Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MH. MWAKYEMBE AFUNGUA SEMINA YA MAJAJI NA MAWAKILI JIJINI DAR

Waziri wa Afrika Mashariki, Dkt. Harrison Mwakyembe akitoa Hotuba ya ufunguzi kwa Wajumbe (hawapo pichani) kwenye Semina ya Majaji na Mawakili ya Umuhimu wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki katika usimamizi wa haki inayofanyika Machi 26, 2015 kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam. Waziri wa Afrika Mashariki, Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati ya walioketi) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe waliohudhuria Semina ya Majiji na Mawakili ya umuhimu wa Mahakama ya Jumuiya ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete afungua mkutano wa Majaji Wanawake jijini Arusha leo

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Asha Rose Migiro,Jaji Mkuu Mohamed Othman Chande,pamoja na Rais wa Chama Cha Kimataifa cha Majaji Wanawake wakiimbaq wimbo wa taifa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 12 wa chama hicho uliofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Arusha AICC.Mkutano huo ulifunguliwa na Rais Kikwete. Baadhi ya majaji wanawake wanaoshiriki Mkutano wa 12 wa Chama Cha Kimataifa cha Majaji wanawake unaofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa...

 

9 years ago

Michuzi

Rais Kikwete afungua Mkutano wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki jijini Mwanza

 Rais Kikwete akifungua Mkutano  wa siku tatu wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki unaofanyika katika Hoteli ya Malaika Beach Resort jijini Mwanza leo Seehemu ya washiriki wa Mkutano huo.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na  washiriki wa mkutano wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki jijini Mwanza leo. Picha na Freddy Maro

 

9 years ago

CCM Blog

BALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA RASMI SEMINA ELEKEZI KWA MAKATIBU WAKUU NA MANAIBU MAKATIBU WAKUU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza na Makatibu Wakuu na Naibu Katibu Wakuu wakati akifungua Semina Elekezi kwa Makatibu hao Ikulu jijini Dar es Salaam


Baadhi ya Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu wakimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika Semina elekezi ya siku moja Ikulu Jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MIGIRO AFUNGUA RASMI MKUTANO WA MAJAJI WA MAHAKAMA YA TANZANIA KATIKA HOTELI YA MALAIKA JIJINI MWANZA

Mhe. Dkt. Asha Rose Migiro, WAZIRI wa Katiba na Sheria akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa Majaji katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza,Maudhui ya Mkutano huo ni kujitathmini Kama njia bora ya kuboresha Mahakama. Mhe. WAZIRI amefungua Mkutano huo kwa niaba ya Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania, akitoa Mada katika Mkutano wa Majaji unaofanyika mkoani Mwanza. Mhe. Jaji Sauda Mjasiri, Jaji wa Mahakama ya Rufani, (aliyeketi mbele, wa kwanza kushoto),...

 

11 years ago

Michuzi

JAJI MKUU AWATUNUKU VYETI MAWAKILI WAPYA JIJINI DAR LEO

 Jaji Mkuu wa Tanzania,Mh. Othman Chande (katikati) akiwaongoza majaji mbali mbali wakati wa Sherehe ya 50 ya kuanzia mwaka 1986 ya kuwakubali na kuwasajili Mawakili wapya,iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee,Jijini Dar es Salaam Jaji Mkuu wa Tanzania,Mh. Othman Chande akiwatunuku vyeti baadhi ya Mawakili wapya waliokubaliwa na kusajiliwa leo kwenye viwanja vya Katimjee,Jijini Dar es Salaam.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Michuzi

Jaji Mkuu aongoza sherehe za kuwakubali na kuwasajili Mawakili wapya jijini Dar leo

Jaji Mkuu wa Tanzania,Mhe. Mohamed Chande Othman akiwa katika meza kuu pamoja na Waheshimiwa Majaji wa Mahakama ya Rufani na Mahakama Kuu ya Tanzania katika Sherehe za kuwakubali na kuwasajili Mawakili wapya, mapema leo katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.Jaji Mkuu wa TanzaniaMhe. Mohamed Chande Othman,  (aliyeketi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Waheshimiwa Majaji wa Mahakama ya Rufani (walioketi), Mhe. Shaaban Ali Lila, Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania (wa...

 

10 years ago

Michuzi

KAIMU KATIBU TAWALA MKOA WA MBEYA CONSTANTINE MUSHI AFUNGUA RASMI SEMINA YA MAAFISA MAZINGIRA JIJINI MBEYA LEO

Mkuu wa Kitengo cha Mazingira, Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Gideon Kasege (kulia) akitoa maelekezo kwa baadhi ya wawasilishaji mada katika mafunzo yanayoshirikisha maafisa mazingira katika mikoa ya Iringa na Mbeya yanayofanyika jijini Mbeya leo. Lengo la mafunzo hayo ni kuwashirikisha mpango kazi wa Wizara ya Nishati na Madini pamoja na kupata michango yao. Kushoto ni Meneja wa Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Nyanda za Juu Kusini David Elias. Katikati ni Afisa Mazingira...

 

10 years ago

Michuzi

Sherehe ya 52 ya kuwakubali na kuwasajiri mawakili wapya nchini,katika viwanja vya karimjee jijini Dar hivi sasa

 Sehemu ya Makakili wapya, wakiwa katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es salaam kunakofanyika Sherehe ya 52 ya kuwakubali na kuwasajiri, inayoongozwa na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mh. Mohamed Othman Chande (hayupo pichani). Picha zaidi zitawajia baadae kidogo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete awaapisha Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania wapya 20 Ikulu Jijini Dar

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Panterine Muliis Kente kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 15, 2014

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Benedict Bartholomew Mwingwa  kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 15, 2014.

Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Dkt Eliezer Mbuki  Feleshi kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani