wa mwaka wa Wanasheria Mawakili wa Nchi za Afrika Mashariki utakaoanza  tarehe 27 Mwezi huu katika Hoteli ya Sea Cliff Resort.Akizungumza na waandishi wa Habari Ofisini kwake Bwawani, Katibu Mkuu wa Chama cha Wanasheria Mawakili Zanzibar Omar Said Shaaban amesema mkutano huo utawashirikisha zaidi ya Wanasheria 400 kutoaka Nchi...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wabunge wapata semina ya Itifaki ya Umoja wa Fedha wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki

mof 1

Mgeni rasmi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwezeshaji wa Uchumi Dkt. Mary Nagu akifungua semina ya Wabunge kuhusu Itifaki ya Umoja wa Fedha wa Jumuiya ya Afrika Mashariki jana katika ukumbi wa Bunge wa Msekwa mjini Dodoma. Kulia ni Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum.

mof 2

Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akisisitiza umuhimu wa Itifaki ya Umoja wa Fedha wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa Wabunge katika semina iliyofanyika jana ukumbi wa Bunge wa Msekwa mjini Dodoma.

mof 3

Mkurugenzi Msaidizi...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AFUNGUA SEMINA YA JUMUIYA WAZAZI NGAZI YA TAIFA,MKOANI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia wakati wa ufunguzi semina ya viongozi na watendaji wa Jumuiya ya Wazazi Ngazi ya Taifa, mikoa na Wilaya nchini iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma Februari 22, 2014wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua semiana hiyo. Washiriki wa Semina ya viongozi na watendaji wa Jumuiya ya Wazazi Ngazi ya Taifa,mikoa na Wilaya nchini iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM...

 

10 years ago

Vijimambo

DKT. MENGI AFUNGUA KONGAMANO LA NISHATI MBADALA NA MAONYESHO LA AFRIKA MASHARIKI

Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Nchini, ambaye pia ni Mwenyekiti Mtendajiw a IPP, Dkt. Reginald Mengi, akitoa hotuba ya ufunguzi wa kongamano na maonyesho ya nishati mbadala kanda ya Afrika Mashariki, kwenye ukumbi wa kituo cha mikutano cha kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo Oktoba 31, 2014. Wengine pichani ni Mkurugenzi Mtendajiw a Baraza la Biashara la Afrika Mashariki, Andrew LuzzeMwanzilishi mwenza wa kampuni ya OFF. GRID ELECRTIC, Erica Mackey, akizungumzia...

 

9 years ago

Dewji Blog

Pinda afungua mkuatno wa Majaji Afrika

IMGS9647

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Jaji Mkuu, Mstaafu Augustino Ramadhani na Jaji Mkuu wa Tanzania  Othman Chande (kushoto) baaa ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kilimanjaro  ambako Novemba 4, 2015 alifungua Mkutano wa Majaji wa Afrika kwenye hoteli ya Ngurdoto, Arusha. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

IMGS9696

Waziri Mkuu , Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano wa Majaji wa Afrika uliofanyika kwenye Hoteli ya Ngurdoto, Arusha Novemba 4, 2015.  Kulia kwake...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MEMBE AFUNGUA RASMI MKUTANO WA BARAZA LA MAWAZIRI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akifungua rasmi Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Mei, 2015. Mkutano huo ambao ni maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa EAC utakaofanyika tarehe 31 Mei, 2015, pamoja na mambo mengine utapokea na kujadili taarifa zitakazowasilishwa na Jopo la Watu Maalum wanaofuatilia...

 

9 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete afungua Mkutano wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki

Rais Kikwete akifungua Mkutano wa siku tatu wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki unaofanyika katika Hoteli ya Malaika Beach Resort Mwanza..Baadhi ya washiriki wa Mkuano huo.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki(picha na Freddy Maro)

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda afungua Kongamano la ufugaji Nyuki Afrika

PG4A9309

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama ngoma kabla ya kufungua kongamno la ufugaji nyuki Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 11, 2014. Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A9594

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia  wakati alipofungua Kongamano la Ufugaji Nyuki Barani Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 11, 2014.

PG4A9553

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea tuzo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani