Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda apokea misaada ya wahanga wa mafuriko

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amepokea msaada wa vitu mbalimbali vyenye thamani ya sh milioni 141 kwa ajili watu waliokumbwa na mafuriko yaliyotokea hivi karibuni Dumila, mkoani Morogoro. Akizungumza na waandishi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE APOKEA HUNDI YA SH. MILIONI 100 KUTOKA CRDB KUSAIDIA WAHANGA WA MAFURIKO MORO

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei, baada ya kukabidhiwa hundi ya shilingi milioni 100 kutoka benki hiyo kusaidia waathirika wa mafuriko yaliyozikumba wilaya tatu za Kilosa, Mvomero na Gairo katika Mkoa wa Morogoro, mwezi uliopita katika shughuli fupi iliyofanyika Ikulu, Dar Es Salaam leo February 4, 2014 na kuhudhuriwa pia na Mhesimiwa William Lukuvi, Waziri wa...

 

11 years ago

Mwananchi

TRCS yahimiza misaada kwa wahanga

Watanzania na taasisi zisizo za kiserikali wametakiwa kuchangia misaada mbalimbali kwa waliokumbwa na janga la mafuriko mkoani Morogoro kwa kuwa misaada iliyofika kwenye maeneo hayo ni asilimia 10 ambayo haitoshelezi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wahanga wa mafuriko wapata msaada

WAHANGA wa mafuriko katika Manispaa ya Tabora wamekabidhiwa msaada wa chakula tani 1.4 za unga wenye thamani ya zaidi ya sh milioni 1.2 baada ya nyumba zao kubomoka kutokana na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dk. Tizeba atoa misaada kwa wahanga wa moto jimboni kwake

SAM_0783

Naibu  Waziri wa Uchukuzi  ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Buchosa, Dk Charles Tizeba akipanda boti kuelekea kisiwa cha Nyamango kulikotokea ajali ya moto kwa ajili ya kukabidhi misaada.

Na Daniel Makaka, Sengerema

NAIBU  Waziri wa Uchukuzi ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Buchosa Dk Charles Tizeba ametoa msaada kwa wahanga wa ajali ya moto na nyumba zilizoezuliwa na mvua ya upepo katika kisiwa cha Nyamango kijiji cha Lushamba kata ya Bulyaheke jimbo la Buchosa wilayani Sengerema mkoa wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wahanga wa mafuriko Dumila wakosa makazi

WAHANGA wa mafuriko katika maeneo ya Dumila, mkoani Morogoro wanakabiliwa na hali ngumu ya ukosefu wa makazi  baada ya nyumba zao za muda (mahema) kuezuliwa na kimbunga kilichoambatana na mvua....

 

10 years ago

GPL

DK. TIZEBA ATOA MISAADA KWA WAHANGA WA MOTO JIMBONI KWAKE‏

Naibu Waziri wa Uchukuzi ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Buchosa, Dk Charles Tizeba akipanda boti kuelekea kisiwa cha Nyamango kulikotokea ajali ya moto kwa ajili ya kukabidhi misaada. Naibu Waziri wa Uchukuzi ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Buchosa, Dk Charles Tizeba akiwa ndani ya boti kuelekea kukabidhi misaada katika kisiwa cha Nyamango jimboni… ...

 

10 years ago

Michuzi

NMB YASAIDIA WAHANGA WA MAFURIKO - WILAYANI HAI-KILIMANJARO

BENKI ya NMB, imetoa msaada wa vitu mbalimbali vinavyogharimu kiasi cha Sh milioni 10 kwa ajili ya kuwasaidia wakazi wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro baada ya kukumbwa na mafuriko yaliyotokea wiki lililopita.
Benki hiyo imetoa vitu mbalimbali vikiwemo unga, maharage, magodoro na sementi vyenye gharama ya shilingi milioni 10 kwa ajili ya kusaidia wahanga wa tukio hilo lililowaacha mamia ya Watanzania bila makazi huku mali zao zikiharibiwa kwa kiasi kikubwa.
Akikabidhi msaada huo kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani