Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Putin: Urusi lazima ijitegemee.

Rais Vladimir Putin amewaonya wananchi wa Urusi kuwa watakabiliwa na wakati mgumu siku za usoni na kuwataka kujitegemea, amesema katika hotuba yake kwa taifa akilihutubia bunge.

Urusi imeathirika kwa kiasi kikubwa kiuchumi kutokana na kushuka kwa bei za mafuta na vikwazo kutoka nchi za magharibi vilivyowekwa dhidi ya Urusi kwa kujiingiza katika mgogoro wa nchi jirani ya Ukraine.

Sarafu ya Urusi ya rouble, ikiwa ishara ya utulivu chini ya utawala wa Bwana Putin, ilipata anguko kubwa la siku...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Urusi lazima ijitegemee:Putin

Rais Vladimir Putin amewaonya wananchi wa Urusi kuwa watakabiliwa na wakati mgumu wasipojitegemea.

 

9 years ago

BBCSwahili

Putin atetea mashambulio ya Urusi Syria

Vladimir Putin amesema lengo la mashambulio ya ndege za Urusi nchini Syria ni kusaidia utawala halali wa Rais Assad.

 

10 years ago

Bongo5

Rais wa Urusi, Vladimir Putin apata mkanda mweusi wa nane katika karate!

Rais wa Urusi, Vladimir Putin amepata mkanda mweusi wa nane katika karate. Putin mwenye miaka 62, ni mwanafunzi wa Kyokushin, aina ya karate ambayo wachezaji hawavai vifaa maalum kichwani. Putin pia ni mahiri kwenye martial arts ambapo alipewa mkanda mweusi wa tisa kwenye taekwondo mwaka 2013. Pia ni mchezaji mzuri wa judo. By TMZ

 

5 years ago

BBCSwahili

Vladimir Putin: Kura itakayomuwezesha Putin kuwa madarakani miaka 36

Kwa miaka 20 Vladimir Putin amekuwa Rais au Waziri mkuu wa Urusi, lakini je ataendelea kuwa madarakani au la?

 

10 years ago

BBCSwahili

Pinda atakaTanzania ijitegemee

Waziri mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda ametaka serikali yake ijitegemee kimapato badala ya kutegemea wafadhili wa nje

 

9 years ago

TheCitizen

‘Tsar Putin’: As secure as he seems?

Vladimir Putin turned 63 last week with his now traditional display of sporting prowess, and an announcement that Russian naval vessels had launched a wave of missiles against Islamic State in Syria.

 

9 years ago

BBCSwahili

Putin ataka mpango wa kupambana na IS

Rais wa Urusi,Vladmir Putin ametoa wito wa kuwepo kwa mpango wa kikanda wa kupambana na wanamgambo wa Islamic State

 

11 years ago

BBCSwahili

Putin na Obama wazungumzia Ukraine

Rais wa Urusi Vladimir Putin na Barack Obama wa Marekani wamefanya mazungumzo kuhusu mzozo wa Ukraine.

 

11 years ago

BBCSwahili

Putin akutana na rais wa Ukraine

Putin na Rais Petro Poroshenko, walikutana kwa muda mfupi kabla ya dhifa ya mchana katika maadhimisho ya miaka 70 tangu Ulaya kukombolewa kutoka kwa Wanazzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani