Pinda ahudhuria sherehe za kumsimika Askofu wa Anglican Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungungumza na Askofu Mpya wa Dayosisi ya Centra Tanganyika,Dkt. Dickson Chilongani (kulia) na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglican Tanzania , Dkt. Jacob Chimeledya katika Ibada ya kumweka wakfu Askofu Chilongani kwenye Kanisa Kuu la Anglican mjini Dodoma Novemba 23, 2014, (Picha na Ofisi ysa Waziri Mkuu).
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog24 Nov
Pinda ahudhuria sherehe za kumweka wakfu Askofu wa Anglican Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na washiriki wa ibada ya kumweka wakfu, Askofu wa Da yosisi ya Central Tanganyika,Dkt. Dickson Chilongani kwenye kanisa Kuu la Anglican mjini Dodoma Novemba 23, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Baadhi ya washiriki wa Ibada ya kumweka wakfu Askofu wa Dayosisi ya Central Tanganyika,Dkt. Dickson Chilongani wakimsikiliza Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakati alipozungumza kwenye ibada hiyo iliyofanyika kwenye kanisa Kuu la Anglican mjini Dodoma ...
11 years ago
Dewji Blog28 Jul
Pinda mgeni rasmi sherehe za kumsimika Askofu wa KKKT Dayosisi ya Ruvuma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi Askofu wa Kanisa la Kiinhili la Kilutheri Dayosisi ya Ruvuma, Amon Joel Mwenda katika ibada ya kumsimika kuwa Askofu wa Dayosisi hiyo iliyofanyika mjini Songea Julai 27, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
10 years ago
Dewji Blog19 Jan
Makamu wa Rais Dkt. Bilal, ahudhuria sherehe za kusimikwa Askofu Mkuu jimbo la Dodoma
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye Sherehe ya kumsimika Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma Beatus Kinyaiya iliyofanyika jana Januari 18, 2015 katika Kanisa la Mt. Paulo wa Msalaba Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimpongeza Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma Beatus Kinyaiya baada ya kusimikwa rasmi kwenye Sherehe iliyofanyika jana Januari 18, 2015 katika Kanisa la...
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, AHUDHURIA SHEREHE ZA KUSIMIKWA ASKOFU MKUU JIMBO LA DODOMA LEO
10 years ago
GPLMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, AHUDHURIA SHEREHE ZA KUSIMIKWA ASKOFU MKUU JIMBO LA DODOMA JANA
11 years ago
Dewji Blog26 May
Pinda ahudhuria ibada ya kumweka wakfu Askofu wa Moravian Jimbo la Rukwa
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpongeza Askofu Conrad Ernest Nguvumali baada ya kuwekwa Wakfu kuwa Askofu wa Kanisa la Moravian jimbo la Rukwa katika ibada iliyofanyika kwenye uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga May 25, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-_6BqcEDB550/U4JlSsYSLUI/AAAAAAAFk90/csh8v6745UA/s72-c/unnamed+(24).jpg)
MH. PINDA AHUDHURIA IBADA UA KUMWEKA WAKFU ASKOFU WA MORAVIAN JIMBO LA RUKWA
![](http://1.bp.blogspot.com/-_6BqcEDB550/U4JlSsYSLUI/AAAAAAAFk90/csh8v6745UA/s1600/unnamed+(24).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-2f7y-3CTYus/U4JlS32PJjI/AAAAAAAFk94/7uiNoFO1STk/s1600/unnamed+(25).jpg)
10 years ago
Dewji Blog19 Oct
Dkt. Bilal ahudhuria sherehe ya kuwekwa wakhfu Askofu mteule wa kanisa la African Inland Dayosisi ya Mwanza, Mchungaji Bunango
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa dini ya Kikristu, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo, Oktoba 19, 2014, kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za kuwekwa Wakhfu Askofu Mteule wa Kanisa la African Inland Dayosisi ya Mwanza, Mchungaji John Bunango, iliyofanyika jijini humo leo mchana.(Picha na OMR).
Maaskofu wakimwekea mikono ya Baraka Askofu mwenzao, Askofu Mteule wa Kanisa la African...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zMJxnqMJKq0tuLqF0QV2fPPuqw7Dgb0cvSKezXAyI2*W0QV5AEq21knrACBLU2Ekqhbsfqwne0Ics-xSqfuUjKVTIcUb2UHL/1.jpg?width=650)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA SHEREHE YA KUWEKWA WAKHFU ASKOFU MTEULE WA KANISA LA AFRICAN INLAND DAYOSISI YA MWANZA