Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda: Vyama vijiandae kisaikolojia kwa matokeo

Waziri Mkuu Mizengo Pinda amevitaka vyama vya siasa nchini kujiandaa kisaikolojia kuyapokea matokeo ya Uchaguzi Mkuu utaokaofanyika nchini, Jumapili ijayo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Pinda avitaka vyama kukubali matokeo

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema demokrasia ya kweli ni kukubali ukweli, hivyo wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumapili, wanapaswa kujiandaa kisaikolojia kukubali matokeo pindi watakaposhindwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Wananchi waandaliwe kisaikolojia kupokea matokeo-Askofu

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini, Isaya Mengele ameitaka Serikali na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwaandaa wananchi kisaikolojia ili wawe tayari kupokea matokeo ya uchaguzi wasiyotarajia.

 

9 years ago

StarTV

Kufutwa matokeo ya uchaguzi zanzibar  Vyama vya siasa vyapinga

Baadhi ya vyama vya siasa vilivyoshiriki uchaguzi mkuu wa Zanzibar vimeeleza kutokubaliana na kauli ya mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ZEC Jecha Salim Jecha ya kufuta uchaguzi mkuu ulioelezwa kujaa mizengwe na kukiuka taratibu.

Wanadai kuwa tangazo hilo linawatia mashaka wakimtaka mwenyekiti wa Tume  achambue vipengele vitakavyothibitisha kasoro zilizosababisha kufutwa kwa sheria hiyo.

Akizungumza wakati wa mkutano na wanahabari  malindi visiwani Zanzibar Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi...

 

5 years ago

Mwananchi

Changamoto za kiafya na kisaikolojia kwa ‘single mothers’-2

Ni kweli kabisa kwamba malezi ya mzazi mmoja wakati wote ni yenye changamoto sana kwa mzazi mwenyewe na hata kwa watoto. Hapa namaanisha malezi ya baba peke yake au ya mama peke yake “single mothers”.

 

11 years ago

Mwananchi

Pinda, vyama visivyo na wabunge wateta

Waziri Mkuu Mizengo Pinda jana alikutana na wanachama wa vyama vya upinzani visivyo na wabunge kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano na kuwataka kuwa kitu kimoja katika vikao vya Bunge Maalumu la Katiba vinavyoendelea Mjini Dodoma.

 

10 years ago

Mwananchi

Vyama vya siasa kumvaa Pinda

Kamati ya Uongozi ya Baraza la Vyama vya Siasa nchini imepanga kukutana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ili kusaka ufumbuzi wa mgogoro baina ya vyama vya siasa na serikali kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Desemba 14 mwaka huu.

 

9 years ago

Vijimambo

Viongozi wa Vyama vya Siasa Zanzibar Wakiwa katika Ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar Wakisubiri Matokeo ya Kura ya Urais wa Zanzibar

Viongozi wa Chama cha CCM wakiwa katika ukumbi wa Salama Bwawani wakisubiri matokeo ya Kura za Wagombea Urais wa Zanzibar kutangwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe Jecha Salim Jecha, Ukumbi wa Salama ndio kituo Kikuu cha kutangazia Matokeo ya Kura za Urais wa Zanzibar. Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar wakiwa katika Ukumbi wa Salama wakisubiri kutaja kwa Matokeo ya Urais wa Zanzibar na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC.Viongozi wa Chama cha CUF wakiwa katika ukumbi wa Salama...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jeshi la Polisi lijiandae kisaikolojia

MIEZI michache kabla ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba kuwasilisha rasimu ya pili, Rais Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, alitoa ushauri wa bure...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani