Pinda atakaTanzania ijitegemee
Waziri mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda ametaka serikali yake ijitegemee kimapato badala ya kutegemea wafadhili wa nje
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV05 Dec
Putin: Urusi lazima ijitegemee.
Rais Vladimir Putin amewaonya wananchi wa Urusi kuwa watakabiliwa na wakati mgumu siku za usoni na kuwataka kujitegemea, amesema katika hotuba yake kwa taifa akilihutubia bunge.
Urusi imeathirika kwa kiasi kikubwa kiuchumi kutokana na kushuka kwa bei za mafuta na vikwazo kutoka nchi za magharibi vilivyowekwa dhidi ya Urusi kwa kujiingiza katika mgogoro wa nchi jirani ya Ukraine.
Sarafu ya Urusi ya rouble, ikiwa ishara ya utulivu chini ya utawala wa Bwana Putin, ilipata anguko kubwa la siku...
10 years ago
BBCSwahili05 Dec
Urusi lazima ijitegemee:Putin