Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda akutana na wawekezaji kutoka Russia

2015-01-21 00-46

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na ujumbe wa Kampuni kutoka Russia ya Mantra Tanzania Limited inayokusudia kuwekeza katika Mradi Uranium wa Mto Mkuju, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Januari 21, 2014. Kushoto ni Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr. Mary Nagu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). 2015-01-20 23-51-05 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr. Mary Nagu  (kulia)  akiteta na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Bibi...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Pinda akutana na wawekezaji toka Poland

PG4A2534

Waziri mkuu, Miengo Pinda akizungumza na wawekezaji na watalaamu wa kujenga vihenge vya kisasa na vyenye uwezo wa kuhifadhi tani nyingi za nafaka hasa mahindi  ambao wanatarajia kujenga vihenge hivyo hapa nchini. Watalaamu na wakezaji hao kutoka Poland ambao wakulikutana na Waziri Mkuu mjini Dodoma Mei 12, kutoka kushoto ni Honorta Maslowsk,  Witold Karczewski ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara waPolland na Aleksandar Zingman. (Picha na Ofisi ya Waziri...

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA AKUTANA NA WAWEKEZAJI TOKA POLLAND

Waziri mkuu,Miengo Pinda akizungumza na wawekezaji na watalaamu wa kujenga vihenge vya kisasa na vyenye uwezo wa kuhifadhi tani nyingi za nafaka hasa mahindi ambao wanatarajia kujenga vihenge hivyo hapa nchini. Watalaamu na wakezaji hao kutoka Plland ambao wakulikutana na Waziri Mkuu mjini Dodoma Mei 12, kutoka kushoto ni Honorta Maslowsk, Witold Karczewski ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara waPolland na Aleksandar Zingman. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

11 years ago

Michuzi

PINDA AKUTANA NA WAWEKEZAJI TOKA VIETNAM

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Tekinolojia, Profefesa Makame Mbarawa  (kulia)wakizungumza na Wawekezaji katika Tekinolojia ya Mawasiliano kutoka Vietnam, Nguyen  Quang (w apili kulia) na Pham Dai Bach (katikati)l ofisini kwa Waziri Mkuu, Bungeni Mjini Dodoma May 10, 2014. Wapili kushoto ni mwenyeji wa wawekezaji hao, Balozi  F. Mdolwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. DKT. BILAL AKUTANA NA WAWEKEZAJI KUTOKA EGYPT NA C P U LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Uongozi wa Mamlaka zinazohusika na  uwekezaji Tanzania na Wawekezajia kutoka Egypt wakati ujumbe huo ulipofika Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo April 15, 2015.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, katikati akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Wawekezajia kutoka Egypt baada ya mazungumzo yao wakati ujumbe huo ulipofika Ofisini kwake Ikulu...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS MHE. DKT. BILAL AKUTANA NA WAWEKEZAJI KUTOKA EGYPT NA CPU LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Uongozi wa Mamlaka zinazohusika na  uwekezaji Tanzania na Wawekezaji kutoka Egypt wakati ujumbe huo ulipofika Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam April 15, 2015.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, katikati akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Egypt baada ya mazungumzo yao wakati ujumbe huo ulipofika Ofisini kwake Ikulu Dar es...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF AKUTANA NA WAWEKEZAJI KUTOKA MAREKANI, AKAGUA UJENZI WA BARABARA WETE, PEMBA

 Balozi wa Heshima wa Tanzania Nchini Marekani ambae pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Ms Shimoja Dr. Robert Shumake akimtambulisha Makamu wa Rais wa Kampuni ya maendeleo ya ujenzi ya Detroit Nchini Marekani Bw. Andrew G. McLemore kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi walipokutana kwa mazungumzo VIP ya Uwanja wa ndege wa Pemba. Aliyepo kushoto na Balozi Seif ni Afisa Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani Mh. Suleiman Saleh. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif...

 

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UTURUKI PAMOJA NA JOPO LA WAWEKEZAJI KUTOKA NCHINI UTURUKI.


************************************Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo February 18 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Ali Davulaglu, Balozi wa Tanzania Nchini Uturuki Prof.Elizabeth Kiondo, Mstahiki Meya kutoka Uturuki, Wawekezaji na Wafanyabiashara zaidi ya 40 kutoka Nchini Uturuki waliokuja Kutazama na kuchangamkia fursa za Uwekezaji wa Viwanda jijini Dar es salaam.Katika Mazungumzo hayo RC Makonda ...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU PINDA AKUTANA NA MSANII KUTOKA MKURANGA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo na msanii tenzi, nyimbo na mashairi  kutoka Mkuranga, Sauda Shaaban ambaye  alikwenda Bungeni mjini Dodoma Juni 25, 2014 kwa mwaliko wa Mbunge wake, Adam Malima  (kulia) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha. (Picha na Ofis ya Waziri Mkuu).

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda akutana na ujumbe kutoka Tume ya Haki za Binadamu

PG4A1772

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na ujumbe kutoka Tume ya haki za Binadamu, ofisini kwake jijini Dar es salaam Mei 8, 2015. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Tume hiyo, Bahame Tom Nyanduga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani