Pinda akera polisi
HATUA ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenda kuhani msiba wa mtoto wa Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga ‘Mawe Matatu’, bila kufika hospitalini Bugando kumjulia hali askari aliyejeruhiwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima27 Feb
Mamba akera wananchi Nyansalala
WANANCHI wa Kijiji cha Nyansalala, Kata ya Bukondo, wilayani Geita wameiomba serikali Mkoa wa Geita kuwasaidia kumuua mamba anayewinda watu na wanyama kandokando mwa Ziwa Victoria. Wakizungumza kwa nyakati tofauti...
10 years ago
Mtanzania21 Sep
Pinda, Polisi, Sitta, ‘wamjeruhi’ JK
![IGP Mangu](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/IGP-Mangu.jpg)
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Mangu
Na Waandishi Wetu
KWA nyakati tofauti; Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Jeshi la Polisi na Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, kwa kauli na vitendo vyao, bila kujua wamejikuta wanamweka pabaya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete.
Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili juzi na jana umebaini kuwa mitaani watu wanasema wazi kuwa kupigwa ovyo kwa watu na askari polisi, wakiwamo waandishi wa habari, katika siku za hivi...
10 years ago
Michuzi13 Oct
PINDA AFUNGUA KITUO CHA POLISI WILAYA YA UYUI
![](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/91etWLOcDV20llhI_Lq8qK-Tfiswr16xfCCEDnUgld4vRitecodVl-DzixbqJyhuVCm2_rFD7NEai16HHNfmVjp1x4FIWGw1FCJMfo-wZAuqo3mXnfZGu7G51JE=s0-d-e1-ft#http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/10/PG4A5299.jpg)
![](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/CXeF17U035CloUv7aQ9GTvb49iRtnENwZE1bMLK275HqdSNzEzgqG8_-Bz4EfjJzAtbUwLGqEzA0JMITcXMzIjJpZYH65KhhdT2hUan0i_xz7VE0qnu9drquSus=s0-d-e1-ft#http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/10/PG4A5302.jpg)