Pinda ahutubia sherehe za siku ya walimu Mjini Bukoba
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipata maelezo kuhusu mtambo wa kutotoa vifaranga kutoka kwa Mwalimu Deudediti Rwekaza (kushoto) katika onyesho ya siku ya walimu Duniani iliyofanyika kitaifa kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba Oktoba 5, 2014. (Piocha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Baadhi ya walimu walioshiriki katika sherehe za siku ya walimu Duniani wakiimba wimbo maalum wa Walimu kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba ambako sherehe hizo zilifanyika kitaifa Oktoba 5, 2014. (Picha na Ofisi ya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziPINDA MGENI RASMI SHERHE ZA SIKU YA WALIMU MJINI BUKOBA LEO
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU PINDA AHUTUBIA SHEREHE ZA MIAKA 25 WA TAWLA
10 years ago
Vijimambo10 years ago
MichuziMH. PINDA AHUDHURIA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAKUNGA MJINI MUSOMA
10 years ago
Michuzi10 Nov
TAMASHA LA TIGO LAFANA BUKOBA LEO! WASANII WA ORIGINAL COMEDY WAFUNIKA MJINI BUKOBA!
10 years ago
VijimamboTEMBAPHOTO OFFICIAL PHOTOGRAPHER SIKU YA SHEREHE ZA CCM NEW YORK OMMY "DIMPOZ" NDIYO HABARI YA MJINI
Ukiwa na shughuli yeyote inayohusu ukodak basi ni tembaphoto ndiyo suluhisho ya yote. Tembelea web site ya tembaphoto hili kujionea ubora wa picha.
http://tembaphoto.com/
10 years ago
Dewji Blog06 May
Shamra shamra za maandamano ya sherehe za maadhimisho ya siku ya Wakunga Duniani zilivyofana mjini Musoma
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya uuguzi mkoani Mara wakijiaanda kuanza maandamano kutoka Hospitali Hospitali ya Rufaa mkoa wa Mara wakati wa sherehe za maadhimisho ya siku ya Wakunga Duniani ambapo kitaifa yamefanyika wilayani Musoma.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog).
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya uuguzi wilayani Musoma wakiwa wamekusanyika nje ya Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mara kwa ajili ya maandamano ya kuadhimisha Siku ya Wakunga Duniani ambapo kitaifa yamefanyika mjini...
10 years ago
MichuziMH. PINDA AHUTUBIA MKUTANO WA MAAFA JAPAN
10 years ago
Dewji Blog14 Mar
Pinda ahutubia mkutano wa maafa Japan
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika mkutano wa tatu wa dunia kuhusu upunguzaji wa hatari ya majanga duniani uliofanyika katika mji wa Sendai nchini Japan ambako alimwakilisha Rais Jakaya Kikwete Machi 14, 2015.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa katika mkutano wa tatu wa dunia kuhusu upunguzaji wa hatari ya majanga duniani uliofanyika katika mji wa Sendai nchini Japan ambako alimwakilisha Rais Jakaya Kikwete Machi 14, 2015. Kulia ni Naibu Waziri wa mambo ya Nje na...