Pinda afungua mkuatno wa Majaji Afrika
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Jaji Mkuu, Mstaafu Augustino Ramadhani na Jaji Mkuu wa Tanzania Othman Chande (kushoto) baaa ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kilimanjaro ambako Novemba 4, 2015 alifungua Mkutano wa Majaji wa Afrika kwenye hoteli ya Ngurdoto, Arusha. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu , Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano wa Majaji wa Afrika uliofanyika kwenye Hoteli ya Ngurdoto, Arusha Novemba 4, 2015. Kulia kwake...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboRais Kikwete afungua Mkutano wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-LsDwZetdvi0/VdypadLwP6I/AAAAAAAHz9Q/w55DEWdPSsg/s72-c/unnamed%2B%25289%2529.jpg)
Rais Kikwete afungua Mkutano wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki jijini Mwanza
![](http://3.bp.blogspot.com/-LsDwZetdvi0/VdypadLwP6I/AAAAAAAHz9Q/w55DEWdPSsg/s640/unnamed%2B%25289%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-RiZ2O9RZw0E/VdypaelYQDI/AAAAAAAHz9U/fSL6DlFWv0g/s640/unnamed%2B%252810%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-da9CozSm8aE/VdypdzouTFI/AAAAAAAHz9g/WmjAY2uoP7Y/s640/unnamed%2B%25288%2529.jpg)
10 years ago
Dewji Blog11 Nov
Pinda afungua Kongamano la ufugaji Nyuki Afrika
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama ngoma kabla ya kufungua kongamno la ufugaji nyuki Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 11, 2014. Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia wakati alipofungua Kongamano la Ufugaji Nyuki Barani Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 11, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea tuzo ya...
10 years ago
Dewji Blog09 Sep
Pinda afungua semina ya wanasheria wa serikali wa Afrika ya Mashariki
Waziri Mkuu, mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba (kulia) Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (EADB), Vivianne Yeda (kushoto) na Mjumbe wa Bodi ya EADB,Khadija Simba baada ya kufungua Semina ya Wanasheria wa Serikali wa nchi za Afrika ya Mashariki ya kuwajengea uwezo wanasheria hao katika kuchambua na kufikia mamuzi ya mikataba ya uvunaji maliasili za mataifa hayo,. Semina hiyo ilifanyika kwenye hoteli ya White sands jijini Dar es salaam...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-pKtsYsrK8e8/VRQSzI11bJI/AAAAAAAHNXY/ABzYN6bRE1w/s72-c/Untitled.png)
MH. MWAKYEMBE AFUNGUA SEMINA YA MAJAJI NA MAWAKILI JIJINI DAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-pKtsYsrK8e8/VRQSzI11bJI/AAAAAAAHNXY/ABzYN6bRE1w/s1600/Untitled.png)
![](http://1.bp.blogspot.com/-VHA8_4ts3z0/VRQR8B7D5vI/AAAAAAAHNXE/erCeST839gY/s1600/UntitledAZ.png)
10 years ago
MichuziJAJI MKUU WA TANZANIA AFUNGUA RASMI MAFUNZO ELEKEZI YA MAJAJI WAPYA
![](http://1.bp.blogspot.com/-vyjiEBwdDXA/VASBBmo2VYI/AAAAAAAGaBc/SxRI3gb_5xg/s1600/unnamed%2B(22).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-mXESUtPHMOQ/U2d0tfsblyI/AAAAAAAFfoI/GO65Knupi_o/s72-c/mpya.jpg)
Rais Kikwete afungua mkutano wa Majaji Wanawake jijini Arusha leo
![](http://3.bp.blogspot.com/-mXESUtPHMOQ/U2d0tfsblyI/AAAAAAAFfoI/GO65Knupi_o/s1600/mpya.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-f6VEOwnVOKQ/U2d0v_KSgcI/AAAAAAAFfoQ/MhHLnU0-it4/s1600/22bh+nhnmhjm.jpg)
10 years ago
MichuziWAZIRI MIGIRO AFUNGUA RASMI MKUTANO WA MAJAJI WA MAHAKAMA YA TANZANIA KATIKA HOTELI YA MALAIKA JIJINI MWANZA
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-J-QKhvm06B8/VdYYpzTxgHI/AAAAAAAHyrI/GYs6pfnBXJM/s72-c/g.png)
MKUTANO MKUU WA 15 WA MWAKA WA CHAMA CHA MAJAJI NA MAHAKIMU WA AFRIKA MASHARIKI
![](http://3.bp.blogspot.com/-J-QKhvm06B8/VdYYpzTxgHI/AAAAAAAHyrI/GYs6pfnBXJM/s1600/g.png)
MKUTANO UTAHUDHURIWA NA MAJAJI NA MAHAKIMU KUTOKA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI.RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,MHE. DR. JAKAYA MRISHO KIKWETENDIYE MGENI RASMI ATAKAYEFUNGUA MKUTANO HUO.KAULIMBIU YA MKUTANO NI:KUIMARISHA IMANI YA UMMA KWA MAHAKAMAWAKATI WA MKUTANO KUTAKUWA NA MAONYESHO JUU YA HUDUMA MBALIMBALI ZINAZOTOLEWA NA MAHAKAMA YA TANZANIA. WOTE MNAKARIBISHWAAIDHA MKUTANO HUO UTAFUATIWA NA MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA MAJAJI NA MAHAKIMU WA TANZANIA(JMAT) UTAKAOFANYIKA TAREHE 29 AGOSTI...